Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

Vijana wa Mbeya wamemua kuhenyeshana na polisiccm mtaa kwa mtaa hadi jioni, polisiccm wakiwa na mabomu ya machozi vijana wa Mbeya wakiwa na chupa za maji. Pengine itamrazi Kamanda Mwema kupeleka mabomu ya machozi kwa ndege kuna uwezekano mkubwa wa maghala ya mibomu ya machozi kuishiwa hapa Mbeya.

Hali ni tete sana katika jiji la Mbeya:
 
Bila kukusanya watapataje maendeleo;
Tukisema upinzani ni janga la kitaifa
mnarusha mawe.

Kama ni issue ya mashine za tra ifanyiwe ufumbuzi;
Na kwanini lianzie mbeya.

Mamdenyi tatizo hapa si mashine za EFD's,tatizo ni bei za mashine ni kubwa sana kwa kipato
cha mtu mwenye biashara ndogo ya kawaida,tatizo ni kuwa TRA wameongeza sana bei za hizo mashine
sijui ndio 10% ipatikane au ni nini,lakini bei halisi ya hizo mashine si hiyo wanayotaka TRA ya 1.5 milion'
 
Polisi wameanza kupiga risasi za moto...! tunakimbia huku na kule kuokoa maisha yetu!
 
kwanza waanze na makampuni ya simu zifungwe izo machines na tujue mapato yao,hakuna watu wezi kama haya makampuni ya simu kutwa kutuibia na services zao mara nyingi sana zinakata ata 2 days na hawafidii salio zetu (HUU NI WIZI MKUBWA).
waanze na makampuni ya simu full stop!!!tuone kodi zao na mamlaka zifatilie uhuni mkubwa wanaotufanyia watumiaji wa simu, then ndo wafate wafanyabiashara wengine:A S angry:

kwakweli nna hasira na kampuni za simu
 
Hili jambo liliwahi lisema pale Mbeya. Mbunge anayetakiwa kuchaguliwa ni mwenye akili timamu. Ubishi wa watu wakavamia jani. Sasa mvuta bangi kashawishi watu waingie barabarani bila kuwaeleza madhara kwenye biashara zao! Hizo bangi zake zimemwelekeza kuwa Mbeya peke yake ndiko bei mbaya, mikoa mengine bei ni rahisi?

-------!
 
Wewe ndiyo hakuna kitu kabisa. Jadili uhalali wa bei ya hako kamashine. Mimi nilinunua, that thing is not supposed to go beyond TZS 200,000 lakini niliuziwa laki 9. Huo ni wizi. TRA inawaibia watanzania kwa kuwapa tender za kuleta hizo mashine watu wao ambapo wamepandisha bei juu sana kuliko uhalisia kwa kujua kuwa wafanyabiashara hawana namna ni lazima wanunue hizo mashine.

Nashukuru sana wenzetu wa Mbeya wameamua kutumia akili zao. Sisi wote tuwaunge mkono, hata tulionunua tupo tayari kuacha kuzitumia mpaka waturudishie hela zetu walizotuibia na hao makuwadi wao. Hizo mashine ni kwaajili ya kuongeza makusanyo ya serikali, TRA itoe bure hizo mashine au ziuzwe kwa subsidized price, TZS 50,000 ingetosha.

Bila kukusanya watapataje maendeleo;
Tukisema upinzani ni janga la kitaifa
mnarusha mawe.

Kama ni issue ya mashine za tra ifanyiwe ufumbuzi;
Na kwanini lianzie mbeya.
 
ndg yangu ufisadi wote huu unafikiri utaziona hizo chenji zikurudie, aaah Tanzania ninchi ambayo ukiwa nje nchi ukisikia nakufikiria yanayotokea Tz unawezalia au kuukana uraia kama huna famialia, kweli inaumiza sana.
 
Hili jambo liliwahi lisema pale Mbeya. Mbunge anayetakiwa kuchaguliwa ni mwenye akili timamu. Ubishi wa watu wakavamia jani. Sasa mvuta bangi kashawishi watu waingie barabarani bila kuwaeleza madhara kwenye biashara zao! Hizo bangi zake zimemwelekeza kuwa Mbeya peke yake ndiko bei mbaya, mikoa mengine bei ni rahisi?

Kwa kutumia common sense tu, hivi mwenye njaa anasubiri kuambiwa 'wewe una njaa, kachukue chakula'? Unahitaji nkufundishwa kufahamu kuwa una njaa? Au kama huna fedha, utamhitaji profesa akuambie huna pesa?!. Poor maCCM, akili zao zimevia kwa sababu ya dili za sembe, sasa wanafikiri kwa kutumia ma.kalio!
 
Wakuu mimi nawaunga mkono hao wafanyabiashara wa mbeya kwa asilimia mia moja.hivi hapa nawasubiri hao tra walete huo u..pu..uz.i maeneo yetu ili tuweze kuwachalenge.haiwezekani mashine za kukusanyia kodi zao halafu watuuzie!huu ni wizi ambao hauna tofauti na speed govener.
 
Acha upumbavu wewe mjinga mkubwa wewe serikali inakataa nn kuongea na wafanyabiashara? Au unafikiri hutujui kua hizo mashine ni miradi ya vigogo? Tutolee uccm wako hapa.

Wether mimi ni mpu-mbavu au wewe na familia yako, hayo mimi sijui. Tunaongelea points na kila mmoja alinde point yake kwa kutumia nguvu. Serikali yako inakataa kuongea na wafabiashara wa Mbeya kuhusu kukataa kutumia machine?! Mbeya Wasitumie na wengine wote watumie?! Weka akili hapa na ujibu kwa kutumia akili
 
Naunga mkono maandamano ya wananchi kupinga bei ya mashine hizo tena kulipiwa fedha taslimu kutoka kwenye mitaji iliyojeruhiwa juzi juzi tu kutokana na ajali za moto mara mbili!!! serikali haikutoa mkono wa pole kama ilivyofanyakwenye masoko mengine kama Songea Enzi za mramba akiwa waziri wa fedha kwakuwa wadogo zake wengi walikuwa kwenye soko lile(poties), sasa kwa upande wa pili siungi mkono wananachi kuvuruga amani na kuchoma tairi barabarani, maandamano peke yake yanaweza kuwasilisha yale wanayoyadai pasipo kufanya uharibifu wa mali kama kuchoma lami nk! Ila kweli mbeya lazima iwe mfano kukemea baadh ya watanzania waliosoma kufanya vichwa vya wafanyabiashara kuwa vya kujifunzia kutafunia fedha zao(kunyoa). EFD haikupaswa kuuzwa bei hiyo na ikumbukwe serikali ilishafanya jambo kama hilo miakaya 2000 kuna mashine zililetwa na kuuziwa wafanyabiashara wakati huo halafu zikashindwa kuperfom then watu wakaingizwa hasara na kubaki na vile vitakataka madukani mwao! TRA angalieni namna nyingine hata kwa kuwapa bure kwakuwa wao ni mawakala wa serikali kukusanya kodi!!
 
Sasa anaevuta Bangi ni nani kati wabunge wa CCM wanaosimamia dhuruma na wabunge wa CDM wanaosimamia haki.Acha kufikiri kwa njia ya mak....lio.Watu wa Mbeya wanajitambua si waji.....a kama wewe,inawezekana wewe ni wa kuja au unatokea kwenye mikoa ya watu wenye nidhamu ya woga.Sisi wanambeya hatuko ivo baba,jipange.

Unaongea kama wewe na siyo ..."sisi". Jifunze lugha kwanza. Alafu, ukiwa huna akili sawa sawa lazima kila kitu ukifanya utajiona huna woga. Lakini ukiwa na akili, unakuwa timamu, hata vitu vidogo vidogo huwezi tumia nguvu ya kukuumiza. Utafanya busara tu. Kukosekana akili za kutosha ndizo zinakufanya ujiite SISI wana Mbeya wakati ni wewe unayeongea na kukosekana akili huko huko kunakufanya uumie kwa kitu ambacho ungetumia akili ndogo tu ungekuwa na raha.
 
Nahisi kuna iupotoshaji kwa vijana. Mashine za Risiti za TRA wanaotakiwa kuwa nazo ni wafanyibiashara wenye mauzo ya kuanzia 14,000,000= kwa mwezi sasa wafanyibiashara ndogondogo wameingiaje?
 
Labda swali moja ulilotakiwa kujiuliza ni, 'Je, watu wengine wote wakiwa waji-nga au wap.umbavu au kwa uji.nga wao wakawa wamekubali jambo la kiji.nga au la kip.umbau, basi na wengine wote wafuate wale waji.nga au wap.umbavu wengi waliokubali matendo ya kip.umbavu?'. Kwangu mimi ni upumb.avu mkubwa wafanyabiashara kukubali kulipia ile simple machine TZS 1.5 million. Ni upumb.avu kabisa. Kama wametokea wenye akili wachache wakaujua upumb.avu huo ni lazima waungwe mkono na kupongezwa.

Wether mimi ni mpu-mbavu au wewe na familia yako, hayo mimi sijui. Tunaongelea points na kila mmoja alinde point yake kwa kutumia nguvu. Serikali yako inakataa kuongea na wafabiashara wa Mbeya kuhusu kukataa kutumia machine?! Mbeya Wasitumie na wengine wote watumie?! Weka akili hapa na ujibu kwa kutumia akili
 
Wewe ndiyo mwongo kabisa. Ni turnover ya TZS 14,000,000 kwa mwaka siyo kwa mwezi.

Nahisi kuna iupotoshaji kwa vijana. Mashine za Risiti za TRA wanaotakiwa kuwa nazo ni wafanyibiashara wenye mauzo ya kuanzia 14,000,000= kwa mwezi sasa wafanyibiashara ndogondogo wameingiaje?
 
magamba wanatafuta hela ya kuchapishia flana na vitambaa
 
Back
Top Bottom