Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

Wafungwa wa siasa siyo ajabu kutengwa na wengine ili wasifanye siasa jela. Hata Mandela na ANC wenzake walitengwa mbali na wafungwa wengine. Ila hilo la kuwekwa na wanaosubiri kunyongwa siyo la kawaida. Ni kama mateso fulani ya kisaikolojia na kutoa fundisho kwa wengine.
 
Huyu mama ndie alikuwa anamwambia meko fanya hivi Fanya vile sasa kashika usukani

Rais wetu hajui kinachoendelea. Waliomzunguka n washauri wake wana nguvu kubwa kuliko yeye. Amekuwa busy angani akitoka Dodoma to Dar to Zanzibar. Mfano halisi IGP alipopingana n amri y Rais kuhusu kubambikiza kesi , vipigo vya mahabusu n kubambikiza watu kesi za uongo. Bado hili linafanyika tu.Tukumbushe tu yeye ndio Rais n amiri jeshi mkuu. Natuna amini kwa roho safi yeye sio dictator.
 
tusihofu, familia ya Mbowe, marafiki zake na watu wengi wema wanamuombea, maombi yao kwa Mungu hayatawaacha salama watesi wa Mbowe. Nina uhakika watesi wote wa Mbowe hivi sasa hawana amani ya moyo hata tunaowaona mara kwa mara kwenye vyombo vya habari wana-matabasamu bandia kwenye nyuso zao kwani upandacho ndicho uvunacho.
 
Roho hiyo wameipanda chadema. Walivyoanza kumbip sasa kawapigia wanalia. Wanataka wapewe nn jaman, si tulisema ni mpole apende asipende atatupa katiba mpya?
Lkn kwa mtu mwenye hofu ya MUNGU asingeweza kufanya hivyo,angetafuta njia nzuri ya kuyaweka Mambo sawa.
 
Tatizo anadaije?

Hata mimi mwananchi wa kawaida sikupenda sauti ya kibabe wakati utulivu ungeweza kuwa na nguvu zaidi.Ajifunze kuacha dharau huyu jamaa
Unataka kuheshimiwa sana, Kwani wewe MUNGU??.Ni MUNGU peke yake ambaye huwezi kumwendea kwa kufoka foka Wala kwa kumwamlisha,lkn waliobaki chini ya jua ni full kufokeana.Acheni kujifanya miungu watu.
 
Tuzidishe dua Mungu atende tena ila tu majibu yakirudi tusilazimishane kuomboleza na tukisherehekea msituone wa ajabu ajabu
Kweli kabisa Mkuu.MUNGU ndiye mwamuzi wa yote,sote wapitaji tu, dunia sio yetu.Roho mbaya ya mama Samia inasababisha watu tumuombe mabaya badala ya mema.
 
Mpaka Sasa n dakika ya 63 MBOWE VS SABAYA Mpira bado unaendelea.

MBOWE 2-3 SABAYA

Tunasubiri dakika 90 na atakuwa mshindi hii ndo ladha ya kuwa mtazamaji je Kuna dalili ya kusawazisha au ngoma italala hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom