Mkuu apply chuo kizuri sana,hata ndugu zangu watatu wanasoma sasaDuh niataka kuaoply degree next yr lkn mmenitisha
Mkuu apply chuo kizuri sana,hata ndugu zangu watatu wanasoma sasaDuh niataka kuaoply degree next yr lkn mmenitisha
Iconcur with your position. Vyuo vingine ni bla bla tu. Wanafunzi wanaambiwa na lecturer mtihani nitatoa hapa( area of cincetration). While in the Open university the whole course work is the area of concetration. Je yupi ni competant?
Iconcur with your position. Vyuo vingine ni bla bla tu. Wanafunzi wanaambiwa na lecturer mtihani nitatoa hapa( area of cincetration). While in the Open university the whole course work is the area of concetration. Je yupi ni competant?
kwa masters na kuendelea sawa lkn kwa kuanzia yaani bachelor, mko incompetent. sababu ni kuwa unasoma utakavyo, halafu unaweza hire mtu akakufanyia asilimia 40% ya degree yako. then we ukamalizia na pass ya 15% na ukamaliza. ndo shida iko hapo.
ni bora open ukiwa kazini ambapo mara nyingi unajiimarisha ktk eneo unalofanyia kazi
Open University ni chuo ambacho kikiachwa kiendelee hiv kitazalisha wataalamu wa kuiteketeza hii nchi. Tena la ajabu hata wenyewe wahitimu wanalijua hili. Fuatilia usanii unaofanyika kila mahafali yao lazima wamchomeke mtu maarufu anayehitimu ili kuvutia watu kujiunga na chuo chao. Watu makini (ikiwemo JPM, Mwigulu n.k.) wamejipambanua kwa vyuo walivyosoma, UDSM na si OUT. Inshort programu za OUT ni tia maji tia maji.
NB: Kuna mbegu ya UDINI (hasa programu za Social Science, KISWAHILI kuna wavaa vipedo mule wanajazana uji,nga na kupeana marks bila mpangilio) PACHUNGUZWE!!!
Nlimaliza udom thoz yearz, nimemaliza program ingine open universty recently, mziki wa open usipime, Nlidhan open ni lelemamaa hakika sio, nlichokisomea hakijadharaulika na kimeniinua kiasi, mentality ya kudharau OUT ipo cha muhim ni kutambua malengo yako na kuyasimamia.
Mtadharaulika tu maana chuo chenu hakina hadhi hebu fikiria namna walimu/wahadhiri wenu mainly kwa kujuana, pili PROMOTION CRETERIA zenu ni kichekesho Muhadhiri akiandika makala gazetini na kutoa pamphlet(s) kama Nyangwine huyoo tayari Professor, Master/PhD presentation zenu mnafanya kisiri siri kwa hiyo hata Public haijui/haishirikishwi, Wahadhiri wenu wavivu na hawaonekani kwenye Majarida ya kitaalauma ya kimataifa (International Peer-reviewed Academic Journals) unategemea nini. Nyinyi mmekaa kisiasa kuwapatia digrii watu fulani ambao hawauwezi muziki wa UDSM. Asante.
Unayebishana naye jinga lina fixed thinking capacity,unatudhalilisha tuliosoma Udsm for your narrow thinking capacity.Acha dharau, kwa maoni yako haya tu inaonesha si wote wanaohitimu UDSM wanatoka na elimu toshelevu.
Lakini me bado siamini kama kuna watu huwa wanafoji vyeti tena vya elimu ndogo kama form 4,nilitegemea walau watu wafoji vyeti vya degree au masters!sasa form 4 ni kwamba mtu alikua kilaza namna gan akashndwa kupata hata div 4 ya pts 28 mpaka akahangaike na kufoji cheti?
Goood,Out haina degree za sketi kama uds na Udom,nimesoma masters barchelor msuli wake nilikili kuwa elimu ni ghalama.Nimesoma kiswahili ila mtu wa uds na udom nampiga lecture anakubali mwenyewe.Ukiwa open karibia kila kitabu makin kinachohusu koz yako utakisoma lakn vyuo kama uds watu wanatembea na summary mfukon na anafaulu.