Mimi napenda vidume only.!Nipe madini sasa, au una nipenda sema tu yote hata kwa pm. Maana unanifatilia sana
Kuna mahali nilisoma jana ulisema utoto wa kutukana watu umeacha kumbe ilikuwa maigizo. Unahisi kila mtu humu ndani yupo kupambania mbususu kama wewe?Kakataliwa huko anadhani ni kila mtu. Mshamba kweli huyo
Kweli raha ya JF ni kutokujuana 😂 Kwamba mimi nimekukataa uongo?Mie hata nikikataliwa siji kufungua uzi JF.
Nimekwambia rusha mistari na kila lakheri. Chondechonde uombe asionyeshe rangi zake halisi, JF utaikimbia.
My dear sisterUtakuwa ni mwisho wa mimi na wewe kuengage kwa comment section, Alichokufanyia ShesRise_1 Ntakifanya mara 1000 yake.
Mimi pia nilala nikaamka nakutana na uzi sijui kama kuna sehemu nilionakana cheap au la pengine sijuiNiko humu mwaka wa 12 hakuna aliyenianzishia uzi we huogopi? Hujiulizi kwanini? Aiseee usijekuthubutu kunidrag kwenye huo utoto, Sitakusamehe nakwambia.
Sasa anikatae kwani nimemwendea au kumwanzishia uzi? Au kwa vile unaona natanianataniana nae hapa jukwaani ndio unamchukulia poa? Naheshimiana nae kuliko unavyoweza kufikiri.Umekataliwa nini, mbona unaongea sana?
Ok, am withdrawing myself from this thread...uje tukale shawarma kwa wa Syria.Kweli raha ya JF ni kutokujuana 😂 Kwamba mimi nimekukataa uongo?
Bora nitoke huku liwale nije ofisini kwako nikae dirishani pale niangalie bahari! 🏃🏻♀️
Naomba uondoke kwenye huu uzi.
Kwa kweli hapa kuna kazi sana, endeleeni kupambana!!😂😂😂 Mi sio mzuri kukwazika nadhani itakuwa mara ya kwanza.
Wewe acha kuleta trantum za kishamba hapaSasa anikatae kwani nimemwendea au kumwanzishia uzi? Au kwa vile unaona natanianataniana nae hapa jukwaani ndio unamchukulia poa? Naheshimiana nae kuliko unavyoweza kufikiri.
Na hata ingekua amenikataa, yangeishia huko huko tulikotongozana.
Dogo anaitumia hii anonymity vizuri kabisa, hajali wala nini, kama mwehuKweli raha ya JF ni kutokujuana 😂 Kwamba mimi nimekukataa uongo?
Bora nitoke huku liwale nije ofisini kwako nikae dirishani pale niangalie bahari! 🏃🏻♀️
Naomba uondoke kwenye huu uzi.
Ukiambiwa ukweli unaleta makasiriko! Mimi ni mwanamke napenda vidume.Mshenzi sana wewe ndo maana hakuna wa kukurushia ndoano? Sababu una jiona kumbe ni mbaya wa kutupwa
Maturity 💪Sasa anikatae kwani nimemwendea au kumwanzishia uzi? Au kwa vile unaona natanianataniana nae hapa jukwaani ndio unamchukulia poa? Naheshimiana nae kuliko unavyoweza kufikiri.
Na hata ingekua amenikataa, yangeishia huko huko tulikotongozana.
Nimeshatulia mkuuWewe acha kuleta trantum za kishamba hapa
Umekataliwa live bila chenga na kuoigishwa Dana Dana za kutosha sasa, mimi mwanaume nataka niweke mistari ngumu kuchomoa unaanza kubweka?
Acha kulia lia hadharani, kaa kwa kutulia
Say no more babes, it was never your fault!My dear sister
Kila la kheri mie hua sitaki kabisa hata mtu ani tag kwenye nyuzi zake huyu mtu sihitaji kabisa
Mimi sio mpole hata kidogo
Sio mpole kabisa
nadhani kuna watu wanajua
Ila kubishana humu naona haina maana ndio maana ile siku nilichagua kumjibu kwa heshima sana
But kama mstari ukivukwa tena nipo available 🔥
Mimi pia nilala nikaamka nakutana na uzi sijui kama kuna sehemu nilionakana cheap au la pengine sijui
Lakini hakuna kitu sipendi kama use*nge wa kuanzishiana nyuzi 🚮
Acha kujiliza kama mtoto wa kindergarten wewe, unatongozwa unaanza kulia? 😂 Mbona kashesheMy dear sister
Kila la kheri mie hua sitaki kabisa hata mtu ani tag kwenye nyuzi zake huyu mtu sihitaji kabisa
Mimi sio mpole hata kidogo
Sio mpole kabisa
nadhani kuna watu wanajua
Ila kubishana humu naona haina maana ndio maana ile siku nilichagua kumjibu kwa heshima sana
But kama mstari ukivukwa tena nipo available 🔥
Mimi pia nilala nikaamka nakutana na uzi sijui kama kuna sehemu nilionakana cheap au la pengine sijui
Lakini hakuna kitu sipendi kama use*nge wa kuanzishiana nyuzi 🚮
Na sisi tunaomkimbiza tunaonekana wehu!Dogo anaitumia hii anonymity vizuri kabisa, hajali wala nini, kama mwehu
Sometimes, you don't have to fight to be a man. Nimetii ombi la Binti kiziwi niachane na huu uzi, wewe ukiona nimekimbia pambano, sio mbaya. Na hata hivyo hakuna kitu naweza pambana na wewe, hakipo.Unakimbia pambano? Ndo nyie mnapenda kumendea mademu ila hamna guts na swaga kabisa.