Wakati wa mimi kusema umefika

Wakati wa mimi kusema umefika

Hivi jamani,,ndugu yangu Ben Saanane yuko wapi..,mbona simuoni akitokwa mapovu kwenye thread kama hizi...yaani Mzee wake anakaribia kupelekwa lupango na yeye amekaa kimya kama hayamuhusu..njoo uwaambie umma wa JF kuwa hatuhusiki na atakachosema Mallya ni uzushi.

Mdogo wangu nakushauri mambo ya wachaga waachie wenyewe wenzako wana jani lao la isale likichumwa hilo na mbuzi zikichinjwa wanamaliza tofauti zao, sasa wewe woman from no where?
 
kULIKUA NA HAJA GANI YA KUSEMA UNATAKA KUSEMA HILI HALAFU HUSEMI? Huna tofauti na mtusa anaetaka kujiua halafu eti anaaga, aaagh wapi!! anayejiua mnakuta tu keshajitundika na wala hua haagi mtu.....mimi nilidhani nakuta bonnnngeeeeeeee la ujumbe umetiririka mbaya kumbe nii huu upuuzi. ok ok kwahio una mpango kusema lini?
Hata mie nimeshangaa sana nafukunyua sikuti minofu naona.mifupa tu nadhani anatafuta umaruufu kwa nguvu.Anatafuta Kick
 
Kansa Mbarouk naona atashinda bila shida!! Dawa ya Jeuri ya Mbowe sasa iko tayari.....

Karibuni nyooote.....
 
"Usiwe mtu mzima hovyo,huyu jamaa alifikishwa mahakamani na mahakamani kabla ya hukumu aliapa kuwa kila atakalolisema ni kweli.Sasa kwanini anavyohangaika humu JF kuwa ni muda wake wa kuongea?kwani mahakamani haukuwa muda wake wa kuongea?".Kama anasaka umaarufu kupitia hilo suala anapoteza muda bora akalime vitunguu huko vijijini!

Mkuu nimeangalia avatar yako nikajua ni mwenzetu toka Lumumba fc
 
Huwezi kupona kwa neno litokalo kwa aliyechanganikiwa akili. Utaponeshwa kwa neno la uzima litokalo kwa aliye wa kwanza kufufuka katika wafu, naye yu hai sasa na hata milele, ameketi kuume kwa Baba akiwa na mamlaka yote Duniani na Mbinguni. Sema Amina.
Malya sema neno moja na roho zetu zitapona
 
Salaam!

Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali.

Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!.

Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'

Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.

Deus Mallya
Dar es Salaam.


Kwa nini Unaandika Mallya na SIYO Malya?
 
Nyumba ya watakatifu yazidi kuteketea aaah!watakatifu wanaogopa tamko wa jambo ambal hawajafanya sasa mnaogopa nn?nyie ni watakatifu na utetezi wenu mbona mzuri tu matasema anatumiwa na ccm na misukule itaamini tu hata msiogope,
 
samahani leo MAWANI yangu nimeyasahau kule smoli hausi,, eti huyu kijana anasema anapasua JIPU?? au nimesoma vibaya
 
Nimegundua Chadema hasa Mbowe na Mnyika wana hali mbaya>
Mkuu mwaga mboga.
 
Nyumba ya watakatifu yazidi kuteketea aaah!watakatifu wanaogopa tamko wa jambo ambal hawajafanya sasa mnaogopa nn?nyie ni watakatifu na utetezi wenu mbona mzuri tu matasema anatumiwa na ccm na misukule itaamini tu hata msiogope,

Kuna kitu wanaogopa na leo watasambaratishwa yani mtu ame watetea miaka yote hiyo halafu wana muita msaliti.

R.I.P Chacha Wangwe
 
Hivi jamani,,ndugu yangu Ben Saanane yuko wapi..,mbona simuoni akitokwa mapovu kwenye thread kama hizi...yaani Mzee wake anakaribia kupelekwa lupango na yeye amekaa kimya kama hayamuhusu..njoo uwaambie umma wa JF kuwa hatuhusiki na atakachosema Mallya ni uzushi.

ww sio bure kuna kitu umekalia...pole
 
Back
Top Bottom