Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Martin Chegere:

1. T. O Darasa la saba.
2. T. O Form 2 wastani wa 98.
3. T. O Form 4 Mau Seminary I-7.
4. T. O Form 6 Pugu Secondary (EGM) I-3.
5. T. O University / Degree UDSM GPA-4.9 (Economics & Statistics).
6. T. O University /Master's UDSM Economics GPA-5.
7. T. O University/PhD Gothenburg University

Yuko UDSM ana fundisha...

Kwa hiyo pamoja na t.o kote huko ameishia kufundisha tu kweli , hivi steven job ameshawahi kuwa t.0
 
Martin Chegere:

1. T. O Darasa la saba.
2. T. O Form 2 wastani wa 98.
3. T. O Form 4 Mau Seminary I-7.
4. T. O Form 6 Pugu Secondary (EGM) I-3.
5. T. O University / Degree UDSM GPA-4.9 (Economics & Statistics).
6. T. O University /Master's UDSM Economics GPA-5.
7. T. O University/PhD Gothenburg University

Yuko UDSM ana fundisha...
Is that all???? Hajafanya maajabu yoyote kwenye faji yake kama Ben Carson kwenye NeuroSurgery?
 
Open Discussion Forums is a place where you can make a big difference, it gives you an opportunity to learn how to think, foster your mental faculties and broaden your scope of knowledge by sharing valuable skills and experiences to others, while making a difference in improving people's lives!

Join Open Discussion Forums, The Home of Critical Thinkers! today and learn how to revolutionize your mind to effect a lasting change.
 
Martin Chegere:

1. T. O Darasa la saba.
2. T. O Form 2 wastani wa 98.
3. T. O Form 4 Mau Seminary I-7.
4. T. O Form 6 Pugu Secondary (EGM) I-3.
5. T. O University / Degree UDSM GPA-4.9 (Economics & Statistics).
6. T. O University /Master's UDSM Economics GPA-5.
7. T. O University/PhD Gothenburg University

Yuko UDSM ana fundisha...

huyu mjanja mjanja tu hakuna university ya ukweli hata moja kwenye cv yake..

kina mkandala phd walifanyia university of california barkeley, kina dewji sio vichwa ila kuna ma georgetown kwenye cv zao...

huyu jamaa na A zote ila hana clean university hata moja..

elimu ya juu unaheshimika kutokana na chuo uliposomea.. sio maksi ulizopata...

mtu kama huyu na A zake zote ila hawezi kumtisha mtu kwa hivyo vyuo vya kata tupu

huyu alipaswa awaze havard, stanford.. oxford na mavyuo ya ukweli mengine ... wangempa tu scholarship...
 
Nina grade Ateachers certificate n miaka 5 kazini nataka kujiendeleza nitoke hapa kwenye ualimu jumla nitokenye ushauri wazee huku ualimu shida tupu
 
Martin Chegere:

1. T. O Darasa la saba.
2. T. O Form 2 wastani wa 98.
3. T. O Form 4 Mau Seminary I-7.
4. T. O Form 6 Pugu Secondary (EGM) I-3.
5. T. O University / Degree UDSM GPA-4.9 (Economics & Statistics).
6. T. O University /Master's UDSM Economics GPA-5.
7. T. O University/PhD Gothenburg University

Yuko UDSM ana fundisha...
Hatari sana!
 
huyu mjanja mjanja tu hakuna university ya ukweli hata moja kwenye cv yake..

kina mkandala phd walifanyia university of california barkeley, kina dewji sio vichwa ila kuna ma georgetown kwenye cv zao...

huyu mpuuzi na A zote ila hana clean university hata moja..

elimu ya juu unaheshimika kutokana na chuo uliposomea.. sio maksi ulizopata...

mtu kama huyu na A zake zote ila hawezi kumtisha mtu kwa hivyo vyuo vya kata tupu

huyu alipaswa awaze havard, stanford.. oxford na mavyuo ya ukweli mengine ... wangempa tu scholarship...
Wewe itakua unaumwa mavi wewe!!Kinaongelewa chakula bora ila wewe unaongelea jiko,kisha unatoa povu,kejeli na unajiona uko sawa tu!!!Go brush your teeth kisha uje big lips!!!kapish!!!!
 
Wekeni maTO na waliofaulu vizuri na mafanikio yao na nieleweke sio kumchunguza mtu ni kuendelea kujifunza mambo.
 
KWA WALE WOTE WENYE UHITAJI WA VITABU NA NOTES MBALIMBALI ZA MASOMO YAFUATAYO KWA TOPICS ZOTE (F5 & F6)

1. ADVANCED MATHEMATICS.
2. BASIC APPLIED MATHEMATICS.
3. CHEMISTRY.
4. PHYSICS.
5. BIOLOGY.
6. GEOGRAPHY.
7. ECONOMICS.
8. HISTORY.
9. KISWAHILI.
10. GENERAL STUDY.

VITABU NA NOTES ZOTE ZINAPATIKANA KATIKA MFUMO WA SOFTCOPY (PDF) NA HARDCOPY.

TUPO UBUNGO, DAR ES SALAAM. PHONE: 0752026992/ 0737728947. EMAIL: bernadusmusa96@gmail.com

KWA WALE WOTE WALIOPO DAR ES SALAAM TUNAKUFIKISHIA POPOTE ULIPO NA KWA WALE WOTE WA MIKOANI UNAWEZA TUMIWA SOFTYCOPY AMA KUTUMIWA KWA BASI KULINGANA NA IDADI YA NOTES UTAKAZOHITAJI.

PHONE: 0752026992/ 0737728947. EMAIL: bernadusmusa96@gmail.com
 
Tuliosoma B.Com UDSM (2003-2006) tunamkumbuka Simon Mangesho jamaa alikuwa noma kipanga, mademu walikuwa wanamshobokea sana. Masela sisi sio vipanga na hela tulikuwa hatuna basis tunaishia kupiga punyere
 
Namkumbuka tulikuwa nae Umbwe s nilimuacha UDSB ni lecturer pale.nakumbuka aliongoza account mtihani wa kidato cha sita akapewa zawadi na Coca cola.alikuwa kichwa sana yule jamaa.
 
Back
Top Bottom