Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

Utawaelewa sasa wanawake? kuna mmoja alisema alinipendea matege yangu, Lakini mwisho ukingoni mwa mapenzi akaanza kusema sijui nilikupendea nini na hayo matege yako ya ndani.
 
Hahahaha ni shida kwa kweli.
 
Naam, mkuu kungekuwa na uwezekano tunge toka duniani... ila ndio hivyo hata kama ni pastor mapenzi hayanaga mwongozo mkuu
Ndo maana nasemaga dini ni utapeli, wachungaji wanakula kondoo kila kukicha
 
Back
Top Bottom