Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

Lakini sio wewe unaeinajisi Mbeya kwa kufikili ukitumia tumbo. Umejiridhisha kupita kiasi ingawa ukweli unaujua kwa lengo la kuntafutia ban hapa Jf

Hii nchi bana. Raha kweli kweli kuiishi. Kufanya fujo kudai haki kwako wewe ndiyo kufikiria kwa kichwa? Pambafu na ndugu zako wote!
 
umoja ni nguvu , tukilegea haya magamba yatatukamua hadi damu .
 
Tamko la wafanyabiashara:Mgomo utaendelea,Mashine hazinunuliwi,Ushuru utalipwa wa zamani na TRA hawafungi duka la mtu,huo ndio ujumbe kutoka kwa wakazi wa Mbeya....!
 
Hawagomei Kodi Mkuu! Bali Bei Za Mashine Hzo Ziko Juu! Tsh 800000@. Mtaji Wangu Ni Wa 500000, Iz It Posble 4me 2buy A Machine?
 
Hii nchi bana. Raha kweli kweli kuiishi. Kufanya fujo kudai haki kwako wewe ndiyo kufikiria kwa kichwa? Pambafu na ndugu zako wote!
Nimekulewa Mama, mnatuuzia vi-EFD kwa bei ya kijambazi, EFD machine ni EPA mulioibuni maccm ili mpate pesa ya kununulia kura uchaguzi wa 2015. Ndiyo maana umeshupaza shingo kama mchawi humu ili upate pesa za kununulia minguo ya kijani ya kuwahonga wapiga kura masikini wa Tz.
 
Baada ya biashara ya unga kuingia shubiri...!
 
serikali inatambua gharama za uendeshaji wa biashara.uliyoyasema yanakubalika yote tatizo wengi hatunauthibitisho wa risiti ama au mikataba.pia lengo la hizi mashine ni kuondokana na mfumo wa ukadiriaji wa kodi.lakini siyo kila mtu anatakiwa awe na mashine ni mwenye mauzo ya tsh 38700 kwa siku ambayo ni sawa na 1.1m kwa mwezi au 14m kwa mwaka.wafanyabiashara wamepewa miezi sita yaani may hadi november kununua kwa hiari.wamepewa pia uhuru wa kununua kutoka kwa wasambazaji kumi na moja.Kupitia majesho ya kodi watarudisha gharama za kununulia mashine.tunapenda kusukumwa badala ya kujituma.

Inaonyesha wewe ni mtu wa system,unaweza niambia garama halisi ya EFD machine????
 
Wakati sasa umefika wa wananchi kutambua kuwa KULIPA KODI ni wajibu wa kila raia mwenye stahiki hiyo, na kwamba wanaokwepa kulipa kodi wanapaswa kukaripiwa na kusutwa kama 'mbeya'. Kodi ndiyo chanzo cha mapato ya serikali mapato yanayo gharimia huduma za jamii na ujenzi wa miundombinu, kwa kutaja machache. Kelele za kuitaka serikali ipanue wigo wa walipa kodi na kuhakikisha kodi inakusanywa, ni za muda mrefu. Utekelezaji unapofanyika tupongeze na si kupinga kwa maandamano.

Umesoma na kuelewa demands zao ni nini? Au unaongea ongea tu kwa kuwa ni tabia yako kuongea bila kujali kama umeelewa au lah? Wapi wamesema hawataki kulipa Kodi?
Kweli sasa naamini ujinga ni kipaji, maana sidhani kama hata ukinisha kama nitaweza kuwa na akili kama zako.
 
Inaonyesha wewe ni mtu wa system,unaweza niambia garama halisi ya EFD machine????

Nashukuru kutaka ushauri gharama halisi ya kununua mashine ni tsh 800000. Anayetakiwa kununua ni mfanyabiashara mwenye mauzo ya tsh 1.1 Million kwa mwezi.Pia huyu mfanyabiashara amepewa muda miezi sita kununua kwa hiari kuanzia may hadi november.kipindi hicho chote mawakala wanakubali kupokea pesa kidogo kidogo.mtu ameona siku zinaisha anaanza kama king'amuzi.mauzo ya mtu huyu ni 6.6 million kwa miezi sita
 
Hawagomei Kodi Mkuu! Bali Bei Za Mashine Hzo Ziko Juu! Tsh 800000@. Mtaji Wangu Ni Wa 500000, Iz It Posble 4me 2buy A Machine?

Sio kila mfanyabiashara anatakiwa kuwa na mashine anayetakiwa kuwa na mashine ni mwenye mauzo ya tsh 14million kwa mwaka au zaidi
 
Nashukuru kutaka ushauri gharama halisi ya kununua mashine ni tsh 800000. Anayetakiwa kununua ni mfanyabiashara mwenye mauzo ya tsh 1.1 Million kwa mwezi.Pia huyu mfanyabiashara amepewa muda miezi sita kununua kwa hiari kuanzia may hadi november.kipindi hicho chote mawakala wanakubali kupokea pesa kidogo kidogo.mtu ameona siku zinaisha anaanza kama king'amuzi.mauzo ya mtu huyu ni 6.6 million kwa miezi sita

Hata kama mtaji wangu ni milioni 20 kwangu mfanya biashara mashine ya ajiri ya kuilipa serikali siyo asset kwangu bali ni liability, serikali itafute njia ya kuchukua kodi yake lakini siyo kumlazimisha mfanyabiashara kununua mashine hizi. ni sawa na kumwambia kuku kununua kisu cha kumchinjia. Ofisi za serikali bado wanatoa receipt za kuandika kwa mkono, waanze kwanza na taasisi za serikali. mfano POLISI, UHAMIAJI, IDARA ZA MISITU KWENYE KUTOA VIBARI, MAHAKAMA, NA NK. kwaani nazo zinakusanya kodi za serikali.
 
Mkuu TRA wamextend kutoka end of Sept mpaka end Nov
 
Tamko la wafanyabiashara:Mgomo utaendelea,Mashine hazinunuliwi,Ushuru utalipwa wa zamani na TRA hawafungi duka la mtu,huo ndio ujumbe kutoka kwa wakazi wa Mbeya....!

safi sana wana mbeya!
~ulipe kodi ya pango
~ulipe leseni sh 200,000 kwa mwaka
~ulipe fire sh 100,000 kwa mwaka
~ununue mashine sh 800,000
other charges ......
hiyo biashara itakuwepo
 
Nashukuru kutaka ushauri gharama halisi ya kununua mashine ni tsh 800000. Anayetakiwa kununua ni mfanyabiashara mwenye mauzo ya tsh 1.1 Million kwa mwezi.Pia huyu mfanyabiashara amepewa muda miezi sita kununua kwa hiari kuanzia may hadi november.kipindi hicho chote mawakala wanakubali kupokea pesa kidogo kidogo.mtu ameona siku zinaisha anaanza kama king'amuzi.mauzo ya mtu huyu ni 6.6 million kwa miezi sita

Mauzo ya 14mil ni madogo sana! Mtaji waweza kuwa 500,000/= atanunua machine kwa pesa ipi? Ataendelea kufanya biashara kweli?
 
Kwakweli huu niufisadi wakutisha nadhani kwa busara ya kawaida TRA Wange wapatia bure hizo mashine ilikuondoa mivutana isiyonamsingi
 
Hapa mwanjelwa,sido, kabwe mpaka mama john leo watu hawajafungua maduka mpaka sasa
 
Hapa mwanjelwa,sido, kabwe mpaka mama john leo watu hawajafungua maduka mpaka sasa

Mkuu mimi mwenyewe sijafungua..! kuna dalili mambo kujirudia,naona watu wamekaa makundi makundi kusikilizia....
 
Your VOTE is YOUR VOICE!
2015 DON'T MAKE MISTAKES
!!!!!??
 
Back
Top Bottom