Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Martin Chegere:

1. T. O Darasa la saba.
2. T. O Form 2 wastani wa 98.
3. T. O Form 4 Mau Seminary I-7.
4. T. O Form 6 Pugu Secondary (EGM) I-3.
5. T. O University / Degree UDSM GPA-4.9 (Economics & Statistics).
6. T. O University /Master's UDSM Economics GPA-5.
7. T. O University/PhD Gothenburg University

Yuko UDSM ana fundisha...
#7 T.O PhD? Punguza mahaba, utakuja kuvunja ndoa ya watu bure!
 
Kantalamba hakujawahi kuwa na PCB tangu shule ianzishwe
Kwanza uone jamaa alivyo muongo,yani mtu bachelor kasoma accounts then masters afanye engineering? udsm hawawezi mpa admission mtu ambae hana background ya engineering.
 
Ficha ujinga..kuna postgraduate ya mwaka mmoja inampa mtu ground ya kutoka kada moja kwenda nyingine.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ficha uzuzu wako..kwenye engineering hakuna kitu kama hicho,hata hiyo postgraduate diploma huwezi isoma ukiwa huna background ya engineering.ingekua rahisi hivyo hata zuzu kama wewe ungekua mhandisi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Ficha uzuzu wako..kwenye engineering hakuna kitu kama hicho,hata hiyo postgraduate diploma huwezi isoma ukiwa huna background ya engineering.ingekua rahisi hivyo hata zuzu kama wewe ungekua mhandisi.
Sehemu pekee ambayo haina upuuzi ni medicine ndio mana huwezi ona postgraduate kozi..ila kada zote zenye postgraduate coz ni za wapuuzi na mazuzu kama wewe.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Martin Chegere:

1. T. O Darasa la saba.
2. T. O Form 2 wastani wa 98.
3. T. O Form 4 Mau Seminary I-7.
4. T. O Form 6 Pugu Secondary (EGM) I-3.
5. T. O University / Degree UDSM GPA-4.9 (Economics & Statistics).
6. T. O University /Master's UDSM Economics GPA-5.
7. T. O University/PhD Gothenburg University

Yuko UDSM ana fundisha...
Hongera kwake. Ngoja anoe vijana hapo UDSM
 
Wakuu hii system ni ya muda sana hapa Tanzania. Anatajwa kijana ambae ameongoza Tanzania nzima kidato cha nne au kidato cha sita wanapelekwa bungeni na zawadi kibao wanapewa lakini hadi leo hii hawa vipanga wa mitihani hawajulikani walipo.

Je, kuna unayemjua na unajua anajishughulisha na nini?
Hahaha
 
Back
Top Bottom