Wakati wa mimi kusema umefika

Wakati wa mimi kusema umefika

Salaam!

Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali.

Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!.

Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'

Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.

Deus Mallya
Dar es Salaam.

Enhe, ongea sasa tunakusikiliza
 
Kwa nini husemi?? mpaka jela umeenda mkuu, je ni maandalizi ya move kuingia sokoni?
 
Sema usiogope sema , sema usiogope sema, .... namuonea huruma MBOWE, MNYIKA na SLAA muda si mrefu damu ya CHACHA WANGWE itawalilia na MTAFUNGWA JELA

hA0647A4B
 
- HA! HA1 HA! HA! HA! mbona mnaaanza kutoka mapovu kabla mwananchi hjasema lililotokea mnajua kumbe kilichotokea ha! ha!

Le Mutuz

akili zako zimebunguliwa xana huko nyuma hukuwa hvo wamekuharib ccm
 
Mkuu mwaga mboga yote na hata maji yakunawa ikiwezekana!

Nakumbuka walisema wewe ni msaliti na majuzi ulikuwa kwenye maongezi!

Mkuu sema bila kuogopa!

Sasa Mbowe na Mnyika tumbo joto!

R.I.P Chacha wangwe!

huko nyuma walikumwagia walikumwagia ile ile sifa
 
Miaka yote umekaa kimya bila kuongea huo unaosema ni ukweli....baada ya kupewa mlungula na mzee Dialo leo unajifanya unajua na utaongea ukweli,SUBIRI HUKUMU YAKO WEWE NA MAGAMBA WENZIO,SHAME ON YOU.
 
Mkuu ndenga;
Nimelitafuta lile lidude la like nikalikosa. Nakupa like langu kabisa. Siasa za maji taka hazitufai tena. Hebu tufike mahali tukue, tukomae, tuseme sasa taka taka baasi tunataka "Utaleta maendeleo gani Tz??" Full stop.
Deus Mallya is nothing today. Kama walikunyang'anya leseni yako ya udereva waombe wao si huruma zetu.

Watu wanajisahau sana, wanafikiri pesa ni kila kitu..sometimes tupende kujenga utu na heshima!!
 
Toka kamtishe mkeo huko,we unafikiri movie haileweki?
Kamuulize Mwigamba aliyetaka kuwazuia Mbowe na Slaa kuwa viongozi amefikia wapi!
Naibu msajili?
 
Wakuu mwenye picha ya marehemu Chacha Wangwe atupie
 
Mzee wa mabebz upo?
Nasikia unataka kufanya insta party,count me in,ok?
- Siku ya kifo cha nyani miti yoter hutelezaa U know!! mara ACT, mara Zitto, mara Kitila sasa Deus Mallya duh!!

Le Mutuz
 
Salaam! Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali. Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!. Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili' Naamini kwa Mungu siku zote Naamini nikifa ni kwa Mpango wake Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo. Deus Mallya Dar es Salaam.
Subiri ukikaribia uchanguzi wa mwakani, utavuna hela nyingi kutoka ccm.
 
Hivi jamani,,ndugu yangu Ben Saanane yuko wapi..,mbona simuoni akitokwa mapovu kwenye thread kama hizi...yaani Mzee wake anakaribia kupelekwa lupango na yeye amekaa kimya kama hayamuhusu..njoo uwaambie umma wa JF kuwa hatuhusiki na atakachosema Mallya ni uzushi.

I'll talk for Ben, he is well educated than you and he has no time with your nonsense
 
kida roo malya, dea weerei neewe, elesa kila kindo. Mkibosho wa wapi mwoga hivyo muda wooote ulikuwa unasubiri nini
 
Nimeingia nione kilichosemwa nimekuta hola!

Upuuzi mtupu!
 
Anyway labda mimi sijaelewa, lakin kichwa cha habari na hakisadiki ulichoandika ndani
 
Back
Top Bottom