Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

alafu wakuu kuna jambo linaniumiza sana akili.
kwanini sioni mrejesho wa hizi kodi serekali wanazokomalia?
leo hii nikiugua kama sina hela ya kwenda private hospital ni kwamba hospital za serikali hamna huduma,dawa,vifaa vya kupimia.
mtoto wangu hadi nimpeleke private school ndio apate elimu bora.
hakuna usafiri wa umma ambao unatokana na kodi nazolipa.
embu nielewesheni

Mkuu mrejesho wa kodi yako anautumia mheshimiwa katika safari zake so wewe nunua tu hiyo mashine ya EFD wenye Nchi waendelee kula bata.
 
Kuna kashirika kamoja kanaitwa BEST AC nimekasikia sana kakilalamikia hizi mashine za EFD kuwa zinawaumiza wafanyabiashara,pia wakilalamikia ubora finyu wa hizi mashine hasa kukosekana kwa network mara kwa mara,kingine ni kuwa ikitokea hiyo mashine ikaharibika kama upo Mikoani kumpata fundi ni ishu maana hao mawakala wanaoziuza wapo mjini......kwa ufupi kero ni nyingi katika hivyo vidude.
 
wananikumbusha enzi za vizititi mwendo - madili ya watu kupeana pasi.

najua hawa wapumbavu wa CCM wamesha tufanya watanzania mataihira yaani wana buni miradi ya kuwaingizia pesa a kampeni walianza na vizibiti mwendo, wakaja na miradi yao ya jenereta,EFD na sasa kodi ya line....
 
Mkuu mrejesho wa kodi yako anautumia mheshimiwa katika safari zake so wewe nunua tu hiyo mashine ya EFD wenye Nchi waendelee kula bata.
Mtu asipokuwa makini anaweza kukupolomoshea matusi kumbe ulichokiandika ni ukweli mtupu...
 
Tumeitwa kwenye mkutano,tumekusanyika ghafla wameanza kurusha mabomu ya machozi na maji ya kuwasha ndipo watu wawili wamepigwa risasi za moto na kuanguka,
 
Tumeitwa kwenye mkutano,tumekusanyika ghafla wameanza kurusha mabomu ya machozi na maji ya kuwasha ndipo watu wawili wamepigwa risasi za moto na kuanguka,
Unamaanisha wameaga dunia?
 
Tumeitwa kwenye mkutano,tumekusanyika ghafla wameanza kurusha mabomu ya machozi na maji ya kuwasha ndipo watu wawili wamepigwa risasi za moto na kuanguka,
Pole sana mkuu, mwisho ya haya yote ni 2015...
 
Wakati sasa umefika wa wananchi kutambua kuwa KULIPA KODI ni wajibu wa kila raia mwenye stahiki hiyo, na kwamba wanaokwepa kulipa kodi wanapaswa kukaripiwa na kusutwa kama 'mbeya'. Kodi ndiyo chanzo cha mapato ya serikali mapato yanayo gharimia huduma za jamii na ujenzi wa miundombinu, kwa kutaja machache. Kelele za kuitaka serikali ipanue wigo wa walipa kodi na kuhakikisha kodi inakusanywa, ni za muda mrefu. Utekelezaji unapofanyika tupongeze na si kupinga kwa maandamano.


kwa hiyo ni wajibu wa mwananchi kuikopesha serikali ili iweze kununua vifaa vyake vya kukusanyia kodi hata kama mwananchi huyo hana uwezo wa kuikopesha serikali? maana hiyo laki nane ya kununua kifaa hicho ilitakiwa itolewe na TRA na ndo maana ukinunua hicho kifaa TRA hawakusanyi kodi kwako mpaka gharama ya kodi ifikie gharama hicho kifaa
 
Yaani, Dunia nzima inaendeshwa kwa Kodi. Hata huo mtambo unaondikia hapo umetengenezwa kwa kodi watu wenye akili na kufirikia. Ukiwa mjina na m.pumbuvu huwezi kulipa kodi hata siku moja. Kilichotakiwa hapo ni kuungana kwa wafanyabiashara na wenzao wote kutafuta namna nzuri ya kupia kodi na si kugoma au kufanya fujo. Hiyo ndo naita u-pumbafu mkubwa sana. Na Mbeya kama Mbeya pekee haiwezekani ikagoma isikilizwe wakati wengine hata habari hawana. Ukigoma kwa mtindo huo ni u-upumbavu. Umenipata? Naamini nawewe si mpumbafu mwenzao au kama ulikuwa sasa utaacha upu-mbafu wako
Elewa kinacholalamikiwa au kupingwa hapa mbona akili yako inamatege,hakuna aliekataa kulipa kodi bali bei ya hiyo machine ya TRA..
 
95% ya watendaji WAKUU WA WIZARA YA FEDHA NA TRA ni wa KILIMANJARO WAISIDIA CDM kichinichini kwa hali na mali.
 
Wamekimbizwa hospital haijajulikana kama ni wazima au wamekufa tunaendelea kufuatilia.....

Poleni sana, ila kuwa makini mkuu maana hawa polisi wetu wamefundishwa kuua tu.!
 
95% ya watendaji WAKUU WA WIZARA YA FEDHA NA TRA ni wa KILIMANJARO WAISIDIA CDM kichinichini kwa hali na mali.

Kwa hiyo pesa inayokusanywa na TRA huwa inaenda kuisaidia chadema...ama kweli ukiwa tahira kazi kweli kweli...
 
Back
Top Bottom