Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

serikali inatambua gharama za uendeshaji wa biashara.uliyoyasema yanakubalika yote tatizo wengi hatunauthibitisho wa risiti ama au mikataba.pia lengo la hizi mashine ni kuondokana na mfumo wa ukadiriaji wa kodi.lakini siyo kila mtu anatakiwa awe na mashine ni mwenye mauzo ya tsh 38700 kwa siku ambayo ni sawa na 1.1m kwa mwezi au 14m kwa mwaka.wafanyabiashara wamepewa miezi sita yaani may hadi november kununua kwa hiari.wamepewa pia uhuru wa kununua kutoka kwa wasambazaji kumi na moja.Kupitia majesho ya kodi watarudisha gharama za kununulia mashine.tunapenda kusukumwa badala ya kujituma.
Mkuu hebu fafanu hapo kwenye red,mbona ni kama mfanyabiashara anachezewa akili.

Halafu kwa nini TRA wasinunue mashine na kuzigawa kwa wateja wao ili wawe wanakatwa kidogo kidogo.?
 
Nashukuru kutaka ushauri gharama halisi ya kununua mashine ni tsh 800000. Anayetakiwa kununua ni mfanyabiashara mwenye mauzo ya tsh 1.1 Million kwa mwezi.Pia huyu mfanyabiashara amepewa muda miezi sita kununua kwa hiari kuanzia may hadi november.kipindi hicho chote mawakala wanakubali kupokea pesa kidogo kidogo.mtu ameona siku zinaisha anaanza kama king'amuzi.mauzo ya mtu huyu ni 6.6 million kwa miezi sita

Unarahisha hivyo kwa sababu ya kuwa na magamba? Asilimia kubwa ya wafanyabiashara munaowaamrisha kununua bidhaa yenu hata kama mauzo yake yamefikia 6.6 milioni, 6.4 milioni ni malejesho banki sasa hizi laki mbili ndo zitamuwezesha kununua EFD?
 
Your VOTE is YOUR VOICE!
2015 DON'T MAKE MISTAKES
!!!!!??

Kweli mkuu,Watanzania hatutakiwi kurudia makosa ya kutolinda kura zetu,Safari hii tupige kura na kulinda kura hakika CCM inakwenda kaburini....!
 
Mkuu, hivi na wewe umemwona? amekomaaa na kushupaaa hataki kuona simple logic iliyopo.
Kazoea vya bure, eg kuiba mataulo mahotelini, basi anadhani wote wanapata bure!


c.c: Mwanjelwa
Nyie bahati mbaya jana nilikuwa na michongo mingi ya pesa nikawaacha hapa! Mngenielewa tu, kidogo kidogo
 
Vp hali hadi sasa make mi nipo uku sokoine naona wasaliti wamewasaliti sjui wao ndo wanahela nyingi za kununulia hvo vi.t.r.a au wanataka muwapiganie
Mkuu mimi mwenyewe sijafungua..! kuna dalili mambo kujirudia,naona watu wamekaa makundi makundi kusikilizia....
 
Vp hali hadi sasa make mi nipo uku sokoine naona wasaliti wamewasaliti sjui wao ndo wanahela nyingi za kununulia hvo vi.t.r.a au wanataka muwapiganie

Mkuu kumechafuka tena,Polisi wanamwaga maji ta kuwasha....!
 
cha kushangaza hizi habari za mbeya ITV hazijafika kwani jana usiku hawaripoti na hata leo sijaona kwenye habari kwa saa!ni vipi?
 
cha kushangaza hizi habari za mbeya ITV hazijafika kwani jana usiku hawaripoti na hata leo sijaona kwenye habari kwa saa!ni vipi?

Hawawezi kuripoti uendawazimu. Hata ukiangalia news za leo, magazeti machache sana yametoa kipaumbele izo vurugu. La ajabu wanaofanya vurugu hawahusiki kabisa na hizo machine. Mbeya tubadilike jamani.
 
cha kushangaza hizi habari za mbeya ITV hazijafika kwani jana usiku hawaripoti na hata leo sijaona kwenye habari kwa saa!ni vipi?

ITV sijui vip....Startv wameonyesha vizuri sana..'
 
Back
Top Bottom