Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
.........wanaume wengi wao japo siyo wote hupenda kuangalia/kushangaa wadada wenye makalio makubwaa .....wengine wanashangaa yansishia hapo hapo wengine wanatamanii kuwa na na mwanamke wa hivyooo n.k....... Kila mtu kaumbiwa matamanio..... Je kwa upande wetu sisi Madada huwa tunamtamani/ kushangaa mwanamme wa aje kila mtu ana kitu chake anachopenda mwenza wake awe nachoo je sisi wadada huwa tunatamani nini???.
Nianze na mimi......
....Huwa napenda sana mwanamme mwenye kifua kipana kilicho jengeka vizuuuri na kama nikibahatika kuongea nae angalao sauti iwe nzitooo......

Nianze na mimi......
....Huwa napenda sana mwanamme mwenye kifua kipana kilicho jengeka vizuuuri na kama nikibahatika kuongea nae angalao sauti iwe nzitooo......