Wadada wa instagram na Facebook.

Wadada wa instagram na Facebook.

Kwamba anakupuga kipindi...ila umechagua fungu jrma mkuu, hauraki kabisa hekaheka, haubishani na mtu, very humble, kama mtu mshamba mshamba kwa asiyekujua, kumbe hayo yote ni kutafuta utulivu wa akili.

Huyu kijana bado anakua, nashangaa watu wanahangaika nae, ni suala la muda tu, hii stage ikipita, atakaa kwenye mstari. Ndio maana hua sioni sababu ya kusumbuana nae au kubishana kwenye mambo yake. Nilishamwambia ana akili ila kuna vitu aweke sawa, zaidi ya hapo ni kukaa pembeni apeleke mambo anavyotaka mwenyewe.
Mkuu heshima yako sana sana, mie bana huwa niko hivyo siku zote,ahsante kwa kulion hilo, kijana bado wa moto ila atafika stage atakua sawa
 
Yes, kabisa akae kwa kutulia nimshushie waraka wa kibabe na ngumu kuchomoa leo
Nnachoogopa, huyo atakufanya uondoke JF bila kuaga itabidi ubadili ID.

Sema kwa vile anajitambua, anaweza kupotezea au aka kutia moyo na kukufedhehesha kiungwana.

Ila rusha nyavu kijana, wakati ni sasa, wakati ni huu, usikae kizembe
 
Taratibu usitoe siri zako!
Leo umeamka sifa zako zote unanipa mimi!
Kidampa ni wewe na hapo ushaanza kuwashwa kunako.
Matako yako madogo ya nguruwe hayo nani wakukukubali? Nikupe sifa gani demu mbovu bora hata mama Amina?
 
Ewe binti kiziwi naomba upokee uzii wangu leo ambao nimeuweka mafichoni kwa muda mrefu si unajua tuliko toka?
Yaani utakuwa umenikwaza, Aiseeee utakuwa umenikwazaaaa, jamani utanikwazaaa walahi itakuwa mwisho mimi na wewe kucross path.

Utakuwa ni mwisho wa mimi na wewe kuengage kwa comment section, Alichokufanyia ShesRise_1 Ntakifanya mara 1000 yake.

Gunner don’t take everyone for a fool only sababu tuko hapa tuna-entertain uzi wako.

Achana na hawa vichomi wasio na uzuri wowote, unajua mimi ni mtu wa aina gani na unajua how trustworthy and genuine I am
Niko humu mwaka wa 12 hakuna aliyenianzishia uzi we huogopi? Hujiulizi kwanini? Aiseee usijekuthubutu kunidrag kwenye huo utoto, Sitakusamehe nakwambia.

AISEEE UTAKUWA UMENIKOSEA SANA.
 
Nnachoogopa, huyo atakufanya uondoke JF bila kuaga itabidi ubadili ID.

Sema kwa vile anajitambua, anaweza kupotezea au aka kutia moyo na kukufedhehesha kiungwana.

Ila rusha nyavu kijana, wakati ni sasa, wakati ni sasa, usikae kizembe
Yaani binti kiziwi a nifanye niondoke JF?

Mbona unataka kunigombanisha na mrembo niliyem mpenda toka najiunga JF 2021? Acha zako bwana kama umekataliwa kubali tu mkuu
 
Hakuniporomoshea! Huyu yeye anatafuta yeyote tu.
Nilivyochomoa akanigeuza kuwadi wake
Eeeeh eeh bwana zoa zoa na vingreza vyote anashindwa kung'oa pisi anaishia kuomba asaidiwe.
 
Hivi huyu dogo ni msukuma kweli ?
Au ni Mmalawi mwenye Usukuma wa jina ? Hakuna Msukuma mjinga mjinga mwenye tabia kama anazozionyesha humu
Mburundi, wa burundi wanapenda kujisingizia wasukuma.

Dawa yake uhamiaji wamrudishe kwao akalime parachichi πŸ˜…
 
Humu Kuna vikundi vya kugawana simps ukikaa kizembe unakuwa sponsor
Hayo siyajui, ila najua tu kwenye jamii ya wengi huwezi kukosa mambo ya namna hii.

Lazima wezi wawepo, majambazi yapo, wachungaji wapo na hata wadangaji wapo. Ila namna huu mtandao ulivyo, you have to be very smart kufanya yote hayo, unaibiaje watu, unadangaje...inabidi uwe smart.
 
Yaani utakuwa umenikwaza, Aiseeee utakuwa umenikwazaaaa, jamani utanikwazaaa walahi itakuwa mwisho mimi na wewe kucross path.

Utakuwa ni mwisho wa mimi na wewe kuengage kwa comment section, Alichokufanyia ShesRise_1 Ntakifanya mara 1000 yake.

Gunner don’t take everyone for a fool only sababu tuko hapa tuna-entertain uzi wako.

Niko humu mwaka wa 12 hakuna aliyenianzishia uzi we huogopi? Hujiulizi kwanini? Aiseee usijekuthubutu kunidrag kwenye huo utoto, Sitakusamehe nakwambia.

AISEEE UTAKUWA UMENIKOSEA SANA.
Basi nifanye mimi niwe wa kwanza..

I was born to love you, huoni ni mimi na wewe ndo tumezoeana vyema kuliko hawa kausha damu?

Wewe binti kiziwi naomba ufunguke ng'ombe za masikio yako, Achana na maneno ya hawa wapambe wasio na hiyana.
 
Yaani utakuwa umenikwaza, Aiseeee utakuwa umenikwazaaaa, jamani utanikwazaaa walahi itakuwa mwisho mimi na wewe kucross path.

Utakuwa ni mwisho wa mimi na wewe kuengage kwa comment section, Alichokufanyia ShesRise_1 Ntakifanya mara 1000 yake.

Gunner don’t take everyone for a fool only sababu tuko hapa tuna-entertain uzi wako.

Niko humu mwaka wa 12 hakuna aliyenianzishia uzi we huogopi? Hujiulizi kwanini? Aiseee usijekuthubutu kunidrag kwenye huo utoto, Sitakusamehe nakwambia.

AISEEE UTAKUWA UMENIKOSEA SANA.
Tulia binti upendweπŸ˜†
 
Mung'inya usu wi' nkhani nkaku duu!
 
Back
Top Bottom