Wadada wa instagram na Facebook.

Wadada wa instagram na Facebook.

nipe link mkuu,niende huko ,hao ndio wazuri
Kwamba anakupiga kipindi...ila umechagua fungu jema mkuu, hautaki kabisa hekaheka, haubishani na mtu, very humble, kama mtu mshamba mshamba kwa asiyekujua, kumbe hayo yote ni kutafuta utulivu wa akili.

Huyu kijana bado anakua, nashangaa watu wanahangaika nae, ni suala la muda tu, hii stage ikipita, atakaa kwenye mstari. Ndio maana hua sioni sababu ya kusumbuana nae au kubishana kwenye mambo yake. Nilishamwambia ana akili ila kuna vitu aweke sawa, zaidi ya hapo ni kukaa pembeni apeleke mambo anavyotaka mwenyewe.
 
Back
Top Bottom