Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

Binafsi naiamini OUT Kuliko Degree za sketi zinazotolewa MZUMBE, MZUMBE MBEYA(Extremely) TEKU Na UD
 
Nenda OUT au ingia kwenye website yao uone jinsi chuo kilivyo vibrant. Msiwe mnaleta hoja mitandaoni bila utafiti. Tembelea www.out.ac.tz
 
kwa masters na kuendelea sawa lkn kwa kuanzia yaani bachelor, mko incompetent. sababu ni kuwa unasoma utakavyo, halafu unaweza hire mtu akakufanyia asilimia 40% ya degree yako. then we ukamalizia na pass ya 15% na ukamaliza. ndo shida iko hapo.

ni bora open ukiwa kazini ambapo mara nyingi unajiimarisha ktk eneo unalofanyia kazi
...eti unaweza hire mtu akakufanyia mtihani?!
you must be a lunatic!
 
Yapo mapungufu mengi (na ya wazi) katika Chuo chetu Pendwa cha OUT ambayo yakirekebishwa yataifanya kuwa chuo nambari one Africa kama kilivyo University of South Africa (UNISA) ambao nao wanatoa kozi zao kwa mfumo wa masafa kama walivyo OUT;
1. Wahadhiri wengi wa OUT, si watafiti na hata hao wachache hawachapishi tafiti zao kwenye majarida ya kimataifa, hata kuhudhuria mikutano ya kimataifa katika eneo walilozamia (Specialization) ni nadra sana
2. Wengi wa wanafunzi wa OUT ni waliopata alama za chini katika sifa ingizi (Entry Qualifications) hivyo kuwafanya wanyonge sana na kujiweka katika fungu la kukosa.
3. Vifaa vya kujifunzia na ufundishaji ni duni sana (Maktaba, Maabara na Muda kukutana na Mkufunzi (Contact hours) ni mchache sana
...nyie watu mnaandika humu wakati hamna uhakika na chochote; juzi tu wamemalizia kujenga ODL Tower, ile library sijui kuna chuo gani hapa bongo itaifikia,ukiondoa UD...
unaweza kuta mtu humu ni mwanafunzi, halafu hata mazingira ya chuo chake hayajui!!
 
yaani hadi saizi mnabishana stori za chuo kipi kizuri???? huku graduates wenu wakisugua gaga kitaa??? badala ya kubishana njia za kuwakomboa graduates wanaosugua kitaa.
 
Mtoa hoja inaelekea wewe mwenyewe ndo uko shalo ndo maana unadharaulika usisingizie chuo.

mimi nimesoma chuo hicho hicho na niko vizuri.

kuhusu hoja ya kutokuanzisha program za medicine,engeneering na agriculture katika chuo kikongwe kama hiki ni ngumu kumbuka wao wanatoa elimu kwa njia ya masafa ODL open and distance learning na hizo program zinahitaji kujifunza kivitendo zaid so ni ngumu so tuziache ziendele kua udsm sua na muhimbili ambazo ni conventional universities.

out wao wanajikita zaidi na program za education. arts and social science,business na law.

hakuna mambo ya kufanyiana mitihani unaingia wewe kama wewe kwa kutumia id yako pamoja na examination hall ticket(EHT).

ni upumbavu kuifananisha out na shule ya kata. sisi hatuhitaji majengo mengi kwasababu our mode of delivering education ni ODL niswala tu la kua na vituo kila mkoa ambavyo vipo na vinafanya vizuri.

mwisho kabisa wale wenzangu baadhi mliosoma udsm muache dharauza kijinga kwa kuona chuo chenu ndio chuo na vingine ni tution centre. huo ni uselfishness inaonekana wasomi mlitaka muwe nyinyi tu na wengine wasisome huo ni uchoyo ya fikra. huku makazini tupo nao udsm kibao wengine hawajui hata kuandika barua na ufanisi wao kazini ni poor huwa wanajihami kwa ubishi hapo hutowaweza.
 
Nikweli dhiaka zipo lakin usikate tamaa na sio wote wanaomaliza udsm wanakuwa wako vzr wengine ni wakawaida sema jina ndo linawabeba tuachane na hayo mkuu ninahitaji kufanya project ya maning so kama kuna mtu anauwelewa wakutengeneza proposal tuwasiliane 07566090956
 
Mh kweli Cc watanzania badala ya kuangalia opportunity, tunabishana nani kasoma wapi ni upuuzi kabisa, hivi hawa wenye first class na wale wenye lower, c wote mko street kusaka job.???? Wapo watu wamesoma vyuo vya ajabu na wako smart, kuliko wewe uliyesoma sijui udom au udsm. All in all find the opportunity doesn't matter umesoma Liverpool or Harvard University. Hao wa udsm kujisifia sana mbona lile shindano la airtel Africa, mlikuwa wa mwisho kila siku na bora liliisha maana mlikuwa mnatutia aibu tuu. Bora. #embu grow up guys find the opportunities please bado tuko nyuma sana kimaendeleo
 
Acheni mawazo mgando, nyinyi mbulula, Hivi kusoma lazima uajiliwe? Mimi nimesoma Open University Master of Project Management, nimejiajili nasimamia miradi yangu. Makufuli Regime will never reach me.
 
Acheni mawazo mgando, nyinyi mbulula, Hivi kusoma lazima uajiliwe? Mimi nimesoma Open University Master of Project Management, nimejiajili nasimamia miradi yangu. Makufuli Regime will never reach me.
 
Acheni mawazo mgando, nyinyi mbulula, Hivi kusoma lazima uajiliwe? Mimi nimesoma Open University Master of Project Management, nimejiajili nasimamia miradi yangu. Makufuli Regime will never reach me.
 
Acheni mawazo mgando, nyinyi mbulula, Hivi kusoma lazima uajiliwe? Mimi nimesoma Open University Master of Project Management, nimejiajili nasimamia miradi yangu. Makufuli Regime will never reach me.
 
Acheni mawazo mgando, nyinyi mbulula, Hivi kusoma lazima uajiliwe? Mimi nimesoma Open University Master of Project Management, nimejiajili nasimamia miradi yangu. Makufuli Regime will never reach me.
 
Chuo kikuu huria ni chuo kinachoelea angani,mmoja alinishauri ,nikikosa kupata nafasi ya kusoma chuo kikuu kawaida,bora niache kuliko kusoma OUT.
 
You are not informed. Mambo ya assignment yalishafutwa. Unasoma unaenda kufanya examination in th examination room. Mwingine atakufanyia saa ngapi and where. No research no right to allege. Ulimwengu wa leo ni wa distance learning. Mambo ya kwenda kulishwa kama kindergarten yamepitwa na wakati. Utaona mtu toka baadhi ya "vyuo vya kulishwa" hata kuandika coursework paper anashindwa kwasababu amezoezwa kulishwa kila kitu kama mtoto mdogo. Kutafuta hawezi. Open University kunafanyika research nyingi kupita chuo chochote nchini. Students are trained to search materials. Vyuo vingine mwanafunza anamaliza Masters degree hata kutumia internet hajui, library hajawai ingia. It is fanny.Open university hizo sources of doctrinal materials are core and key at all times.

Binafsi kwa wachache ninaowafahamu kama walimu na wanafunzi wa OUT wapo weak sana . Inahitatajilka nguvu ya ziada kuraise level of competency ya chuo hiki. Si kweli kuwa vyuo vingine hawajui kutafuta materials mtandaoni au library ila hao wa OUT ndio wanaongoza. Kama wewe ni member wa hapo OUT ningekupa tu majina kadhaa ya lecturers mizigoooo na wao wenyewe hujisemea aah chuo chenyewe hiki hakina haja ya ubora. Kuna baadhi ya walimu ukiongea nao vizuri wanaedit matokeo kwenye SARIS ..yani kuna mengi ngoja niishie hapa tu ila kikubwa ni kuwa ili tuwatendee haki wanafunzi wa OUT kunahitajika reforms kubwa hapo chuoni. Kwanza walimu wajiongeze badala ya deals na majungu wasome, wapublish papers na kuacha uvivu. Mnaweza kuwa darasani kipindi fulani mwanafunzi akatoa common example kwenye somo husika (mind you common example ) mwalimu akadai hajawahi kusikia hiyo scenario wala haonyeshi juhudi kutaka kujua. Na for information kuna baadhi ya waajiri hawachukui kabisa mtu wa OUT ...tujiulize kwa nini.
 
Iconcur with your position. Vyuo vingine ni bla bla tu. Wanafunzi wanaambiwa na lecturer mtihani nitatoa hapa( area of cincetration). While in the Open university the whole course work is the area of concetration. Je yupi ni competant?

Competence is not obtained in exam only, and for your information even world's best schools may highlight areas of concentration. The discussion point here is - competency of the teachers, mode of transferring the knowledge and the whole teaching system.
 
Back
Top Bottom