Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,432
- 27,694
Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari.
Je kwa upande wenu huwa inakuaje?
Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa kujiuliza je ile pisi imependa nini pale?
Sasa nawaomba wadada wa jf muwawakilishe wenzenu huko uraiani. Je huwa mnajengaje attraction kwa Wanaume?
Huwa ni kipi hasa kinawafanya mpende?
Sometimes unakuta mtu mpole ndo anakula pisi, sometimes bandidu ndo linakuja, yaani ni unakosa link inayoeleweka je ni nini haswa huwa kinawafanya muwe turned on?
Toeni majibu yanayo eleweka tafadhali.