Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,466
- 11,641
Nakumbuka kitambo thread kama hii ilirushwa na mapicha kibao... ngoja niingie kwenye Archives.
tutaftie hzo picha utubandikie hapa
Nakumbuka kitambo thread kama hii ilirushwa na mapicha kibao... ngoja niingie kwenye Archives.
Kuna siku nlimuona mmoja mpaka nikadindisha! Duh, tuta la haja
Kuna siku nlimuona mmoja mpaka nikadindisha! Duh, tuta la haja
Izo mambo mjomba sizitakagi kabisa ukaribu nazo. Lawama stakiDuh, sa mjomba wale wa khanga moko na kuilowanisha na maji juu mixa uno la kufa mtu si utashuti ndani ya boxa wewe !!
Angalia usije baka na kuishia gerezani
Hiyo ishapipitwa na wakati, now kuna staili mpya ya uvaaji della nyepesiiii inaonyesha a_z ndani wanavaa kisidiria tu na taiti ndefu.
Hapa mimi ni kama sijakuelewa, akivaa sidiria akavaa na tight halafu dela bado utaona A-Z ya vilivyomo ndani? Labda uwe na binocular.
Huwezi kuelewa hadi ushuhudie laiv! Nitakupm siku kukiwa na kigodoro upate habari kamili.
Mkoani kuzuri sana, kila mtu anajiheshimu.
staili imeanzia tanga hiyo
Hiyo ishapipitwa na wakati, now kuna staili mpya ya uvaaji della nyepesiiii inaonyesha a_z ndani wanavaa kisidiria tu na taiti ndefu.
Usijali mm nitakurushia kabisa video ya kigodoro watu wanaingizana mirija kabisa!
Hongera naona upo updated sana, kama una udhaifu lazima kitu kiende dubai
Kwa hiyo wewe unaishi mikocheni,posta au osterbey .?