Wakati wa mimi kusema umefika

Wakati wa mimi kusema umefika

Mi nilijua utasema unaendelea kutisha watu....hakika hii nchi imeoza mtu anadiliki kusema anajua mauaji lakini serikali imekaa kimya shitttttttt
 
Badala ya kupoteza muda wangu kwenye hizi page zote.., please chochote kikisemwa naomba mtu ani Mention..

Haya mambo ya badala ya kusema mtu unakuja kutwambia kwamba unataka Kusema alafu usemi inapelekea kupata mashaka na so called msemaji

Kwakweli hata mimi naomba tu mtu ani mention.....huu ni upuuzi maana tunaishia kusoma mialiko ya insta party humu:angry::angry::angry:
 
Salaam!

Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali.

Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!.

Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'

Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.

Deus Mallya
Dar es Salaam.
Huko ni kuhamgaika tu...
- Kwa nini hukuyasema mahakamani hayo unayotaka kuyasema?
- Kwa nini usiyaseme kama sehemu ya kuripoti kwako polisi?
- Kwa nini ulikaa kimya muda wote huo?
- Unadhani ni kitu gani kinakufanya uone wakati wa kusema umefika?

 
Kwakweli hata mimi naomba tu mtu ani mention.....huu ni upuuzi maana tunaishia kusoma mialiko ya insta party humu:angry::angry::angry:

Bado nakupenda sana....
 
Bwana Deus kama kawaida uwanja ni wako.....jimwage
Inashangaza lakini unavyocheza mchezo wa kutishia nyau. Pasco nadhani keshaeleza vizuri madhara ya kutishia nyau. Hicho unachoficha kinaweza kisiwe na faida kiviiiile, ukizingatia mambo kadha wa kadha...
 
Last edited by a moderator:
Ulikuwa wapi kwa zaidi ya miaka sita tangu 28.07.2008 kuusema ukweli unaotaka kuusema sasa? Ulipandishwa kizimbani je, ulichozungumza ukiwa kizimbani hakikuwa ukweli? Kwanini sasa na siyo miezi mitatu tangu tarehe hiyo ambapo kumbukumbu yako ya yote yaliyojiri kuhusiana na kifo cha Wangwe ilikuwa bado nzuri sana ukilinganisha na miaka sita baadaye? Je, unajua kama kuidanganya mahakama ni kosa ambalo linaweza kukupandisha kizimbani na hatimaye kukupeleka lupango? Ujue fika chochote utakachosema sasa kama kitahitilafiana na ushahidi ulioutoa kwenye kesi yako basi utaonekana ni muongo tu na hicho utakachokisema Watanzania wengi hatutakiamini.


Mkuu ameamua kusema sasa utulie aseme!
 
Wa kusema angeshasema, wewe ni wa kubwa-bwaja unabaki kujiuma-uma.

Kuna mambo ya kubembelezwa kusema na si hili la kwako.

Hakuna mwenye muda wa kuanza kutongozana humu...ni wazi huna la kusema.

Tambua Tanzania ni yetu sote, wakutumiao hawana jema kwako...simamia misingi ya ukweli, na uzungumze kweli tena iliyo kweli tupu.

Kila heri.
 
Naona hamna cha maana si bora niombe mwaliko wa insta party!!!
Kwakweli hata mimi naomba tu mtu ani mention.....huu ni upuuzi maana tunaishia kusoma mialiko ya insta party humu:angry::angry::angry:
 

Attachments

  • 1409581613900.jpg
    1409581613900.jpg
    22.4 KB · Views: 144
  • 1409581635106.jpg
    1409581635106.jpg
    32.4 KB · Views: 131
Last edited by a moderator:
Pilipili ya shamba inakuwashia nini Ufipa?

wewe mambo ya ufipa yanakuwashia nini wkt wewe ni zwazwa kutoka pale lumumba,punguza umbea mama Mingoi
 
Last edited by a moderator:
- HA! HA1 HA! HA! HA! mbona mnaaanza kutoka mapovu kabla mwananchi hjasema lililotokea mnajua kumbe kilichotokea ha! ha!

Le Mutuz
sorry to ask...umeolewa?...mmeo anajuwa kuwa mkewe anaongea pumba huku?
just a lil respect unaweza kuolewa mara ya 2 ikawa ni shida kijana.
 
Kuongea kweli ndio haki pekee utakayomtendea marehemu Chacha Wangwe. Otherwise dhambi itakuandama mpaka mwisho wa maisha yako.
 
- Muwache biandam aseme kwanza ndio upingane na hoja zake sasa Demokrasia gani hiyo nyie UKAWA mtu anataka kuzngumza mnataka kumzuia muwache aseme kwanza

Le Mutuz

kwani we akili zako zimepona! Mbona
umebunguliwa nyuma mda mrefu.
 
Hivi jamani,,ndugu yangu Ben Saanane yuko wapi..,mbona simuoni akitokwa mapovu kwenye thread kama hizi...yaani Mzee wake anakaribia kupelekwa lupango na yeye amekaa kimya kama hayamuhusu..njoo uwaambie umma wa JF kuwa hatuhusiki na atakachosema Mallya ni uzushi.

Mwanamke tulia angalau upate mume aseeeeeh.
 
Back
Top Bottom