Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

Wewe naona unaongea
Binafsi kwa wachache ninaowafahamu kama walimu na wanafunzi wa OUT wapo weak sana . Inahitatajilka nguvu ya ziada kuraise level of competency ya chuo hiki. Si kweli kuwa vyuo vingine hawajui kutafuta materials mtandaoni au library ila hao wa OUT ndio wanaongoza. Kama wewe ni member wa hapo OUT ningekupa tu majina kadhaa ya lecturers mizigoooo na wao wenyewe hujisemea aah chuo chenyewe hiki hakina haja ya ubora. Kuna baadhi ya walimu ukiongea nao vizuri wanaedit matokeo kwenye SARIS ..yani kuna mengi ngoja niishie hapa tu ila kikubwa ni kuwa ili tuwatendee haki wanafunzi wa OUT kunahitajika reforms kubwa hapo chuoni. Kwanza walimu wajiongeze badala ya deals na majungu wasome, wapublish papers na kuacha uvivu. Mnaweza kuwa darasani kipindi fulani mwanafunzi akatoa common example kwenye somo husika (mind you common example ) mwalimu akadai hajawahi kusikia hiyo scenario wala haonyeshi juhudi kutaka kujua. Na for information kuna baadhi ya waajiri hawachukui kabisa mtu wa OUT ...tujiulize kwa nini.

Wewe naona unaongea jumla jumla haujawa focused. Kuhusu ku-edit matokeo kwenye saris ni uongo uliotukuka kwa kuwa chuo kizima kina watu wasiozidi watano ambao ndio tu wenye access ya kuedit matokeo na si kila mwalimu. Walimu wana limited access ya ku-view only. Hao watu watano wanafanya kazi kwenye kitengo cha mitihani "Directorate of Examinations Syndicate". Kwa hiyo kusema ukiongea na mwalimu yeyote anaweza kuedit matokeo ni uongo kabisa. Hebu jaribu uende kuongea na mwalimu halafu uone kama ataku-editia matokeo. Kuweni wakweli heshimuni dini zenu.

Kuhusu walimu wa OUT kuwa weak ni uongo mwingine. Walimu wa OUT ni watumishi wa chuo kikuu cha umma na wanaajiriwa kwa vigezo vilevile vinavyotumika kuajiri walimu wote wa vyuo vikuu vya umma vikiwamo udsm, udom, mzumbe, sua, aru, mkwawa, nk. Sasa hiyo weakness unayozungumzia inatoka wapi? Isitoshe walimu wa OUT ni wahitimu wa vyuo mbalimbali duniani kikiwamo hicho mnachoita ni bora UDSM. Kama walimu wa OUT ni weak basi kilaumiwe UDSM kwa kuzalisha waajiriwa weak kwa OUT. Nasema haya kwa kuwa 80% ya walimu wa OUT ni products za UDSM.
 
Last edited:
A cha TE="Igwachanya, post: 14972478, member: 28694"]Mkuu nakuunga mkono. Mimi nimesoma UDSM miaka ya 2000s. Ikumbukwe kuwa UDSM was the best kwa kuwa chuo kilikuwa kinachukua cream yote hafu vyuo vingine ndio vilikuwa vinaselect baada ya UDSM kuchagua best performers. Mwanafunzi akikosa UDSM alikuwa na uwezo wa kuwahi application deadline kwa vyuo vingine.

Aidha, utaratibu wa selection ulikuwa smarter than it is today. Baada ya kumaliza form six, ili uwe eligible for selection, pamoja na mambo mengine tulikuwa tunafanya matriculation examination ambapo matokeo yake yalikuwa averaged na matokeo ya form six. Pia cut off points zilikuwa juu sana. Course zilizonyingi zilichukua Div I mwisho point 6 au 7 (UDSM).

Hivyo, standards za admission ktk Chuo Kikuu cha Dar zilikuwa zina-guarantee admission of best students.

Baada ya vyuo vikuu kuwa vingi na pia centralization of admission system, sidhani kama UDSM ni ile ya zamani. Pia products za hivi vyuo vyote tunaziona hata kwenye mijadala ya wazi unaona kabisa kunatatizo la admission ya wanafunzi wenye uwezo mdogo - UDSM inclusive. Siku hizi hadi Div III wanakuwa admitted ktk fani mbali mbali. Na, kuthibitisha hili ni kwamba wale wote ambao walikosa nafasi kwa kuwa na sifa pungufu (miaka ya nyuma), wengi wao wamefanikiwa kusoma UDSM miaka ya hivi karibuni. Hii inaonyesha kunaulegevu wa vigezo vya admission. Kwa lugha ya mtaani goli limepanuliwa. Nakumbuka darasa langu la Economics (UDSM) aliyekuwa na matokeo ya chini kabisa alikuwa na Div I ya point 7 na darasa lilikuwa na wanafunzi 28.

Sina lengo la kudharau vyuo vingine, hapana! Ila hii ndio hali halisi ya tulikotoka. Kwa sasa, hivi vyuo havitofautiani sana kwa kuwa vinapokea wanafunzi wenye uwezo mkubwa sana na mdogo sana. Hivyo, nashindwa kutoa general conclusion kuwa UDSM is still the best as it used to be in the past.

Nadhani huu mjadala ili uwe na maana lazima tuupe context ya time period tunayo-refer.[/QUOTE]
Acha dharau dogo. Kuna watu kibao tumepata div 3 lakini tuna maisha mazuri tu. Hicho kidivisheni 1 chako kisikupe kiburi
 
Baadhi ya wana jf wana tabia ya kuanzisha thread out of their frustration. Hii thread huenda imeanzishwa na mtu aliyesoma OUT lakini akakosa ajira kutokana na poor mentality kwa kudhani kuwa ni lazima aajiriwe ofisini.
 
Baadhi ya wana jf wana tabia ya kuanzisha thread out of their frustration. Hii thread huenda imeanzishwa na mtu aliyesoma OUT lakini akakosa ajira kutokana na poor mentality kwa kudhani kuwa ni lazima aajiriwe ofisini.
 
Binafsi huwa naiona Open University of Tanzania kama Tuition Centre fulani kwa wale wasio na sifa za kujiunga na Vyuo Vikuu. Kiukweli wamechoka mpaka wanatia huruma.
 
Baadhi ya wana jf wana tabia ya kuanzisha thread out of their frustration. Hii thread huenda imeanzishwa na mtu aliyesoma OUT lakini akakosa ajira kutokana na poor mentality kwa kudhani kuwa ni lazima aajiriwe ofisini.
 
Unahangaika bure. Elimu ya Tanzania kwa ujumla wake imeshuka sana kiasi kwamba bila kujali chuo anachotoka unakuta mwanafunzi anasoma Master's degree tena karibu anagraduate lakini believe me wengi hawana competence kabisa. Hata kuandika report hawajui. Elimu ni ya ujanja ujanja kupass mitihani tu "by all means". Elimu ya bongo imekuwa ya kwenye vitini tu.
So asikuongopee mtu, sio UDSM, Mzumbe, OUT sijui chuo gani wote kwa miaka hii ni victims wa poor quality education. Unakuta mwanafunzi yuko university lakini yuko kihuni huni tu kuanzia anavyovaa, qnavyoongea na general appearance yake. Msemeshe sasa, ni aibu. Mahali pekee unapoweza kusema wako serious ni Muhimbili University of Health. Mwanafunzi wa bachelor degree wa miaka ya '90 pale UD ana quality zaidi ya mwanafunzi wa leo wa Masters hapo hapo UD.
Ni shida. Kila kitu ujanja ujanja usio na maana, elimu ya vyeti na GPA tu lakini vitendo ni zero.
 
Hahaaa wakuu msichukie ni system nzima imeoza na hasa ya OUT . Unaebisha kuedit matokeo kwenye SARIS endelea kubisha ila nina evidence kabisa. Kwani hao watu watano sio binadamu. I have so many cases na pengine nipo humu humu sasa tusilee uozo. Issue ni chuo kina matatizo yanayopelekea utoaji mbovu wa huduma.

UDSM nayo ina matatizo ila loopholes kidogo ni ngumu ndicho tunacholilia kwa hapa OUT kuwe na discipline kwa waalimu, na system nzima ya ufundishaji othewise wanafunzi wetu watazidi kuwa scapper mtaani.
 
labda wewe ndiyo unadhalauliwa kwa kuwa kwako kilaza lakini watu wanasoma out wengi wao wanao odhoefu wa kufanya kazi jambo ambalo ni moja ya cv ya kupata kazi.kwanza wengi wao ni waajiriwa pili ndiyo wanaowafanyia usaili wanatoka vyuo vingine waliosoma kinadharia zaidi
 
Najivunia kusoma CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA kwanza ada ni nafuu sana, pili hamna stress za kiji.nga 3. tunafundishwa na magwiji katika taaluma husika. UDSM, UDOM, SUA wengi wenu ni vilaza mnajua kugoma tu. Fyuuuuu.................
...hahahahahaha..unaona sasa?dume zima unafyonza!
..tabia ya kisonso hiyo,utaacha kudharaurika?
 
Wana OUT msikatishwe tamaa na maoni binafsi ya humu sisi ni CHUO BORA kabisa AFRIKA na tupo kwenye mpango maalumu kabisa kuunganisha chuo chetu pendwa na vyuo vya MAREKANI ili tupate wanafunzi toka huko. Asanteni
 
Hivi kwa nini jamii ya kitanzania mmetokea kutudharau sisi wahitimu wa Chuo Kikuu Huria?

Tumekosea wapi jamani? sisi mbona ni kama wahitimu wengine kutoka vyuo vingine vikuu? yaani nimehudhuria interview kadhaa humo ni dharau dharau mwanzo -mwisho kisa nimesoma Open University of Tanzania?

Dharau hizi hazivumiliki asilani. Tumechoka na punde itabaki historia. INAUMA, INAUDHI!!
Tena mnadharaulika sana. Mm nikiwaza hapo tuu basii bora nisote clas . ukitaka soma open uwe muajiriwa tayar lakin kama fresh? Uhii kaz utaisikia kitonga
 
kiukweli tunadharauliwa sana sio tu kwenye interview bali hata tukikutana na wanafunzi wenzetu huko mtaani. Waziri wa Elimu ingilia hili, hali si hali kwetu yaani tunaonekana kama MEMKWA
 
kiukweli tunadharauliwa sana sio tu kwenye interview bali hata tukikutana na wanafunzi wenzetu huko mtaani. Waziri wa Elimu ingilia hili, hali si hali kwetu yaani tunaonekana kama MEMKWA
Iman yako tu
 
vyuo vingi vina majanga yake kwa mfano udsm upande wa coet kule kama wewe sio muhaya kufaulu inakua ngumu sana, ndo maana chuo kinatoa wahitimu vilaza sana, pia udbs napo kama wew sio mchaga napo nishida uwezi soma bila kukosa supp au kudisco kabsa, wengi wanapewa dgree za kupewa
 
vyuo vingi vina majanga yake kwa mfano udsm upande wa coet kule kama wewe sio muhaya kufaulu inakua ngumu sana, ndo maana chuo kinatoa wahitimu vilaza sana, pia udbs napo kama wew sio mchaga napo nishida uwezi soma bila kukosa supp au kudisco kabsa, wengi wanapewa dgree za kupewa
Coet ipi unayosema mkuu. Mie navojua Coet hakuna degree ya kupewa. Pale degree inatafutwa. Mie na uhakika kila mtu katika chuo cha dar es salaam anahaki sawa. No ukabila no gender. Kufaulu kwako ndiko ku exist kwako. Najua waliosoma Coet na Udbs wanalijua hili
 
OUT ni Kichaka flani "amazing" hata ajira za pale ni ama wewe unatokea MBEYA au kama ni mpare (kwa sasa)
 
Back
Top Bottom