Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

Na wakati huo huo wachukuaji wa rasilimali zetu wanaendelea kuzivuna bila kulipa kodi lakini hii Serikali dhalimu haioni soni kwenda kumtoza kodi mlalahoi!!!

Ujambazi wa Maccm mchana kweupe Mabomu ya machozi yanalindima mfurulizo hapa maeneo ya Mama John Mbeya, Landcruser za polisiccm zinalanda mitaani kupalilia dhuruma ya Maccm kwa wanambeya na watanzania kwa ujumla. Ajabu mtaji wa mtu ni Tshs 1,000,000/= ili uendeshe biashara Tz lazima kwanza ununue kielectroni cha kutolea lisiti cha Tshs 860,000/= hivyo kujikuta utakuwa na mtaji wa Tshs 140,000/= wakuendeshe biashara yako.
 
Threshold for vat registration kenya is turn over ksh 5 m sawa tsh 100m. Haya ndio yale Mwalimu alikemea serikali kuwabana vidagaa na kuwaacha mapapa free as molecules.
 
Bado Arusha tuna wasubili, huu ni wizi yaani hivyo vidude vyao hapo kenya unaweza kuvipata kwa 150000 lakini hapa kwetu unaambiwa lakini nane halafu lazima ununue kutoka kwa watu wao...yaani ni kama biashara ya vizibiti mwendo..

Hii ndiyo hoja kubwa- kwamba TRA wanameingiza ufisadi kwenye hizi machine. Na huu mtindo wa kunyonya watu uko kila mahali, chunguza uingizaji wa bajaj .

Wabunge wanatakiwa waangalie hili maana ni kinyume na dhana nzima ya soko huria. Halafu cha kustaajabisha tunayo tume ya ushindani? Sijui hii tume inalipwa mshahara kwa kazi gani maana 'monopoly' ni kila mahali. Haiingii akilini machine ya laki 2, inauzwa milioni moja na nusu!
 
Utakuwa mradi wa mnene mmoja ndani ya Sirikali hii dhalimu, hiyo tofauti ya bei 800K na 150K ni profit margin ya mnene mmoja anakomba bila wasiwasi.

Bado Arusha tuna wasubili, huu ni wizi yaani hivyo vidude vyao hapo kenya unaweza kuvipata kwa 150000 lakini hapa kwetu unaambiwa lakini nane halafu lazima ununue kutoka kwa watu wao...yaani ni kama biashara ya vizibiti mwendo..
 
Mbeya hawajawahi kukataa CCM. Majimbo mawili tu kati ya kibao ya Mbeya yana Chadema. Kwa kutumia akili ya chekechea tu, utasema Mbeya wamekataa CCM?

M-p-uu-zi wewe, Mbeya vijijini maccm mulituwekea mamluki (Shitambala), Mbozi Mashariki mlimnunua Mwampamba, Songwe mlituchezea kupitia kwa mkurugenzi wa uchaguzi wa jimbo. Majimbo pekee yaliyo kuwa halali kwenu ni Ileje (kukosa elimu ya uraia), Lupa (kukosa elimu ya uraia), Rungwe (zote mbili kwa haiba binafsi ya Mwandosya & Mwakyusa ), pia kyela kwa haiba binafsi ya Mwakyembe
 
Na wafanya biashara wa kariakoo nao wamevinuniaaa kununq hz machine zao....na yamewekwa kabisa makampun yaooo
 
Mtaki Milion 1 ,Frem unalipia kwa mwezi laki 4 hd 8...alafu kwa siku unauza laki 2 kwa mwaka utakuwa umepata faida km milioni 2 hv na hapo hapo unalazimishwa kununua kimachine chaooo......pumbavuu zaooo
 
Taarifa nilizozipata kutoka kwenye chanzo changu huko mkoani Mbeya ni kuwa kuna mapambano kati ya wafanya biashara na polisi baada ya TRA kulazimisha wafanyabiashara watumie EFD bila kujari mtaji wao...

JK na serikali ya ccm walipoambiwa wasipokuwa makini nchi haitatawalika walisema CDM wachochezi. Nchi inawaka moto kila kona, watu wamechoka kuonewa na serikali 'sikivu' isiyojali watu wake. Hii iwe changamoto ya kufanya maamuzi 2015. Mungu Ibariki Tanzania!
 
Bado Arusha tuna wasubili, huu ni wizi yaani hivyo vidude vyao hapo kenya unaweza kuvipata kwa 150000 lakini hapa kwetu unaambiwa lakini nane halafu lazima ununue kutoka kwa watu wao...yaani ni kama biashara ya vizibiti mwendo..

Sisi tulinunua hiko Kimashine mwaka Juzi kwa gharama ya milioni moja na nusu, kutoka kwa jamaa wanaitwa PERGAMON. kweli Tanzania inatafunwa na wenye meno.
 
Rubbish! sorry.

Kama kweli makampuni ya simu yana centralised system kwa ajili ya kodi, imekuwaje Tanzania inakusanya kodi kidogo kuliko sehemu nyingine ambapo turnover (makampuni ya simu) iko juu ?

Mfano idadi ya wajeta wa Vodacom peke yake wanazidi population yote ya Rwanda, now compare kodi ya makampuni ya simu (cummulatively) kati ya Tanzania na Rwanda? Au mfano kati ya Vodacom na Safaricom (Kenya). Where was that system unayosema hadi tunaambulia kodi kidogo?

Yes, mechanisms i.e tools za kukusanya kodi zinaweza kuwa tofauti kati ya sector na sector, lakini hoja hapa ni 'fairness'. Bado nasimamia hoja yangu.

Mkuu wangu Mwl Nyerere alisema serikali corrupt haikusanyi kodi! inaishia kukimbizana na watu wadogo!! Kelele na ukali wa TRA unaishia kwa wafanyabiashara wadogo na wananchi wa kawaida wenye vipato vidogo sana.

Kwa mfano kuna makampuni makubwa sana hata assessment ya kodi hawajawahi kufanyiwa zaidi wanalipa wanavyotaka!! TRA hawafanyi ukaguzi wa kodi kwenye makampuni hata ya Dar es salaam tu!

TRA msiendeshe hii taasisi kisiasa na takwimu za ongezeko la mapato while sisi wananchi wa kawaida tunalist ya makampuni lukuki ambayo inapita miaka kibao hamfanyi assessment ya kodi mnaishia kupiga mikwara watu wadogo!!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
M-p-uu-zi wewe, Mbeya vijijini maccm mulituwekea mamluki (Shitambala), Mbozi Mashariki mlimnunua Mwampamba, Songwe mlituchezea kupitia kwa mkurugenzi wa uchaguzi wa jimbo. Majimbo pekee yaliyo kuwa halali kwenu ni Ileje (kukosa elimu ya uraia), Lupa (kukosa elimu ya uraia), Rungwe (zote mbili kwa haiba binafsi ya Mwandosya & Mwakyusa ), pia kyela kwa haiba binafsi ya Mwakyembe
Mbona kama hujui unachoongea? Lazima siyo mtu wa Mbeya wewe. Mbeya wana akili sana za kufikiria
 
Suala la bei ya hizo mashine kwa kweli iangaliwe. Nilidhani wafanyabiashara hawataki hizi mashine na hivyo kutukosesha kodi za serikali,kumbe hawataki bei ya kifisadi inayotakiwa na madalali wa kifisadi.
 
Wether mimi ni mpu-mbavu au wewe na familia yako, hayo mimi sijui. Tunaongelea points na kila mmoja alinde point yake kwa kutumia nguvu. Serikali yako inakataa kuongea na wafabiashara wa Mbeya kuhusu kukataa kutumia machine?! Mbeya Wasitumie na wengine wote watumie?! Weka akili hapa na ujibu kwa kutumia akili
Ndio maana nakuona huna akili mama kwahiyo kwa sababu sehem zingine wanatumia na sisi tutumie tu
hata kama hazina faida kwetu? We kitu ukiletewa ni kutumia tu. Hebu jaribu kushirikisha ubongo wako.
 
Back
Top Bottom