Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Mabwenga wengi mmekuwa wajivuni sana, Tungeshukuru kama Idd Amin angiteka Kagera na mngekuwa waganda. Mna tabia zenu chafu na arrogance za ajabu
Kuwepo kwetu Tanzania,kumeturudisha nyuma sana,Nyerere KUTUKATA makali alituwekea pass mark ya juu,ili the rest of tanzania e catch up.Partition ya afrika ya akina Carl Peters ilituweka on the wrong side-we will never forget this injustice-one day someone will have to accountable
 
Nilipokuwa mdogo sikutambua kwanini Bibi yangu alimpiga marufuku dada yangu kuja kumtambulisha bf wake aliyetegemea aje awe mumewe kisa alikuwa MUHAYA,nakumbuka kauli aliyoitoa bibi kwa sista; "Ina maana kuzunguka koote umekosa mwanaume hadi utuletee Muhaya!!??" Khaa!! Nilimshangaa bibi kwa roho mbaya na ukatili alimfanyia sista, lakini huyu jamaa tabia alizokuwa anamfanyia sista Lo! Sista mwenyewe alikumbuka kauli ya bibi akajiachisha bila ya kupenda. Achana na huyu, Tazama marafiki wapenzi wanne hawa; Joseph (sukuma), prince (haya),Murphy (kusini), na Pancho (gairo-moro). Hawa watatu wa mwanzo walikuwa "Ma-collegement" Kigurunyembe TTC.Huyu Prince alikuwa kicheche na mwenye kismati na mademu wa kila sample, tena suala la ku toswa kwake lilikuwa mwiko.Ajabu wenzake hawa wawili pamoja na kumuonea wivu, pia walikuwa wakimsifia sana namna alivyokuwa akiwainamisha wanachuo kwenye madawati, majani na gesti kama kamuheshimu kidogo.Muhula uliofuata shangazi yake na Murphy akajiunga Diploma 1 chuoni hapo.Baada ya Murphy kumtambulisha aunt kwa rafiki zake watatu hao, haikuchukua round Prince aka mkula aunt wa Murphy kwa mbwembwe na matambo mengi!! Iliwauma sana rafiki hawa wawili, kwani licha ya kumkojolea Aunt, jamaa alishakuwa kikwazo ha ta kwa mademu zao!! Prince kagundua kwamba amewakwaza best zake, kafanya kuwaomba msamaha nao na kuachana na Aunt, nao wakamsamehe na kumrudisha kundini "M.O.B"!! CHUO WAMEHITIMU. Prince anabaki kwao Morogoro, Jose na Murphy wanarudi kwao DSM.Siku moja Prince anakuja Dar Kuomba akopeshwe fedha kadhaa na Murphy, Murphy anampa fedha hiyo.Lakini siku hiyo Murphy alikwaruzana kidogo na demu wake, Prince mbele yetu akaamua atete kidogo na shemeji ili kujaribu kumpatanisha na Murphy.Siku mbili baada ya Prince kurudi Moro, usiku mkubwa Murphy anapokea call ya demu wake akimwambia yupo Moro kwa Prince na ameamua kuwa mpenzi wa Prince.Kwa kudhihirisha hilo Prince akashika simu na kumtamkia live Murphy bila haya wala hofu!!! Marafiki wote sasa waliobaki (Jose, Murphy na Pancho). Wakaita kikao cha dharura ili kujadili na adhabu gani anastahili kupewa huyu rafiki yao.Murphy akatoa msimamo kwamba jamaa afutwe kabisa kundini, kwani wakiendelea nae atakuja kuwagegeda wake zao, dada zao, mama zao na mwisho wa siku atawataka na wao!!!! Hapa ndipo wakakiri kwamba MUHAYA NI MCHAFU TENA HABEBEKI.Eti mpaka wa leo Prince anatwanga simu kwa rafiki zake hawa anaomba wamsamehe bure saba mara sabini na kamwe hatorudia kosa!!!
 
Na wale ndugu zetu wengi wa kihaya walioko unyamwezini wakati wa presidential election 2012 wengi wao walimpigia kura Romney. Kisa: Eti kumpigia kura Obama ni kujishusha, na wanataka wawe tofauti. Nilicheka sana!
 
Nyerere alikosea, angempa Idd Amin mkoa wenu
 
Huyu raisi wenu,KIKWETE angesomea Bukoba,angeishia primary school maana pass mark tulizowekewa na nyerere hili nyie akina vuvuzela mcatch up asingeweza kumudu
 
You have justified uhaya wako. Kumbe madai yote kwenye hii thread ni kweli. Mabwenga hambebeki hata kwa mbeleko ya chuma.
 
i am just giving you facts,unadai IDI AMIN angeichukua bukoba-hivyo skilled manpower ya wahaya iondoke bongo-hii nchi si itakuwa kama imekumbwa na tsunami.
 
What a joke!Haya bana Museveni siku hizi haeleweki, soon ataiibua hii issue ya West Lake kuwa part of Uganda. May be this time we'll kiss you guys good bye
 
Nilipokuwa mdogo sikutambua kwanini Bibi yangu alimpiga marufuku dada yangu kuja kumtambulisha bf wake aliyetegemea aje awe mumewe kisa alikuwa MUHAYA,nakumbuka kauli aliyoitoa bibi kwa sista; "Ina maana kuzunguka koote umekosa mwanaume hadi utuletee Muhaya!!??" Khaa!! Nilimshangaa bibi kwa roho mbaya na ukatili alimfanyia sista, lakini huyu jamaa tabia alizokuwa anamfanyia sista Lo! Sista mwenyewe alikumbuka kauli ya bibi akajiachisha bila ya kupenda. Achana na huyu, Tazama marafiki wapenzi wanne hawa; Joseph (sukuma), prince (haya),Murphy (kusini), na Pancho (gairo-moro). Hawa watatu wa mwanzo walikuwa "Ma-collegement" Kigurunyembe TTC.Huyu Prince alikuwa kicheche na mwenye kismati na mademu wa kila sample, tena suala la ku toswa kwake lilikuwa mwiko.Ajabu wenzake hawa wawili pamoja na kumuonea wivu, pia walikuwa wakimsifia sana namna alivyokuwa akiwainamisha wanachuo kwenye madawati, majani na gesti kama kamuheshimu kidogo.Muhula uliofuata shangazi yake na Murphy akajiunga Diploma 1 chuoni hapo.Baada ya Murphy kumtambulisha aunt kwa rafiki zake watatu hao, haikuchukua round Prince aka mkula aunt wa Murphy kwa mbwembwe na matambo mengi!! Iliwauma sana rafiki hawa wawili, kwani licha ya kumkojolea Aunt, jamaa alishakuwa kikwazo ha ta kwa mademu zao!! Prince kagundua kwamba amewakwaza best zake, kafanya kuwaomba msamaha nao na kuachana na Aunt, nao wakamsamehe na kumrudisha kundini "M.O.B"!! CHUO WAMEHITIMU. Prince anabaki kwao Morogoro, Jose na Murphy wanarudi kwao DSM.Siku moja Prince anakuja Dar Kuomba akopeshwe fedha kadhaa na Murphy, Murphy anampa fedha hiyo.Lakini siku hiyo Murphy alikwaruzana kidogo na demu wake, Prince mbele yetu akaamua atete kidogo na shemeji ili kujaribu kumpatanisha na Murphy.Siku mbili baada ya Prince kurudi Moro, usiku mkubwa Murphy anapokea call ya demu wake akimwambia yupo Moro kwa Prince na ameamua kuwa mpenzi wa Prince.Kwa kudhihirisha hilo Prince akashika simu na kumtamkia live Murphy bila haya wala hofu!!! Marafiki wote sasa waliobaki (Jose, Murphy na Pancho). Wakaita kikao cha dharura ili kujadili na adhabu gani anastahili kupewa huyu rafiki yao.Murphy akatoa msimamo kwamba jamaa afutwe kabisa kundini, kwani wakiendelea nae atakuja kuwagegeda wake zao, dada zao, mama zao na mwisho wa siku atawataka na wao!!!! Hapa ndipo wakakiri kwamba MUHAYA NI MCHAFU TENA HABEBEKI.Eti mpaka wa leo Prince anatwanga simu kwa rafiki zake hawa anaomba wamsamehe bure saba mara sabini na kamwe hatorudia kosa!!!

una uhakika jambo kama ilo awezi fanya,mnyamwez,msukuma ama mzinza?dah we stl hv along way to go as a nation,
 
What a joke!Haya bana Museveni siku hizi haeleweki, soon ataiibua hii issue ya West Lake kuwa part of Uganda. May be this time we'll kiss you guys good bye
wewe nahisi sio mtanzania OR you dont know what is going on,kiss us goodbye when manpower yetu ina contribute almost 40% ya GDP
 
Question: Waziri Karamagi (bwenga mwenzio) alipotimuliwa kazi kwa ajili ya wizi, hiyo wizara ilikufa?
Mama Tibaijuka alipoondoka kwenye hiyo UN agency, UN ilikufa?
Mr Mwakyembe ambae arguably ni mchapa kazi kuliko waziri yeyote ni bwenga?
 
aache mbwembwe, GENERATION MPYA WAPI? wahaya ni wahaya tu wanatabia za kujisifu,kujisikia na zarau .. yeye kukuheshim mpaka aulize kama una digrii japo si wote.nawaona huku mtaani kwetu sifa kibao wanazunguka tu na chupa za maji ya kilimanjaro utazani orginal kumbe wamejaza maji ya bomba...Badilikeni nyie must be a problem, mbona hao wasichana hawawasemi wamasai? why u?.....ohoooo, mtakosa!!!!!!
 
Question: Waziri Karamagi (bwenga mwenzio) alipotimuliwa kazi kwa ajili ya wizi, hiyo wizara ilikufa?
Mama Tibaijuka alipoondoka kwenye hiyo UN agency, UN ilikufa?
Mr Mwakyembe ambae arguably ni mchapa kazi kuliko waziri yeyote ni bwenga?
NO wonder the motherland is f--cked up-yaani kwa upeo wako mwakyembe is the best minister?on what grounds?just because he barks a lot? UTENDAJI is more then what your medulla thinks
 
Na wale ndugu zetu wengi wa kihaya walioko unyamwezini wakati wa presidential election 2012 wengi wao walimpigia kura Romney. Kisa: Eti kumpigia kura Obama ni kujishusha, na wanataka wawe tofauti. Nilicheka sana!
i take it kwamba wewe as a great thinker ulikuwa umechoka hence ukaamua ku amuse watu by cracking this joke
 
Hivi kuna kabila lisilokuwa na weakness katika nchi hii???? Kinachokuwakumba wahaya ni kujulikana/umaarufu (popularity) tu; kwa sababu ya kujichanganganya sana na watu mbalimbali ndo maana strengh na weakness zao zinajulikana. Lakini kuna makabila yenye tabia chafu zaidi ya hao wahaya. Mimi ni mpare na najua reputation ya kabila yangu sio zuri. Na wewe taja yako! Msambaa au Mzaramo?? Acheni hizo bwana , mimi nina mfanyakazi mwenzangu ameletewa watoto wa nyumba ndogo na mmewe Mngoni, na akamwambia amua kukaa au kuondoka. Kuna dharau zaidi ya hiyo???

La muhimu ni kushinda haya mapepo ya mababu zetu na kuwa wakiristo/waislamu wazuri.....simple!!!
 
NO wonder the motherland is f--cked up-yaani kwa upeo wako mwakyembe is the best minister?on what grounds?just because he barks a lot? UTENDAJI is more then what your medulla thinks

But he's better by a long shot than mama Tibaijuka na Karamagi
 
matatizo ya nchi kwenda backwards.we are looking for heroes even though none exist.watendaji tulikuwa nao in the past-right now its kaput-only imaginary heroes exist,lets hope the future does us justice
 
None was better in the past either
 
Huyu raisi wenu,KIKWETE angesomea Bukoba,angeishia primary school maana pass mark tulizowekewa na nyerere hili nyie akina vuvuzela mcatch up asingeweza kumudu
A-level na chuo kikuu nimesoma na wahaya wengi tu. Nilichogundua ni kwamba wahaya ni ving'ang'anizi sana wa elimu na huenda hiyo tabia ndiyo imewafanya waonekane wana wasomi wengi. Wakati tukiwa chuo kikuu mwaka wa pili wali-disco wanafunzi 22 na waliorudoa mwaka walikuwa 13. Kati ya walio-disco 13 walikuwa wahaya. Na kati ya waliorudia darasa, 7 walikuwa ni wahaya. Jambo la ajabu ni kwamba wanafunzi wengine 6 waliamua kuacha chuo kwa aibu ya kurudia mwaka lakini watani zangu wahaya wote 7 waliendelea na masomo. Leo hii ukionana nao mitaani wanadunda wakiwa na degree zao.
 
Back
Top Bottom