Wadada wa instagram na Facebook.

Wadada wa instagram na Facebook.

Say no more babes, it was never your fault!

Mimi ndio itakuwa my fault, nadhani kati ya watu waliomuintertain Gunner humu ni mimi…. Now anataka kupitiliza mazoea.
Sipitilizi bali naweka wazi nia yangu ilivyokuwa mafichoni kwa takribani miaka 6 sasa.
 
Sometimes, you don't have to fight to be a man. Nimetii ombi la Binti kiziwi niachane na huu uzi, wewe ukiona nimekimbia pambano, sio mbaya. Na hata hivyo hakuna kitu naweza pambana na wewe, hakipo.
Usijilize lize hapa wewe, unafata ushauri wa mwanamke kisa unampenda?

Hakika wewe ni domo zege kabisa.
 
We have learned the hard way walahi.

Leo kaka yenu natishiwa kuanzishiwa uzi 😂😂
Ewe binti kiziwi sijawahi kutisha na kudanganya mtu hapa, huwa naweka wazi nia zangu kwa wale wote ninao wapenda na kwako nilikuwa mafichoni toka 2021,ila leo ndo nimefika kiama cha kukaa na upendo huu mwenyewe
 
Huyu tushamzoea! Ukimkosoa anakuchamba vilivyo.
Ukitaka mpatane wewe msifie.

Anazeeka na ujinga.
Wewe unanifahamu fika huwa sionei huruma washamba na wajinga kama wewe na saiz ni nyie ndo mtakimbia..
 
Utakimbia mwenyewe na kutafuta kwako sifa!
Tambala la kudekia wewe
Nimeanza lini na ni ni kwa nini unazidi kupaa tu na sifa ninazo,

Nilishawaambia hakuna kiumbe ndani na nje ya JF wa kuniambia chochote..

Na leo ninashusha waraka wangu kwa mrembo binti kiziwi ni mwanamke ninaempenda kweli kweli kwa wengine nilikuwa natania tu
 
Usijilize lize hapa wewe, unafata ushauri wa mwanamke kisa unampenda?

Hakika wewe ni domo zege kabisa.
Dogo hata kama upo nyuma ya keyboard onyesha adabu basi. Halafu usione huu ujinga unaoandika na watu wana comment ukajiona we ni mjanja.

Heshimu I'd za watu aisee. Naanza kukuona we una utahira fulani kichwani.
 
Tahira ni wewe unaependa kutaka attention kwa wisdom uchwara.

Hujui sehemu sahihi ambako watu wajinga watakusilkikiza unakuja kuzileta kwa watu wenye uelewa mpana?

Kama ni adabu angeanza yeye kwanza, alitaka kunitisha kumuanzishia uzi mrembo binti kiziwi akiwa yeye kama nani?
 
Say no more babes, it was never your fault!

Mimi ndio itakuwa my fault, nadhani kati ya watu waliomuintertain Gunner humu ni mimi…. Now anataka kupitiliza mazoea.
Unachoweza kufanya ni kuacha ku engage kwenye nyuzi babes

Wewe mwenyewe unajua sio wa aina hii
Came on njoo kwenye nafasi yako na unaijua love you 😍

I'm out kwenye hii shit🚮
 
Unachoweza kufanya ni kuacha ku engage kwenye nyuzi babes

Wewe mwenyewe unajua sio wa aina hii
Came on njoo kwenye nafasi yako na unaijua love you 😍

I'm out kwenye hii shit🚮
Unakuja kwa kuibia kama fisi kwenye kundi la simba?

Wanawake wanaojifanyaga wana symphathy ndo hatari sana maana huwa ni waongeaji sana na kusambaza drama za kijinga
 
Back
Top Bottom