Bado Arusha tuna wasubili, huu ni wizi yaani hivyo vidude vyao hapo kenya unaweza kuvipata kwa 150000 lakini hapa kwetu unaambiwa lakini nane halafu lazima ununue kutoka kwa watu wao...yaani ni kama biashara ya vizibiti mwendo..
Mfumo wa kenya ni tofauti na wetu ndg ni maana wakenya wanampango wa kubadilisha na kuendana na technologia mpya kama ya tz.huwezi ukaagiza special brand ya gari kiwandani ukapata kwa bei ndogo.kinachotakiwa ni elimu lakini mashine ni nzuri hata mimi natumia