Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Mtoa mada anataka kujua mbona hawafanyi vitu vikubwa kulingana na akili yao vitakavyowafanya waonekane automatic
Au wewe ulihisi anataka awaone vipi mkuu? Naona umetaja jukwaa hahaa
Eti, why helcopter itengenezwe na fundi gereji wa tunduma ambaye sidhan kama amevuka form 4 huku tukiwa na T.O kwenye PCM, PGM
 
Hujawahi kumsikia Mtu anaitwa Professor Ibrahim Haruna Lipumba?

Huyu kwa wasiojua ni Udsm one kwa GPA ya 5.0
Ina maana tangu UDSM ianzishwe, mpaka leo, hamna mtu mwingine aliyepiga GPA ya 5.0?
 
Mjinga ni relative term na asiejua hilo ndio Mjinga kabisa
Oh fair enough...
What I meant ni kwamba kiwango cha ujinga wa lipumba ni kidogo ukilinganisha na kiwango cha ujinga wako, hata hivyo kiwango hiko kidogo ni kikubwa kuliko kile cha wajinga wote nilio wahi kutananao you excluded.
 
Ukiwauliza Wagonjwa wa Mirembe wakutajie Mtu Mjinga zaid kuwahi kukutana nao usishangae wakikutajia Daktari Mkuu wa Hospitali ya Mirembe kwa kuwa ndie Mjinga zaid kwa kuwa Ujinga ni relative terms!

Mjinga kwako anaweza kuwa Mwerevu kwa Mwingine!

Mjinga zaid ni Yule anaehisi yeye ndie Mwenye Vipimo na viwango sahihi vya kutambua Ujinga wa Watu wote
 
Eti, why helcopter itengenezwe na fundi gereji wa tunduma ambaye sidhan kama amevuka form 4 huku tukiwa na T.O kwenye PCM, PGM
hapa hata mimi nafikri tunamatatizo na elimu yetu au laa hatuna mazingira mazuri ya waha TO wetu kufanya kazi zao. vile vile ninaona ideology ya wasomi wengi siyo kumiliki company kubwa bali kuajiliwa na company kubwa na huko huwa wanaenda kuua vipaji vyao. huwa najiuliza mfano hapo TPDC(shirika la petrolium la tz) hapo ukiwa mtaaramu unakuwa kama watch dog tu kwani wanafanya utafiti wazungu na wao wanapelekewa riport tu. sina maana kuwa hawawezi kufanya utafiti wa mafuta bali hakuna pesa za kuendesha utafiti.
 
Wapo facebook huko wafuate
upload_2017-5-15_19-21-6.png
 
Back
Top Bottom