Wakati wangu wa kuomba maombi ya nguvu za kutawala, kumiliki, kinga, na kushinda vita zote

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,721
10,220
Kuna siri ya ushindi ukifanya maombi ya vita muda huu. Naingia vitani (maombi ya vita) kisha nakuja kutoa darasa kidogo. Nimerudi sasa.

Ulimwengu huu unatawaliwa na siri nyingi, na siri hizi ziko kwenye mfumo wa namba.

Namba 3,6,9 zina nguvu sana ya kufanya uumbaji wa jambo kimwili na kiroho.

9 ndio namba kubwa zaidi hivyo ina nguvu nyingi zaidi.

Huwa natumia lisaa lizima, yaani 9.00 usiku hadi 9.59 kuamuru siku yangu, kuwaangusha adui zangu, kuinua biashara zangu, kuboresha afya yangu, mahusiano yangu na pia kuwaumba wanangu wawe kama vile nitakavyo mimi.

Nalitumia jina la Yesu, maana kasema ombeni lolote kwa jina langu, huku nikujumlisha na siri nyingine za kanuni za kiroho za uumbaji ambazo hawafundishwi kanisani.

Maombi haya yana matokeo sana, na muda huu huwa na utulivu, hivyo nafanya chanting. Natoa sauti.

Hata mchawi akiwa anafanya uharibifu wake, anaongea manuizi yake kwa kutoa sauti, hafanyi kimoyomoyo.

Sio lazima ukubaliane na mbìu zangu na wala mbinu zangu sio sheria. Kuna kanuni nyingi za kiroho za kukuvusha.

JITAFUTE
 
Attachments

  • Wakati Wangu Kuomba.mp3
    4.2 MB
Maombi yanasaidiaje kwa mfano?
Hapa kuna machalii hawana kazi, hawana hela, hawajimudu, hawamudu mahusiano yao, wameishia kuchukua tu sheria mkoni kwa kutumia mafuta ya upako wakiamini watapata mwanamke wa kizungu au mwanamke tajiri amrahisishie maisha.

Daily wanashinda makanisani na hawatoboi. How come?
 
Mungu ana kanuni zake maombi Yana kanuni zake pia
 
CBS Specialist (Re-advertised) (4 Position(s))

Job Purpose:
Support and create interfaces for Core Banking Systems (CBS) and be responsible for resolving incidents at a Level 2 in the back-end Core Banking Application systems.
Support End of Day (EOD) operators and coordinate Level 3 support issues for all back-end Core Banking Application systems with offshore support teams for proactive and active support.
Main Responsibilities:
Create Web Interfaces (API) for Applications to connect to Core Banking Applications.
Coordinate project groups and manage business demands to ensure that new systems solutions are sound and support the Bank's priorities including technical coding and implementation of products.
Responsible for Level 2 issues related to all Core applications and act as DevOPS support for applications which have been developed in-house from NMB Internal development team.
Responsible for Architecture System Design for all applications developed and ones connecting to Core Banking Systems.
Responsible in different sprints of the Project in any software development phase which at the end touch connection with Core Banking Application.
Support of day-by-day operations & performance of Core Banking System (CBS)
Automate back-office operations using third party systems through the Core Banking system.
Provide 2nd level technical support for CBS queries & incidents
Liaise with CBS Level 2/3 support teams to report incidents and ensure that relevant solutions are implemented both onsite and offshore.
Manage external service providers to ensure that developments are implemented according to project group requirements and contractual agreements.
Provide expert advice on Core Banking Systems and contribute to the unit's objectives.
Responsible for User Acceptance Testing on testing of Core Banking changes.
Knowledge and Skills:
Knowledge in Software Development Life Cycle (SDLC).
Knowledge in Linux Systems Support and Administration
Knowledge in creating and supporting scalable Enterprise applications.
A good understanding of Operating System software and computer hardware, preferably Unix/Linux or Solaris.
Familiarity with Structured Query Language (SQL) using RDBMS databases like MySQL, Postgres, MS SQL or Oracle.
Conversant with current and emerging technology trends in areas such as Robotic Automation, Artificial Intelligence (AI) and Machine Learning
Programming languages, preferably Java, Python and PL/SQL.
Interpersonal skills; Teamwork; Good communication skills; Attention to detail
Qualifications and Experience:
Bachelor's degree in computer science/Information technology/Computer Engineering or related field
Certifications in Linux/UNIX is added advantage.
Certifications in Database management e.g., Oracle will be added advantage.
A minimum of 2 to 3 years' experience in software development, DevOps support or Core Banking System
System Administration experience with proven capability to interact with IT resources (Infrastructure, IT architect, Risk system specialists) and Business departments.
Experience in Core Banking software technical management, working with development and support of Banking systems.
 
Wenye kutafuta kazi, Mungu amesha anza kujibu maombi yenu hapa
 
Maombi yanasaidiaje kwa mfano?
Hapa kuna machalii hawana kazi, hawana hela, hawajimudu, hawamudu mahusiano yao, wameishia kuchukua tu sheria mkoni kwa kutumia mafuta ya upako wakiamini watapata mwanamke wa kizungu au mwanamke tajiri amrahisishie maisha.

Daily wanashinda makanisani na hawatoboi. How come?
Maombi yanafungua code za kiroho. Yaani unajua kila kitu kinaanzia rohoni.
Kama huna dole gumba la kiroho, huwezi kumiliki kitu. Sio afya, sio mamlaka, wala mali.
 
Zipi hizo? Ina maana wanaishinda makanisani hawafundishwì siri hizo ili wawe wateja wa kudumu?
Ubaya ni kwamba makanisa mengi sasa hayafundishi Ile injili yenyewe wanafundisha kuhusu kutajirika na kupata mali....lazima kwanza utengeneze mahusiano mazuri na Mungu ndo mema yakujie na hayo mahusiano yaanzie ndani ya Moyo wako uwe na moyo safi ujitenge na zinaa uwe mtu wa kusoma bible....Yan ukienda kuomba ndani ya dk hiohio unapata majibu
 
Utafuteni kwanza ufalme wa mbinguni na haki yake, mengine yote mtazidishiwa.

Sio tafuteni hela muingie mbinguni. Makanisa mengi yanasema mbinguni tutaenda kwa kumtolea Mungu zaka na fungu la kumi, na mavuno
 
Uko sahihi Mkuu siku hizi makanisa mi biashara mahubir Yao pendwa ni kupanda mbegu na zaka na sadaka n
 
Maombi yanasaidiaje kwa mfano?
Hapa kuna machalii hawana kazi, hawana hela, hawajimudu, hawamudu mahusiano yao, wameishia kuchukua tu sheria mkoni kwa kutumia mafuta ya upako wakiamini watapata mwanamke wa kizungu au mwanamke tajiri amrahisishie maisha.

Daily wanashinda makanisani na hawatoboi. How come?
Rudi kasome bandiko langu, nimeliboresha
 
Ubaya ni kwamba makanisa mengi sasa hayafundishi Ile injili yenyewe wanafundisha kuhusu kutajirika na kupata mali....lazima kwanza utengeneze mahusiano mazuri na Mungu ndo mema yakujie na hayo mahusiano yaanzie ndani ya Moyo wako uwe na moyo safi ujitenge na zinaa uwe mtu wa kusoma bible....Yan ukienda kuomba ndani ya dk hiohio unapata majibu
Natafuta kanisa linalotoa na kuuza divai ya upako
 
CBS Specialist (Re-advertised) (4 Position(s))

Job Purpose:
Support and create interfaces for Core Banking Systems (CBS) and be responsible for resolving incidents at a Level 2 in the back-end Core Banking Application systems.
Support End of Day (EOD) operators and coordinate Level 3 support issues for all back-end Core Banking Application systems with offshore support teams for proactive and active support.
Main Responsibilities:
Create Web Interfaces (API) for Applications to connect to Core Banking Applications.
Coordinate project groups and manage business demands to ensure that new systems solutions are sound and support the Bank's priorities including technical coding and implementation of products.
Responsible for Level 2 issues related to all Core applications and act as DevOPS support for applications which have been developed in-house from NMB Internal development team.
Responsible for Architecture System Design for all applications developed and ones connecting to Core Banking Systems.
Responsible in different sprints of the Project in any software development phase which at the end touch connection with Core Banking Application.
Support of day-by-day operations & performance of Core Banking System (CBS)
Automate back-office operations using third party systems through the Core Banking system.
Provide 2nd level technical support for CBS queries & incidents
Liaise with CBS Level 2/3 support teams to report incidents and ensure that relevant solutions are implemented both onsite and offshore.
Manage external service providers to ensure that developments are implemented according to project group requirements and contractual agreements.
Provide expert advice on Core Banking Systems and contribute to the unit's objectives.
Responsible for User Acceptance Testing on testing of Core Banking changes.
Knowledge and Skills:
Knowledge in Software Development Life Cycle (SDLC).
Knowledge in Linux Systems Support and Administration
Knowledge in creating and supporting scalable Enterprise applications.
A good understanding of Operating System software and computer hardware, preferably Unix/Linux or Solaris.
Familiarity with Structured Query Language (SQL) using RDBMS databases like MySQL, Postgres, MS SQL or Oracle.
Conversant with current and emerging technology trends in areas such as Robotic Automation, Artificial Intelligence (AI) and Machine Learning
Programming languages, preferably Java, Python and PL/SQL.
Interpersonal skills; Teamwork; Good communication skills; Attention to detail
Qualifications and Experience:
Bachelor's degree in computer science/Information technology/Computer Engineering or related field
Certifications in Linux/UNIX is added advantage.
Certifications in Database management e.g., Oracle will be added advantage.
A minimum of 2 to 3 years' experience in software development, DevOps support or Core Banking System
System Administration experience with proven capability to interact with IT resources (Infrastructure, IT architect, Risk system specialists) and Business departments.
Experience in Core Banking software technical management, working with development and support of Banking systems.
How to apply?
 
Am
Kuna siri ya ushindi ukifanya maombi ya vita muda huu. Naingia vitani (maombi ya vita) kisha nakuja kutoa darasa kidogo. Nimerudi sasa.

Ulimwengu huu unatawaliwa na siri nyingi, na siri hizi ziko kwenye mfumo wa namba.

Namba 3,6,9 zina nguvu sana ya kufanya uumbaji wa jambo kimwili na kiroho.

9 ndio namba kubwa zaidi hivyo ina nguvu nyingi zaidi.

Huwa natumia lisaa lizima, yaani 9.00 usiku hadi 9.59 kuamuru siku yangu, kuwaangusha adui zangu, kuinua biashara zangu, kuboresha afya yangu, mahusiano yangu na pia kuwaumba wanangu wawe kama vile nitakavyo mimi.

Nalitumia jina la Yesu, maana kasema ombeni lolote kwa jina langu, huku nikujumlisha na siri nyingine za kanuni za kiroho za uumbaji ambazo hawafundishwi kanisani.

Maombi haya yana matokeo sana, na muda huu huwa na utulivu, hivyo nafanya chanting. Natoa sauti.

Hata mchawi akiwa anafanya uharibifu wake, anaongea manuizi yake kwa kutoa sauti, hafanyi kimoyomoyo.

Sio lazima ukubaliane na mbìu zangu na wala mbinu zangu sio sheria. Kuna kanuni nyingi za kiroho za kukuvusha.

JITAFUTE
Amen
 
Maombi bila kazi, ni uchawi, hutapata kitu zaidi ya msongo tu,
Mchina hafanyi maombi, mchina anatumia vitu ambavyo tayari"Mungu"ameishawapa wanadamu,
Kwenye tekinilojia ya magari ya, umeme, Mchina kwenye soko anamiriki asilimia 60!, kijeshi, tekinilojia, anawatisha USA, na, umoja, wa, ulaya, China hakuna "tumsifu yesu kristo,wala bwana asifiwe,china wanatenda kama mfsno wa, Mungu!!
Kama huko Dar angalia utitiri wa makanisa na wachungaji, kila Kona wanahubiri kututatulia matatizo(tena ya kiuchumi)!
Vitendo ndio huleta tija,sio kuomba tu, cha ajabu unakuta jumapili wanawake kibao wapo kwa mwamposa ni kusali tu, kunywa maji,kupaka mafuta,kulamba chumvi!
Jtatu wapo kwa mchina wanatsfuta riziki, mchina mwenyewe,mwenye kiwanda, hamtaji Yesu! Ila anamuomba Mungu! Kwa vitendo, maana tayari kila kitu kipo!
 
Maombi yanasaidiaje kwa mfano?
Hapa kuna machalii hawana kazi, hawana hela, hawajimudu, hawamudu mahusiano yao, wameishia kuchukua tu sheria mkoni kwa kutumia mafuta ya upako wakiamini watapata mwanamke wa kizungu au mwanamke tajiri amrahisishie maisha.

Daily wanashinda makanisani na hawatoboi. How come?
Maombi yanajenga imani tu nakufungua nguvu iliyolala ndani yetu kila mmoja yakufanya kitu kitokee physical.
 
Back
Top Bottom