Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,948
Kwanza hizo mashine ni za TRA, zinapelekwa kwa wafanyabiashara kwaajili ya matumizi ya TRA. Hivyo wafanyabiashara walistahili kupewa bure, siyo huo wizi wanaowafanyia. Hongereni sana Wanambeya, labda ninyi ndiyo mtakaotukomboa Watanzania wote maana nchi hii kuna mambo ya kipu.mbavu kabisa yanafanywa na taasisi za umma lakini wananchi tumebakia kusema 'hewala', kama vile tuliumbwa bila akili.
Nahisi kuna iupotoshaji kwa vijana. Mashine za Risiti za TRA wanaotakiwa kuwa nazo ni wafanyibiashara wenye mauzo ya kuanzia 14,000,000= kwa mwezi sasa wafanyibiashara ndogondogo wameingiaje?