Ukweli Mchungu Kuhusiana na wanawake

Ukweli Mchungu Kuhusiana na wanawake

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
12,642
Reaction score
25,058
Labda niwape code tu ndugu zangu mnaoteswa na wanawake.

Issue inayo kufanya mpaka leo mwanamke akutumie na kuku dharau ni kwasababu wewe ni kapuku,period.

Toka nianze ku advance kifedha nimekuja kuona siri nzito ya kisaikolojia iliyopo nyuma ya wanaoumizwa na mapenzi.

Issue ni kuwa huna maokoto ya wewe kuwa versatile, yaani unategemea mwanamke wako pekee, what do I mean?

Kijana mpambanaji, anatafuta kwa jasho ili aweke familia yake au mahusiano yake stable, let alone survival.

Ila baadae anakuja kugundua ukweli Mchungu kuwa mwanamke anawigo Mpana wa machaguzi, akiona unacho mpea hakimtoshi anauwezo wa kutafuta mwanaume mwingine kujiegesha akiwa anajua fika kuwa, value yako kwake ni hamna kabisa.

That's a paniful truth ambayo watu huikwepa ila kwa sababu ya maisha ya kileo hauwezi kwepa hiyo fact, with life being expensive.. Lazima uchapiwe tu ndugu....

One fact ni kuwa, mwanaume mpambanaji na mwenye kipato cha chini hutegemea mpenziye ndo awe driving force kumpa moyo ili aweze kufanikisha hata zaidi katika mihangaiko yake.

Ila ubaya wa hawa wadada wasio na malezi ndo hivyo wanakutumia na kikunyonya kile kidogo ulicho nacho maana unakuwa vulnerable kwao, you depend on her to be a comfort in your struggle.

My friend, achana na pussy, jipate uone jinsi pussy hazina maana kabisa. Ni vyombo vya starehe kwa wenye nazo.

Mtu mwenye mawe huwezi kuta anahangaika because all Power iko mkononi mwake, pisi zinajilengesha kwake na ile kuzitafuna unagundua hakuna jipya kabisa. Unakuja kuona kumbe mapenzi na kulia lia ni vya watu maskini tu. Watu masikini hawana option,. Mwanamke asiye na foundation hugeuka kuwa kama bidhaa. Na huyo mwanamke uliye fikiri ana uspesho kipindi filulani ukisha jipata unaona ulikuwa unafuga parasite, na uka disguise wa kufa na kupona.

So my friend amka, Achana na wanawake kama unajua hakuna reciprocity kwenye relationship jichenge na ujenge maisha kwanza. Vitobo na mawezele yapo ya kutosha sana ukiwa nazo.

Happy weekend.
 
Kweli Pussy na Mapenzi ndio huwaangaisha masikini. Lakini mwanaume mwenye uwezo wa kifedha ma mali huwa haangaikii hizi mambo.
Maskini anaoperate from a lack mentality..

So hawezi kuwa na abundant mindset, so atakuwa prone to more failure, na hivyo wanawake atawasikilizia sana.
 
Labda niwape code tu ndugu zangu mnaoteswa na wanawake.

Issue inayo kufanya mpaka leo mwanamke akutumie na kuku dharau ni kwasababu wewe ni kapuku,period.

Toka nianze ku advance kifedha nimekuja kuona siri nzito ya kisaikolojia iliyopo nyuma ya wanaoumizwa na mapenzi.

Issue ni kuwa huna maokoto ya wewe kuwa versatile, yaani unategemea mwanamke wako pekee, what do I mean?

Kijana mpambanaji, anatafuta kwa jasho ili aweke familia yake au mahusiano yake stable, let alone survival.

Ila baadae anakuja kugundua ukweli Mchungu kuwa mwanamke anawigo Mpana wa machaguzi, akiona unacho mpea hakimtoshi anauwezo wa kutafuta mwanaume mwingine kujiegesha akiwa anajua fika kuwa, value yako kwake ni hamna kabisa.

That's a paniful truth ambayo watu huikwepa ila kwa sababu ya maisha ya kileo hauwezi kwepa hiyo fact, with life being expensive.. Lazima uchapiwe tu ndugu....

One fact ni kuwa, mwanaume mpambanaji na mwenye kipato cha chini hutegemea mpenziye ndo awe driving force kumpa moyo ili aweze kufanikisha hata zaidi katika mihangaiko yake.

Ila ubaya wa hawa wadada wasio na malezi ndo hivyo wanakutumia na kikunyonya kile kidogo ulicho nacho maana unakuwa vulnerable kwao, you depend on her to be a comfort in your struggle.

My friend, achana na pussy, jipate uone jinsi pussy hazina maana kabisa. Ni vyombo vya starehe kwa wenye nazo.

Mtu mwenye mawe huwezi kuta anahangaika because all Power iko mkononi mwake, pisi zinajilengesha kwake na ile kuzitafuna unagundua hakuna jipya kabisa. Unakuja kuona kumbe mapenzi na kulia lia ni vya watu maskini tu. Watu masikini hawana option,. Mwanamke asiye na foundation hugeuka kuwa kama bidhaa. Na huyo mwanamke uliye fikiri ana uspesho kipindi filulani ukisha jipata unaona ulikuwa unafuga parasite, na uka disguise wa kufa na kupona.

So my friend amka, Achana na wanawake kama unajua hakuna reciprocity kwenye relationship jichenge na ujenge maisha kwanza. Vitobo na mawezele yapo ya kutosha sana ukiwa nazo.

Happy weekend.
Wanaume tunatatizi moja la kuona kuwa mkeo ni wewe tu ndiye uliyepo
Nikuambie tu mke ni wako ukiwa naye tu akiwa hayupo ni wa wengine

Ukikaa nayo hiyo huwezi umia maishani mwako
 
Maisha yana mambo mengi sana. Mambo ni mengi.

Kwa kipindi nilichokaa Duniani

Kuwa na mwanamke inategemea na malengo yako kwake.

1.Kama mnasogeza siku; basi pesa zako ndo uimara wa kuimarisha bond yenu kwa kipindo mtakacho kuwa pamoja.

2. Kama mna malengo makubwa kuteka hisia zake ndio uimara wa bond yenu.

Kuwa pamoja na kupendana vinaweza kwenda sanjari au kupishana.

Ashura anamchuna Abdul ili akaishi na Juma.
Muda huo huo Mwajuma anamchuna Juma aliyepewa hela na Aisha ili akaishi na Abdul.
Hisia ndo huamua, pesa hunogesha.

Muhimu kuwa na pesa ila usisahau kuteka hisia. Na hiinitategemeana na malengo ya hayo mahusiano yenu.
 
Labda niwape code tu ndugu zangu mnaoteswa na wanawake.

Issue inayo kufanya mpaka leo mwanamke akutumie na kuku dharau ni kwasababu wewe ni kapuku,period.

Toka nianze ku advance kifedha nimekuja kuona siri nzito ya kisaikolojia iliyopo nyuma ya wanaoumizwa na mapenzi.

Issue ni kuwa huna maokoto ya wewe kuwa versatile, yaani unategemea mwanamke wako pekee, what do I mean?

Kijana mpambanaji, anatafuta kwa jasho ili aweke familia yake au mahusiano yake stable, let alone survival.

Ila baadae anakuja kugundua ukweli Mchungu kuwa mwanamke anawigo Mpana wa machaguzi, akiona unacho mpea hakimtoshi anauwezo wa kutafuta mwanaume mwingine kujiegesha akiwa anajua fika kuwa, value yako kwake ni hamna kabisa.

That's a paniful truth ambayo watu huikwepa ila kwa sababu ya maisha ya kileo hauwezi kwepa hiyo fact, with life being expensive.. Lazima uchapiwe tu ndugu....

One fact ni kuwa, mwanaume mpambanaji na mwenye kipato cha chini hutegemea mpenziye ndo awe driving force kumpa moyo ili aweze kufanikisha hata zaidi katika mihangaiko yake.

Ila ubaya wa hawa wadada wasio na malezi ndo hivyo wanakutumia na kikunyonya kile kidogo ulicho nacho maana unakuwa vulnerable kwao, you depend on her to be a comfort in your struggle.

My friend, achana na pussy, jipate uone jinsi pussy hazina maana kabisa. Ni vyombo vya starehe kwa wenye nazo.

Mtu mwenye mawe huwezi kuta anahangaika because all Power iko mkononi mwake, pisi zinajilengesha kwake na ile kuzitafuna unagundua hakuna jipya kabisa. Unakuja kuona kumbe mapenzi na kulia lia ni vya watu maskini tu. Watu masikini hawana option,. Mwanamke asiye na foundation hugeuka kuwa kama bidhaa. Na huyo mwanamke uliye fikiri ana uspesho kipindi filulani ukisha jipata unaona ulikuwa unafuga parasite, na uka disguise wa kufa na kupona.

So my friend amka, Achana na wanawake kama unajua hakuna reciprocity kwenye relationship jichenge na ujenge maisha kwanza. Vitobo na mawezele yapo ya kutosha sana ukiwa nazo.

Happy weekend.
Kuna demu tulisoma wote O level, alikuwa ana figure nzuri, bright ila hakuwa na bahati kwenye mahusiano, kuna mshkaji wangu ndo alikuwa anakamata, ila kichwa yake ilikuwa haijatulia kabisa, alimbikiri yule dem halafu akaanza kumsumbua.

Miaka ikaenda kipindi tupo advance nilikuwa na mawasiliano na demu, alikuwa akinipa mikasa ya jamaa kutoka na mademu wengine.
Miaka ikaenda demu akafanikiwa kwenda chuo, na huko ndo ukurasa wa maisha mengine ukaanza.

Nakumbuka kipindi tunawasiliana demu alinisimulia kwamba kuna mshikaji very talented kwenye mambo ya sanaa ya kuchora(alikuwa anasomea DM hapohapo chuo) alikuwa amefall kwa demu.
Nikamwambiya awe makini asije akawa kama mshikaji wangu. Kiufupi jamaa alishamuoa na wana mtoto, pia wanapendana sana.

Hii stori ina fundisho sana kama utaielewa mkuu, Ngono ni adui wa akili na Mali.
 
Wanaume tunatatizi moja la kuona kuwa mkeo ni wewe tu ndiye uliyepo
Nikuambie tu mke ni wako ukiwa naye tu akiwa hayupo ni wa wengine

Ukikaa nayo hiyo huwezi umia maishani mwako
Hakika, ila kuchetiwa is directly proportional to ikosefu wa maokoto
 
Kuna demu tulisoma wote O level, alikuwa ana figure nzuri, bright ila hakuwa na bahati kwenye mahusiano, kuna mshkaji wangu ndo alikuwa anakamata, ila kichwa yake ilikuwa haijatulia kabisa, alimbikiri yule dem halafu akaanza kumsumbua.

Miaka ikaenda kipindi tupo advance nilikuwa na mawasiliano na demu, alikuwa akinipa mikasa ya jamaa kutoka na mademu wengine.
Miaka ikaenda demu akafanikiwa kwenda chuo, na huko ndo ukurasa wa maisha mengine ukaanza.

Nakumbuka kipindi tunawasiliana demu alinisimulia kwamba kuna mshikaji very talented kwenye mambo ya sanaa ya kuchora(alikuwa anasomea DM hapohapo chuo) alikuwa amefall kwa demu.
Nikamwambiya awe makini asije akawa kama mshikaji wangu. Kiufupi jamaa alishamuoa na wana mtoto, pia wanapendana sana.

Hii stori ina fundisho sana kama utaielewa mkuu, Ngono ni adui wa akili na Mali.
Kwamba kuna wanaume nao wanachezea wanawake?

Na kwanini ulichukulia kama medium of expression?

Anyways nimekupata kuna time inapaswa ujifunze kupitia maumivu
 
Back
Top Bottom