sasa kama yote hayo unameshayashuhudia mkuu usiijue style ya kuvaa transparent della?
NPm hyo video naweza nikajifunza kitu....
MiMi mFanyAkazi Wangu Wa ndaNi naOna Na yeyE kAanzA haKa katabia chA kisHenzi nImemEmwAbiA wIfe sItaki KuonA huU UpuuZi hAp,a KwanGu.
Jana nilikua nakula sehemu akaingia mdada kavaa hivyo...mtoto Wa kitanga, kwanza ana makusudi asee
Nikasema ningekua peke yangu kingeeleweka...
Manake alikua ananichek kwa jicho LA pembe afu tabasamu kwa mbaaali...Mash Allah

Hahaha kama hujajifunza huko kwenye vigodoro huwezi kujifunzna kwny hii maana ni km Blue Movie (X)
Wasichana wa Tanga wengi ni vicheche na wengi ni wavunja ndoa za watu (michepuo).
kuna kadada kajiran kangu ,kanivuruga akili si kidogo, kakitoka Kuoga na kanga imenata mwilini huku kakisugua gaga , basi kila kakisugua..huku nyuma kunatetema kama kumefungwa mashine ya kushindilia kifusi huku kanga imejichomeka kwenye kile kimfereji, aah!..nimechoka kupulika nna mpango wa kukamwagia sera mda si mrefu
Ahsante Jigo
Nooo....ni mawazo potofu tu me nnavyojua wadada hufanya vile kwa ajili ya urefu Wa nguo zenyewe zinakuwa zinagusa chini kwa hiyo solution n kuichomeka kdg ili aweze kutembea vizuri
Hivi ni kwa nini baadhi ya wanawake wanavaa gauni lefu halafu ni kama la kitambaa cha mafuta na jepesi halafu wanalichomekea kwenye sehemu ya chini ya chupi (yaani sehemu ya miguu na sio kiunoni) upande wa mapaja au hips?