Wachina waja na maji haya, wanaliteka soko mdogo mdogo

Wachina waja na maji haya, wanaliteka soko mdogo mdogo

Si mlisema wafanyabishara wa Kariakoo wana tamaa. Vipi tena na maji yanazalishwa Kariakoo?

Bado kwa wavuvi vilio vinakuja, Wachina wana mashamba ya samaki kule kwao zimejaza mercury na sumu nyingine wanakuja kuuza bei ya kutupa soko la bongo.

Bado kwenye supermarkets, nazo mtasema ni za Kariakoo.

Bado kwenye madini, kilimo na kila sekta.

Industry ya drinking water kwa China ni kubwa kuliko jumla ya biashara zote zinazofanyika Tanzania sijui madini, kilimo, viwanda, etc. Sasa unategemea nini?

Wakati mbongo anakopa kwa interest isiyo chini ya 16% Mchina wakati huo anakopa kwa around 2%.
 
Alafu kuna mipumbavu inawashangilia hawa wachina ikidhani wamekuja kuwakomboa kupitia hizo bidhaa feki za bei ya nyanya, siku zinakuja waafrika na watanzania watalia na kusaga meno maana kila wafanyacho kujipatia pesa kitachukuliwa na jambazi wa kichina asiye heshimu sheria za nchi zingine ilihali za nchi yake anataka ziheshimiwe.

Hawa wachina ni wakoloni wapya wa hovyo kuliko hata hao wazungu, hawa chinese wanachukua kila kitu ktk ardhi yako, na bado hata kile kidogo wanawapa raia wao wanao zagaa nchini kusaka mpaka kazi za wazawa.

Serikali mfu hii imeshindwa kutatua hili jambo kwa makusudi maana inashirikiana na hawa waovu wa kichina kulinda maslahi yao.

Nyie vilaza wafia uchina, miaka michache tu hapo mtarudi humu kufungua threads za kuwalalamikia hao TAKATAKA wa kichina, na bahati mbaya itakua too late...

Chinese government plan zake ni kutake over everything in the world hasa Dark continent(Afrika) huyu mkoloni mpya adhibitiwe
 
Back
Top Bottom