Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,770
- 126,706
Ndio kahitimu mwaka huu.Ilikuwaje tena mpaka Leo bado hamalizi Chuo tuu.Wenzie tunakula vitu vya Kihandisi na II zetu murua kabisa.Nakumbuka tulikuta ndiyo amemaliza A level na matokeo yametoka 2006/2007 hivi T.O Elias Kiombo.
Alidisco kutokana na tabia yake ya kudharau malectures ndio maana akaenda kupigika kwanza mtaani.
Alikuwa anafundisha Tuition pale mchikichini kwa kipindi yupo kitaa kabla hajarejea tena UDSM, aliporejea ndio kakuta kozi mpya ya Mining imeanzishwa akaidaka moja kwa moja