Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,391
- 139,331
Akibadili ID abadili na utoto?Usinivunje mbavu! Humu hamna mtu wa kukubali wewe, labda ubadili ID
Akibadili ID abadili na utoto?Usinivunje mbavu! Humu hamna mtu wa kukubali wewe, labda ubadili ID
Wewe sasa umenielewa mhasibu!Akibadili ID abadili na utoto?
Ahsante kaka,ubarikiwe ,week end hii nikipate kimoja kije kunitoa stressWewe search chuo husika kuna vi group shazi tu utawakuta.
wengine tunaona bora tuuziwe kuliko kuletewa mbwembweHakuna mwanaume anapenda kuuziwa K bwana, hapo inakuwa unaona hili ni kaaba kabisa hili
hahahahahahawadada ni wa IG na FB ila unakuja kutulalamikia humu si ukawachambe huko huko, bora mods waendelee kufuta nyuzi zako tu
Alitumbia hataki tena wanawake weusi anataka wazungu imekuwaje anahangaika na mademu weusi wa fesibuku ?Bora yule dada uliyemfungulia uzi alikufurumusha tofauti na hapo kingemlamba.!
Starehe gharama!Ika pisi za kibongo bwana..
Unakuta kimeweka bio ya kumcha Mungu..
Una ki DM kina respond kwa kuchelewa makusudi kionekane kiko on demand.
Then unakivumilia hivyo hivyo..
Basi nacho unaanza kuingia line, sasa ukiingiza maswala ya kupata mawasiliano na Whatsapp,
Hapo ndo true colors zinakuja..
Kama sio kizinga ni hela ya vocha..
Mbona wazungu huwa hawana njaa za kijinga kama hizi? Alafu kinakwambia, "sijakulazimisha unitafute" sasa unanileltea ngebe kapuku wewe? Ndo maana inaishia kuwa vituko na uzeeni ndo vina anza kujiliza Liza kama kajala vishamba hivi.
Wanawake wamatumbi ni ovyo sana.
Hawana akili, ya kujitambua wao ni wakina nani na wanataka nini, kazi kucompare maisha ambayo wanajua kabisa sio hadhi zao, kuishi maisha ya kuigiza na kutaka starehe.
Kuna pisi kali chuga imeuwawa nilipata taarifa ya Millard ayo, kisa huu huu ujinga. Wanawake mmepewa uhuru sana na mnatumia vibaya ndo maana mnatumika kama daladala tu.
Huyu ni kiaziAlitumbia hataki tena wanawake weusi anataka wazungu imekuwaje anahangaika na mademu weusi wa fesibuku ?
imekaa vzrSawa wako wengi sana wa namna hiyo
Una ushamba na uzuzu mwingi sana aisee 🤣Wewe sema tu Ukijaribu ni liko jaribu ukala za uso, ndezi unajifanya una wisdom ila kazi kumendea mademu wa jf
Unajua nilikuwa najiuliza ni kwanini unapenda kubishana na watu sana humu?Huyu ni kiazi