Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,681
- 10,307
Nakusalimia pia wajionaje na Hali?Chica nakusalimia. 😊
Nakusalimia pia wajionaje na Hali?Chica nakusalimia. 😊
Rudia tena kusoma utanielewaSasa watu kuandika post kuna limits au ni nongwa binafsi?
Nimeku gaslight? If not, why are you acting in such a spoilt rat mannerKeep your smelly mouth shut.
Mimi juhudi zake , upendo na anavyowakea familia yake kama wazazi wake na wanawake wanaomzunguka .Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari.
Je kwa upande wenu huwa inakuaje?
Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa kujiuliza je ile pisi imependa nini pale?
Sasa nawaomba wadada wa jf muwawakilishe wenzenu huko uraiani. Je huwa mnajengaje attraction kwa Wanaume?
Huwa ni kipi hasa kinawafanya mpende?
Sometimes unakuta mtu mpole ndo anakula pisi, sometimes bandidu ndo linakuja, yaani ni unakosa link inayoeleweka je ni nini haswa huwa kinawafanya muwe turned on?
Toeni majibu yanayo eleweka tafadhali.
Unataka hivyo ili ufanye unavyo jiskia ama?Mimi juhudi zake , upendo na anavyowakea familia yake kama wazazi wake na wanawake wanaomzunguka .
Tabia , anavyojichukua anajielewa .
Anajipenda na usafi wake , handsome sio lazima awe na sura nzuri ila hata usafi tu kuanzia ndani ya nyumba yake hadi mwili wake na nguo zake .
Usafi ni kitu kikubwa kwa mwanaume na mwanamke.
Halafu tabia yake , mwanaume mwelewa ni kitu kizuri yaani mimi hadi nijitoe kwa mtu ni mengi sana aisee .
Mwanaume asiye na visiri visiri pia nampenda mwanaume mkimya kiasi nampenda mtambuzi mwelewa ambaye hakupigi pigi nakuwa na wivu waukengee .
Yaani nikuambie tu usijibadilishe kuwa wewe tu maana ukiongeza manjonjo hutoweza kila siku kuwa wewe utapata atakaye kupenda nakukudhamini nakuwa nawewe kwa shida na raha .Unataka hivyo ili ufanye unavyo jiskia ama?
Ila nyie wanawake bwana, basi sawa. Nitazingatia usafi. Ila vingine nitafanya kwa kiasi
Nimeipenda hii, na hilo ndo jibu lenye mantiki.Yaani nikuambie tu usijibadilishe kuwa wewe tu maana ukiongeza manjonjo hutoweza kila siku kuwa wewe utapata atakaye kupenda nakukudhamini nakuwa nawewe kwa shida na raha .
Mwanamke hakai kwasababu unahela unajali au unampenda mwanamke anakaa kwa sababu yeye ndio alikupenda jua hilo .
vitu vyakuzingatia kuwa mkweli tu uwe mtu sio wawapenzi wengi na ujali usafi kama kumpenda mtu fungua moyo pale ambapo unapendwa
Wewe mtoto usiende kwenye chemchemBecause you deserve it.
hahahahahaAchana na Rasta, sina muda wa kujielezea subiri wengine waje I’m out
hahahahahaWewe unaonaje?
Hela tuUnajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari.

😀😀hahahahaha