KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID.

Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa kuwa tufanye kazi hadi tarehe 31/5/2025 ambapo tungelipwa stahiki zetu tunazo wadai ikiwa ni pamoja na mishahara ya mwezi Aprili na Mei, 2025.

Kilichotokea ni kuwa tulilipwa mshahara wa mwezi Aprili 2025 pekee ila ule wa Mei hatujalipwa hadi sasa, ilipofika tarehe 28/5/2025 tulifanya kikao na Viongozi wa Taasisi hiyo, ambapo walituahidi kutulipa stahiki zetu zote ifikapo tarehe 31/5/2025 na hata ikizidi sana itakuwa 3/6/2025.

Mpaka kufikia sasa tunaelekea kuitafuta Julai 2025 hatujalipwa stahiki zetu za kuachishwa kazi pamoja na mshahara wa Mei 2025, kwani kila tunapouliza tunapigwa danadana, hatujui pakuelekea, tunaomba msaada wa kutusemea.
Retrenchment Agreement-Empoyees USAID Afya Endelevu_page-0001.jpg

Retrenchment Agreement-Empoyees USAID Afya Endelevu_page-0002.jpg

Retrenchment Agreement-Empoyees USAID Afya Endelevu_page-0003.jpg

Retrenchment Agreement-Empoyees USAID Afya Endelevu_page-0004.jpg
 
Malalamiko yangu ni kwa NSSF Mkoa wa Iringa toka wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu.

Tumepeleka taarifa zote ili tupate mafao yetu imekuwa kimya toka tumeambiwa tusubiri siku 30 zimępita ukifatilia hakuna majibu ya kuridhisha kabisa, tunateseka mtaani wakati hela zetu za mafao zipo zingetusaidia.
 
Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID.

Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa kuwa tufanye kazi hadi tarehe 31/5/2025 ambapo tungelipwa stahiki zetu tunazo wadai ikiwa ni pamoja na mishahara ya mwezi Aprili na Mei, 2025.

Kilichotokea ni kuwa tulilipwa mshahara wa mwezi Aprili 2025 pekee ila ule wa Mei hatujalipwa hadi sasa, ilipofika tarehe 28/5/2025 tulifanya kikao na Viongozi wa Taasisi hiyo, ambapo walituahidi kutulipa stahiki zetu zote ifikapo tarehe 31/5/2025 na hata ikizidi sana itakuwa 3/6/2025.

Mpaka kufikia sasa tunaelekea kuitafuta Julai 2025 hatujalipwa stahiki zetu za kuachishwa kazi pamoja na mshahara wa Mei 2025, kwani kila tunapouliza tunapigwa danadana, hatujui pakuelekea, tunaomba msaada wa kutusemea.
Pole sana
No reform no election
 
Sasa Ndugu zangu Taasisi ni y Benjamini Mkapa lakini Wanaolipa ni USAIDs lakini kila siku mnawananga ni Mashoga.
 
Mkiambiwa tupambane tupata mifumo imara mnatukana na kuona watu wahaini.... Pamabane wenyewe mkiwa kwenye vitaasisi vyenye vinasaba na serikali huwa mna viherehere sana.
Duuh
 
Kwa nchi hii, iliyojaa dhulma na utapeli hata usipolipwa utafanyaje?

Hukumu za mahakama hazitekelezwi. Kura haiheshimiki.

Ni nchi ya unamjua nani.
Angalau mahakama kidogooo inatenda haki kwa wanyonge.....haswa high court ila sio CMA....hapo kuna rushwa sana....
 
Mkiaambiwa No reform no election mmakaza vichwa!
Tusisumbuane kila mtu apambane na hali yake aisee
 
Pole sana.

Ukisoma vizuri huu mkataba wa kuachishwa kazi sehemu ya (3) Mashauriano: kipengele (c). kinasema "watalipa mfadhili akitoa hela ambapo matarajio ni kuanzia 31 Mei 2025" hapo hawajataja mwisho wa ninyi kulipwa ni lini. (Hakuna ukomo inasema tu kuanzia Mei 31....... ndiyo mtarajie kuanza kulipwa)

Kwa hiyo naona kwa kipengele hicho cha 3(c) bado mkataba unamlinda mwajiri, hayo makubaliano ya kulipwa mpaka Juni 3, 2025 nafikiri yalikuwa kwenye kikao na si kwenye mkataba mliosaini baada ya kuachishwa kazi.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom