Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

Kipindi niko Shinyanga nilikua na mchepuko wa kinyamwezi, mwanamke Ni MREMBO, Kama ndio hiyo chura usiseme, mtaalam wa kupika, mashine yake Ni zile zinazomkamua abdala kichwa wazi akiwa ndani hata ukisha toa wazungu mashine inakukamua ndani kwa ndani, yaani mashine ya kubana, mashine ya kuoshwa, mashine tamu hata ukishuka mu chumvi huwezi kujuta, kilio chake utapenda.
Cha ajabu HAJAOLEWA.
Halafu unakuta king'walu ng'walu hakina chura Wala shape kimeolewa halafu kinamuendesha mumewe.
 
Mtoa mada, jaribu kutumia akili zaidi na si hisia ,mahusiano si chanzo cha ajira wala kipato ,mahusiano ni kusaidina .
Nikuulize swali na je wale ambao wenye boyfriend vilema au mahispitalini wasiwe kwenye mahusiano kisa awawezi kuwa hudumia. ?
 
Wakipenda pesa mnawasakama kuwa ni gold diggers, wakiwavumilia hustlers, mnaona kama hawatambui thamani zao. By the way katika kitu ambacho sikipendi kukiona kwa mwanamke ni kuchukulia uzuri wake kama chanzo cha kuishi good life ambalo hawezi kuligharamia hata kwa thumni.

Kiufupi hakuna haja ya kumlaumu boyfriend wa mtoto mzuri ilhali yeye hana kikwazo au upungufu wa kutafuta pesa.. Atafute mwenyewe
Sure wapo wale wanamiliki magheto mabalo hela sijui wanatoa wapi
 
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?

Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??

Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
yakanyage sasa
 
Ni kama mabinti waliojazana mwanza, shinyanga na njombe. Unakuta ni pisi kali hatari, amevaa vi clipper vimelika kisigino, nguo ina viraka. Ukimtongoza anakuambia niache nna bwana! Sasa unabaki unajiuliza huyu ana bwana au laana
Wamelizika na maisha yao mkuu, kila jamii ina mitazamo yao kuhusu mapenzi, jamii nyingine wanawake wao wanaangalia pesa kwanza na muonekano wa mwanaume, na jamii nyingine inaangalia mapenzi na siyo pesa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Katulia na bwana ake licha ya umaskin wao bado mnaona haifai. Akija kwako afate hayo matunzo bado mtasema wanawake tupo after money. Hamna jema nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli tatizo vijana wamesha kalili wanawake wote wana tamaa ya pesa kumbe siyo, wengine wameridhika na Maisha yao tokea kwenye familia zao, Wazazi wengine hawakubali pesa za haramu yani wanajua mtoto wao mshahara laki mbili ghafla wanamuona ana miliki gari na Kakoso nyumba kwa mwezi milioni, Kwa wazazi wenye maadili mazuri na wenye imani ya Dini lazima watamuita na kumhoji mtoto wao wakike.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu unaweza kuta hao uwaonao ni warembo wengine wanaona wa kawaida saana
Wengi hawalijui hili.

Kuna mtu anakwambia daah mwanangu nimekutana na pisi moja kali sana, ngoja nikuoneshe picha.
Ukiiona unabaki kuduwaa, huyu jamaa kaelewa nini kwa huyu manzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom