Wadada wa instagram na Facebook.

Wadada wa instagram na Facebook.

My dear sister
Kila la kheri mie hua sitaki kabisa hata mtu ani tag kwenye nyuzi zake huyu mtu sihitaji kabisa

Mimi sio mpole hata kidogo
Sio mpole kabisa
nadhani kuna watu wanajua

Ila kubishana humu naona haina maana ndio maana ile siku nilichagua kumjibu kwa heshima sana

But kama mstari ukivukwa tena nipo available 🔥
Mimi pia nilala nikaamka nakutana na uzi sijui kama kuna sehemu nilionakana cheap au la pengine sijui

Lakini hakuna kitu sipendi kama use*nge wa kuanzishiana nyuzi 🚮
duuuuuuuh
 
wakati fulani nilikuwa nalima matikitiki, kuna kibarua alikuwa anisaidia kulima shamba langu, yule jamaa alinishangaza sana kwa kitendo cha kufanya kazi eneo kubwa sana kwa malipo kidogo, kwa utafiti usio rasmi nikajiambia yule jamaa huenda hakuwa mtanzania bali mrundi kama de gunner.
Dawa yake uhamiaji wamrudishe kwao akalime parachich
fulani
 
Hakuna mwanaume anapenda kuuziwa K bwana, hapo inakuwa unaona hili ni kaaba kabisa hili
Mwanaume anayejielewa ndiye anayependa kuuziwa uchi kwa sababu hakuna mambo mengi na mnafunga mkataba wa siku moja tu, ukitaka kurudia ni mkataba mwingine.

Anayekuuzia uchi hakusumbui kwa lolote, shida zake zote anamaliza mwenyewe wewe mlipe kile mlichokubaliana tu Finito.
 
Mwanaume anayejielewa ndiye anayependa kuuziwa uchi kwa sababu hakuna mambo mengi na mnafunga mkataba wa siku moja tu, ukitaka kurudia ni mkataba mwingine.

Anayekuuzia uchi hakusumbui kwa lolote, shida zake zote anamaliza mwenyewe wewe mlipe kile mlichokubaliana tu Finito.
bad influence
 
Huwa unawezaje kum jibu kila anaye comment kwenye nyuzi zako ?
hata kama hatukulishi ndio uwe na muda wa ku respond kwenye kila comment, kwangu naonakuna shida mahali
Mwenye shida ni huyo mpuuzi mimi nimerudi Sha kile alicho fanya
 
Back
Top Bottom