Wakati wa mimi kusema umefika

Wakati wa mimi kusema umefika

akili zako zimebunguliwa xana huko nyuma hukuwa hvo wamekuharib ccm

- Muwache biandam aseme kwanza ndio upingane na hoja zake sasa Demokrasia gani hiyo nyie UKAWA mtu anataka kuzngumza mnataka kumzuia muwache aseme kwanza

Le Mutuz
 
Haya ndiyo malipo ya chama kilichoanzishwa katika msingi wa kilaghai.

Kinachofanyika kwa sasa ni mapambano kati ya ulaghai na ukweli.

Ulaghai hauwezi kuushinda ukweli.
 
Haya ndiyo malipo ya chama kilichoanzishwa katika msingi wa kilaghai.

Kinachofanyika kwa sasa ni mapambano kati ya ulaghai na ukweli.

Ulaghai hauwezi kuushinda ukweli.
Chama gan! Act! Funguka
 
- Muwache biandam aseme kwanza ndio upingane na hoja zake sasa Demokrasia gani hiyo nyie UKAWA mtu anataka kuzngumza mnataka kumzuia muwache aseme kwanza

Le Mutuz
Ni ujinga kusema anataka kuzungumza badala ya kuzungumza!

Yani tutajaza server hapa kwasababu tu anataka kuzungumza?

No wonder kuna wanaoamini ni kutisha nyau tu!

Some people are stupid hadi Inasikitisha!
 
Acha vitisho unataka hasiseme? Hata Lwakatare alikamatwa kupitia ushahidi ulio tolewa kwenye mitandao!

Usimfundishe chakufanya!

Ruttashobolwa;
Usimdanganye mwenzio, mpe ushauri mzuri kama ana lake jambo ili ajue pa kulipeleka. Sasa anapokuja huku JF kutaka kupaaza sauti yake humu, huku kuna jaji au polisi?? Nimemfundisha mahali pazuri tu pa kwenda kupayukia maneno hayo. Sote tunataka HAKI itendeke. Ndg zake Wangwe wana kiu kujua huo ukweli na kuona haki inatendeka. Sasa akija kusema humu JF weye waona ndo penyewe?? Hatutaki umbeya mpaka kwenye maisha ya mtu. Wangwe alikuwa mtu, anastahili kuheshimiwa hata kama hayupo leo. Awataje kwanza mbele ya wenye uwezo juu ya hao wauaji, sisi tutaambiwa yaliyo tokea.
Kuja kutajia humu, nasema, kachoka kuishi uraiani. Segerea kulimpendeza sana. Aende tu pale getini awaombe askari wamfungulie. Mbona kuna mtu aliwahi kunogewa na jela mpaka akainunua?? Mallya si wa kwanza
 
Badala ya kupoteza muda wangu kwenye hizi page zote.., please chochote kikisemwa naomba mtu ani Mention..

Haya mambo ya badala ya kusema mtu unakuja kutwambia kwamba unataka Kusema alafu usemi inapelekea kupata mashaka na so called msemaji
 
- Siku ya kifo cha nyani miti yoter hutelezaa U know!! mara ACT, mara Zitto, mara Kitila sasa Deus Mallya duh!!Le Mutuz
Le Mutuz no one knows kuwa Deus alitaka aseme nini kwenye hiyo thread,ndo mimi hapo ninapouliza nini alitaka kusema,au we unajua nini alitaka kusema.Nimesema anatafuta kick makusudi.Lkn inaonyesha kuna kitu unajua ambacho Mallya hajaeleza au ndo walewale tunaowaita ni wazee without experience?
 
Kama mimi namwona msemaji ni mzushi tu,na wote wenye mazoea ya kuzungumza kama yeye ni wazushi tu.
 
Ruttashobolwa;
... Wangwe alikuwa mtu, anastahili kuheshimiwa hata kama hayupo leo. Awataje kwanza mbele ya wenye uwezo juu ya hao wauaji, sisi tutaambiwa yaliyo tokea.
Kuja kutajia humu, nasema, kachoka kuishi uraiani. ...

Shukran mkuu; ni ajabu watu wanavyoweza kugeuza uhai na utu wa wenzao kuwa mchezo wa tamthiliya. This country has, indeed, gone to the dogs!
 
Kwa lolote utakalolisema leo halitakuwa na faida wala maana zaidi ya upumbavu, uuaji na udanganyifu tena ule unachora usoni pako picha ya ujuha, kukosa uzalendo njaa na kukosa mwelekeo katika maisha. Zaidi ya hapo hakuna mtu atakayekuamini na ndiyo maana hata polisi hawajayafanyia kazi maneno yako.

Mimi sifahamu unachotaka kusema ni kwa masilahi yako na nani. Lakini mtu yeyote mwenye akili timamu ataridhika ukijibu maswali yanayoibuka yakiwemo yafuatayo

1. Wewe Mzee Wangwe amesemekana kapata ajali ukiwa naye wewe. Na kwa hakika wewe ndiye unaufahamu ukweli sahihi, kwa nini hukusema wakati ule ule? Au polisi hawakuwepo?

2. Ni miaka mingi sasa imepita kama kweli wewe ni kiumbe mwenye dhamira safi, uliwezaje kuishi na jambo zito hilo moyoni?

3. Watu wengi wamefanya dhambi za kuwaza na kunena kila mtu alivyohisi. Leo hii utakaposema, utawafungua wengi sana lakini vipi walio kufa na dhambi ya kuwawazia watu mabaya kwa sababu wewe ulificha ukwel?

4. Kuna watu wamegombana na hata kupotezeana utu na hata kuvunja mahusiano yao yaliyokuwa na maslahi na faida kubwa kiasi kwa kuvunjika uhusiano waom maisha yao yameharibika permanently, kwa sababu tu uliwa mislead. Unawafidiaje hawa?

5. Kama unania safi na ya kweli, ulipaswa kwenda kwenye vyombo halali ili ukajisafishe na kuwatengenezea haki zao wanaostahili akiwemo Marehemu Wangwe. Lengo lako la kutaka kuandika hapa ni nini? JF ni mahakama kwamba itatoa tamko la kisheria ili kutoa haki inapostahili?

6. Unachotaka kusema hapa ni kwamba ulipotosha ukweli makusudi. Na hili lazima ni kwa maslahi makubwa sana ambayo uliyaona yanafaida kwako kuliko madhara uliyowasababishia watu wengine. That is inhuman. Na kama hiyo ndiyo tabia yako, kwa nini tusiamini kwamba unakuja na motive ile ile kama ya mwanzo ya kutokuwa mkweli kwa maslahi zaidi?

7. Kitu gani kitatutanabaishia kwamba wakti ule ulificha ukweli kwa sababu ulikuwa mnyama na sasa umekuwa binadamu kwamba utasema ukweli?

8. Wewe siyo minor na wakati ule hukuwa miro. Ninaomba utakalolisema lisikuache, uambatane nalo hadi mwisho wake hata kama ni kwa Divine Justice!. Tumechoka na mazingaombwe.





Salaam!

Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali.

Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!.

Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'

Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.

Deus Mallya
Dar es Salaam.
 
Hivi jamani,,ndugu yangu Ben Saanane yuko wapi..,mbona simuoni akitokwa mapovu kwenye thread kama hizi...yaani Mzee wake anakaribia kupelekwa lupango na yeye amekaa kimya kama hayamuhusu..njoo uwaambie umma wa JF kuwa hatuhusiki na atakachosema Mallya ni uzushi.

Hivi Ben alisema ulikubali au alisema ulikataa kwenda kuchanjwa chale za makalio na yule sangoma wa Zitto? siamini kabisa unaweza ukawa na chale za Sangoma wa Zitto kwenye makalio. Ngoja nikamuulize Mwigulu.
 
Ulikuwa wapi kwa zaidi ya miaka sita tangu 28.07.2008 kuusema ukweli unaotaka kuusema sasa? Ulipandishwa kizimbani je, ulichozungumza ukiwa kizimbani hakikuwa ukweli? Kwanini sasa na siyo miezi mitatu tangu tarehe hiyo ambapo kumbukumbu yako ya yote yaliyojiri kuhusiana na kifo cha Wangwe ilikuwa bado nzuri sana ukilinganisha na miaka sita baadaye? Je, unajua kama kuidanganya mahakama ni kosa ambalo linaweza kukupandisha kizimbani na hatimaye kukupeleka lupango? Ujue fika chochote utakachosema sasa kama kitahitilafiana na ushahidi ulioutoa kwenye kesi yako basi utaonekana ni muongo tu na hicho utakachokisema Watanzania wengi hatutakiamini.


Ulikuwa na nafasi ya kueleza kila kitu mbele ya mahakama, iweje hakufanya hivyo??

Nani ataamini utakachokisema sasa?
 
Unatwambia wakati wako wakusema umefika,mbona husemii lakini naamini ipo siku utasema sababu naamini damu ya mtu ina mateso sana kama mtu amehusika kuimwaga,hata asipofungwa anaweza kuishia kuwa chizi hata kama siyo leo,kesho ama mtondogoo...!

Damu ya mtu inamateso sana hasa kwa uongo anaotaka kusema hapo ndo atakuwa ameau walio hai.:hail:
 
Ngoja tumkabidhi kwa mabazaz akakaguliwe
Hivi Ben alisema ulikubali au alisema ulikataa kwenda kuchanjwa chale za makalio na yule sangoma wa Zitto? siamini kabisa unaweza ukawa na chale za Sangoma wa Zitto kwenye makalio. Ngoja nikamuulize Mwigulu.
 
Back
Top Bottom