Mwenzenu yalinikuta: Tujuzane yaliyokukuta valentine 2022

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,460
99,103
Siku ya valentine ilianza kwa shamra shamra sana kwa upande wangu, Nilipokea zawadi za kutosha kutoka kwa wife,michepuko n.k
Pia na nikatoa zawadi za KUTOSHA kwa watu wangu wa karibu wengi tu.

Pia valentine yangu ilikuja Kuisha na vimbwanga sana almanusra nivunje ndoa yangu maana yaliyonikuta uko na mchepuko ilkua Ni balaa tupu.

STORY ILIKUA HIVI,
Siku ya tar 14alfajir tu Niko nmeboeka Kwny folen naelekea kazin, Dogo Rose (yule mdg wake Mchepuko wangu wa chuo) kanipigia akiniomba nimtoe out leo na zawadi yake ya valentine nimpatie, Nkamwambia kua zawad utapata ila suala la kukutoa out itakua ngumu maana ratiba yangu kazin itakua tight sana mpk usiku sana.

Akasema,
"mimi hata usiponitoa out, zawad yako nishakuandalia Uje tu uchukue uendelee na Mambo yako.Najua leo Lazima dada akung'ang'anie tu"

Nkasema poa, Kisha tukaagana nikakata Simu na kuendelea na Safar yang kuelekea kazin.

Nikiwa KAZIni, kwenye saa 2:30 tu baada ya usafi kijana wangu mmoja akaniletea zawad ya T-shirt Moja nyeusi akanambia.
"Broo ya kwako hii, mambo ya valentine leo kaka. Nahisi itakupendeza sana" Nikafurahi sana na pale pale nikaijaribu ikanipendeza sana nikashkuru.

Kwenye saa 3 asbh wife akanipigia kua Leo chai nikanywe nyumban, Kuna kitu changu special kaniandalia.
Nkamwambia wife Ni ngumu Sana maana nmebanwa, akasema Basi atanieletea chai hapo hapo kazin. Nisiagize mgahawani. Nkasema sawa.

Kwenye saa 4:30 asbh wife akanisurprise kwa kuniletea chai ofsini, Kisha akanipa zawad ya viatu flan vizur Sana. Nikavijaribu na vikanipendeza. Tukacheka na kufurahi

Basi baada ya chai kwenye saa 5:30,
Nikamwambia wife, Ni Zamu yako sasa nawewe tutoke nikakununulie zawad yako. Akasema sawa.

Basi tukaenda duka flani la nguo sio mbali na dukan kwangu (mwendo wa mguu TU), wife akachagua vitenge viwili na mkanda wa kubana tumbo, vitenge akasema atakwenda kushona gauni lake na la mwanae mchanga. Nikasema Sawa.

Kisha akatoa wazo kua na mdg wake anaemhudumia nae Ni vema tununulie nae zawadi.Maana KAZI anazofanya kupaweka sawa pale nyumbn na yeye sio house gal wetu Ile kazi Ni kubwa sana, Ni vema tukalipa ata shukran kumtia moyo. Nkasema sawa, Basi akanunuliwa Gauni, mkoba mzuri na perfume ya kike.

Kisha na Mimi wazo likanijia kwann na hawa madogo wangu wa dukani nao nisiwanunulie zawadi Maana na wao wananifanyia kazi Kubwa afu mmoja wao keshaninunulia zawadi tayar.
Basi wazo likanijia kua Hawa niwanunulie mashati mawili kila mmoja, nikafanya hivyo.

Wife aKasema Sasa kama wote tumewanunulia, kwann nisiwanunulie watoto wetu wote tukamilishe familia nzima. Nkasema hapana Bajeti inabana, labda uyu mchanga aliepo. Hawa walioko shule haiwahusu Hii. Basi tukamnunulia uyu kichanga nae soksi na mdoli mdogo pale.

Tukaondoka kurudi dukani kwenye saa 7 kasoro, wale vijana tukawapa zawad zao. Hatukupoteza MDA Sana pale.
Kisha tukaondoka kuelekea home kupeleka zawad za shemej na kichanga changu.
Katikati ya Safar, Mchepuko akawa ananipiga. Sikupokea Simu nikaiweka silent wife asistukie.

Baada ya kufika home na kuwakabidhi zawad zao, Nikala chakula Cha mchana kabisa pale pale home. Kwenye saa 8 mchana hv ikabd nirud zangu kazini. Katkat ya Safar nkampigia Mchepuko akawa ananambia habar za valentine. Nkamwambia ntakuja uko saa 12 baada ya kufunga ofsin, aKasema POA.

Sasa akilini nikawa nawaza leo najigawaje, uyo mdogo mtu kaweka booking mapema kabisa asbh na zawad keshaninunulia. Uyu Dada mtu nae anataka zawadi na outing pia. Uku Bado Kuna wife japokua yeye sio MpENZ sana wa outing.
NAJIGAWA VIPI MIMI SASA

Basi akili inanambia ntayajua MDA ukifika, Sasa ile nmefika TU kazin Kwny saa 9 hv sijakaa hata sawa.
Akanipigia tena Mchepuko akinambia kua
"BBY Mambo vipi, ebu niweke serious Basi nijue mapema unakuja au huji?"

Nikamuuliza,
"Kwann umeuliza, Inamaana huamini kua ntakuja au una ratiba zako nyingine?"

Akasema,
"Hapana, Kuna shoga angu kanambia saa 11 nkitoka kazin anataka kunitoa out. Ndo maana nmeuliza"

Nkamwambia,
"Shoga ako au danga lako, yaan shoga ako asikae na bwana ake valentine Hii, akakutoe wewe rafiki yako out, Hebu wewe Kama ushapata booking kwa Wanaume wengine wee sema TU, nikuruhusu uende. Usilete janja janja Hapa"

Akasema,
"Hapana hakyanani nakuapia, Basi sawa nmeghaili.ushaanza kuniwazia vibaya Sasa.Mimi sitaki kugombana na wewe. iyo Nkitoka kazin saa 11 utanikuta tu home nnakusubiri wewe TU."

Nkamwambia,
"Wee Kama unabooking nenda TU, maana ushanikata stimu tayari. Siwez kuja uko Tena. Mimi uko kwako ntakuja nikishamaliza Mambo yangu yote apa kazini ata Kama Ni usiku"

Akasema,
"Wee malizia TU Mambo yako mpnz wangu, Ila nakuhakikishia ukirud utanikuta tu siendi kokote leo. Nmeghaili"

Nkasema "sawa"
Ila kimoyomoyo nikawa Nmefurahi maana kajichanganya nmemtaftia kisa, kwaiyo nishapata nafas ya kwenda kwa mDogo wake uko chuo. Kwake uyu dada mtu ntaenda usiku nkishatoka kwa mdg wake.

Basi kwenye saa 10 mchana,
Nikabeba laki 2 nkkaitia kibindoni Nikawaaga vijana wangu natoka, nikaondoka kuelekea kwa Dogo Rose alikopanga mtaani jiran na chuo. Ila kabla sijaenda nikarud duka lile Lile nikamnunulia Dogo rose nguo za Gauni Moja jekundu cha elfu 35 Pamoja na khanga pea Moja elfu 15 kwa ajili ya dada ake ntakaporudi jioni.

Saa 11 nmempitia chuo, nemmbeba tukaondoka kuelekea kwake. Kufika Apo mtaani, kuna sehem ikawa haipitiki kwaiyo nikapaki Kwny maduka flan hivi kisha tukasogea eneo husika kwa mguu mpk ndani.

Nmefika akanipa zawad ya KOTI la suti zuri Sana la kaki. Nikalitest likawa limenikaa vizur Sana, akasema Na hali hii ya hewa ilivokua akanambia tutoke out nmelivaa kabisa ndo atafurahi. Nkasema poa.
Yeye mwnyw akasema kigauni nilichomnunulia kakipenda Sana na ndo icho icho atavaa nkasema poa.

Kwenye saa 12 tukaondoka pale kuelekea kwenye kiwanja kimoja Cha kujidai sana maana najua kule Kuna kila kitu, ataenjoy vya kutosha uyu.
Ni hotel flan hivi Ina sehem kubwa wazi ya kunywa yenye bustani, sehemu ya nightclub, live bendi Pamoja na sehemu ya vyumba vya kulala.

Saa 1 hivi tumeingia pale,
Moja kwa Moja tukaenda sehemu ya bar. Kufika pale tukakuta watu Ni wengi Sana. Ikabidi tumwambie mhudumu atuhudumie bia na mbuzi choma atuagizie jikoni Ila viti atupeleke nje kule kwenye miti miti mingi na discolight. Mhudumu akafanya vile.

Tumekaa pale tunapiga ulabu na nyama mpk Kwny saa 2 na nusu usiku, akaja jamaa yangu mmoja simfahamu akaunga tela. Mwanamke nae akasema bia zinamkera anataka wine nikasema Haina shida. Nikaagiza tukawa tunakunywa.

Sijakaa sawa kwenye saa 3 hivi wakaingia marafiki zangu wawili wachaga wa pale mtaani nnakofanya biashara tukaunga kilinge Cha watu 5.
Basi pombe na nyama zikawa zinaagizwa kwa round baada ya round kwa Zamu mpk Kwny saa 5 usiku.

Baada ya pombe Sana, Mwanamke yule akanambia kwamba anajiskia kichefu chefu, nikamwambia labda inuka utembee tembee upigwe upepo Hali iyo itaisha. Akasema sawa.

Nikamuinua na kumtembeza uku na na kule kwenye viunga vile ili angalau ajiskie vizur, akawa analalamika miguu Haina Nguvu. Nkamwambia kwaiyo tufanyeje sasa. Akasema tutafte sehemu tupumzike. Nikasema Basi twende kwenye gari Ukalale kidg, akasema hapana.

Nikamuuliza Tena, wapi Sasa unataka. Akasema kachukue chumba nilale kidg. Nkasema Basi kaa apa chini nikauliza chumba nakuja. Basi nikamwambia chini kwenye nyasi Nikaenda hotelin kuulizia vyumba.

Kufika nikaambiwa vipo kuanzia elfu50, elfu 80 na laki moja.
Basi ikabidi nijikague balance nilonayo.
Dah! Nikajikuta mfukoni nmebakiwa na 65 TU. Na hapo bado nadaiwa elfu42 ya round Moja.
Dah! Akili ikawaza,
"Uyu mwanamke anataka kuniingiza kwny gharama ambazo Ni nje ya Bajeti yangu leo, leo sikua na Bajeti ya kulala nae kabisa. Leo ilkua Ni out na zawadi yake Basi TU. Ila haina shida ntampa anachotaka.

Basi hesabu za haraka haraka zikanambia Hapa Sina hela kabisa. Ila Haina shida ntavuta TU kwa nmb mobile maana hata kadi sijabeba hapa. Hivyo nikachagua Cha 80 maana Cha 50 chumba kilikua kidg mno na Kitanda kilikua ni kifupi kwa kimo. Cha 100 nilikiacha maana mfuko hauniruhusu kabisa.

Basi ikabidi nimrudie mwanamke, kua twende Basi ukapumzike chumba tayar. Akasema poa. Kabla sijaondoka pale nikarud pale mezani, jamaa angu mmoja mchaga nikaenda na kumwachia 45 kua atalipia Ile round yangu niliozungusha. Akasema POA. Basi Nikabakiwa na 20 tu mfukoni Kisha nikaondoka zangu kumpeleka uyu chumbani.

Kufika nikamlaza kitandani nikarudi mapokezi kuandikisha, kufika nikamwambia jamaa anipe account namba nimuingizie akasema Hana, namba ya Simu nimtumie nayakutolea nayo Hana. Basi tukakubaliana kwamba ntampa asubuhi cash ntakapotoa. Akasema poa.

Basi tukaingia chumbani tukawa Tunafanyaje yetu, kwenye saa 7 usiku jamaa akaja anambia nije nje kdg ana maongez binafsi na Mimi. Basi nikatia suruali na vest nikatoka nje kumsikiliza.

Jamaa akaanza,
"Kaka samahan sn kama ntakua nmekukwaza, naomba umwambie mtu wako Basi awe mstaarabu kiasi maana hili Ni eneo la watu wengi"

Nikamuuliza,
" Ustaarabu Kias maana ake ndo Nini, Mbona sikuelewi elewi"

Akasema,
"Unajua Kaka unavofanya na mtu wako sauti yake anavolia inatoka Sana nje, inaleta usumbufu kwa wengine"

Nkamwambia,
"Usumbufu upi wkt dirishan na Kwny vent za milango kote pana vioo, au wewe umekuja kutuchungulia unasingizia watu wengine?"

Akasema,
"Hamna Kaka, wale pale wamekaa jiran na chumba chenu wanakunywa ndo wamelalamika mnawapigia kelele"

Nikamwambia,
"Hivi Kaka pale kweli ile Ni sehemu ya watu kunywa? Hivi kweli mko serious mnaweka watu wanywee madirishani mwa vyumba vya watu afu mnalalamika wasipigiwe kelele?. Hivi kaka sehemu za kunywea zimeisha mpk wang'ang'anie pale pale TU?. Huo upumbavu usinambie mimi"

Akasema,
"Sio hivyo kaka Ni suala la ustaarabu TU kuwasikiliza wenzako"

Nikamwambia,
"Mimi huo upuuzi wako siwez usikiliza. Hapa nalipia pesa, kwaiyo usinipande kichwani.
wewe Kama Unaweza kumsikiliza, kawasikilize wale pale. Unapoona mtu nmekuja Hapa na nmelipia maana ake NAHITAJI nipate burudani ya kutosha nijiachie na.mtu wangu. Sasa Suala la kumwambia apunguze kelele au nimzibe mdomo hilo ndo haliwezekani hata kwa dawa. Hata uko majumbani kwetu tulikotoka vyumba vipo ndo maana nmeviacha na kuja kutimiza haja zangu apa kwenu kwa uhuru. kwaiyo tuheshimiane kaka. Hao watu wako watafutie sehemu nyingine ya kunywea. HILI eneo ni kubwa Sana Sana sio mpk wanywee apa tu. "

Akasema, "sawa nmekuelewa kaka" tukapeana mikono nikarudi zangu room kuendelea na Mambo yangu.

Sasa kwenye saa 8 kasoro usku nikasikia Tena hodi, mhudumu anasema boss kasema inatakiwa pesa. Vinginevyo nirudishe chumba. Dah! Nikaona Sasa huu Ni usumbufu. Afu huenda anafanya Kama kunikomoa kisa nmemjibu shits wkt chumba nilikua sijakilipia bado. Nikasema sawa ngoja nivae twende nikakupatie pesa yako.

Basi nikampigia rafk angu mchaga, akambia bado Yuko pale pale Ila sio pale nilikomwacha anakula kilaji. Yuko Kwny nightclub ndani anakula muziki. Nikamwambia nakuja Apo chap. Basi nikamwambia na mwanamke anisubir kdg nakuja, nikavaa chap nikongozana na yule mhudumu Hadi kwa jamaa yangu mchaga.

Kufika pale nikaomba aniazime laki, akasema hana KUMBE kabakiwa na balance ya elfu30 tu, kuunganisha na Ile elfu 20 ikawa 50 na bado haifiki 80 ya chumba. Nikamwambia mhudumu kua ngoja nikakufatie home. Akasema POA.

Sasa ile nmeenda nmeng'oa gar NATAKA nipige reverse niondoke jamaa ananiblock kwamba Naweza ondoka bila kulipa. Nikamwita jamaa angu mchaga amueleweshe uyu mhudumu wa pale kua Mimi sio mhuni pesa yake naleta. Jamaa kaeleweshwa Ila bado haelewi. Anasema gari lazima ibaki Kama Ni kwenda kufata pesa nitumie hata bodaboda. Basi nikasema sawa.

Ila jamaa angu mchaga akasema Haina shida Basi nichukue gar yake niende nayo,Ile yangu ibaki na funguo akabidhiwe mhudumu ili abaki na amani. Akasema sawa na Mimi nikaondoka kuelekea home kufata pesa.

Kufika home, nikafunguliwa. Nikaingia. Wife akaniuliza Mbona fasta fasta sana na umekuja na gar sio yako. Nikamwambia niache Kwanza ntakuelezea baadae nikirudi.
Akauliza khs Lile koti nililovaa nikamwambia Ni la mwenye Gari Hii. Kisha Nikaingia chumbani kwenye droo na kuchukua laki 2 Kisha nikaondoka zangu.

Nmefika pale, nikamrudishia jamaa angu mchaga Ile 30 yake na kwenda kumlipa mhudumu Ela yake elfu 80. Nikabakiwa na 190 mfukoni. akanirudishia funguo yangu Kisha nikaelekea chumbani kwangu.

Ile Kuangalia MDA Ni saa 9 na nusu, nikasema Hapa Bora niondoke home TU. Nikaoga nikavaa Tena na kutoka. Sasa nmefka nje Nikawaza naenda mwambia Nini wife MDA huu na nilivofika na kutoka chap. Afu mida mibaya Sana leo

Wazo likaja kwamba niseme, Gari yangu imekwama kwenye tope kali Sana nje ya mji kdg imetushinda kuitoa kwaiyo nmeiacha kule kule.
Kwaiyo niiache apa Ntaifata kesho asbh. Wazo lingine lililokuja Ni namwondoleaje wasiwasi kua sikua michepukoni maana leo Ni valentine asije nihisi tofauti. Nikakumbuka Hapa Lazima niende na mwanaume mwenzangu home, Tena yule yule aloniazima Gari ili niondoe mashaka hayo.

Basi nikamfata mchaga wangu kule night club, nikampa wazo langu akanambia haina shida. Ila akisistiza kwamba tukifika itabd Aingie mpk ndani ili wife amuone Kisha aombe na maji ya kunywa kabisa. Basi akakubali kuongozana na Mimi. Ile tumetoka nje, mwenzie mchaga nae akaja pale AkAuliza Mbona mbio mbio.

Jamaa akamuelekeza kua anakwenda kunisaidia kumaliza msala kwa mama watoto maana MDA Umeenda sana. Jamaa nae akasemaa haina shida tuongozane wote. Uyu akamjibu kua haina shida atamrudia Hapa akishatoka uko kwangu ndo waondoke nyumban.
Uyu akasema mda Umeenda Sana, Bora waende wote watapitiliza uko uko waondoke zao nyumbani. Basi tukakubaliana wote twende na Hilo Ni wazo zuri.

Kufika nyumbani ni saa 10 na robo, Niko kwenye gari ya wachaga wangu. wife katufungulia mlango tuingie ndani. Jamaa wakashuka wakasema haina shida Shem wee tuletee maji ya kunywa Hapa Hapa maana kiu kinataka kutuua.

Wife kauliza shida Nini maana uyu mwenzenu kaja hapa sio MDA na Hii Gari afu ndo mmerudi wote.
wakasema, gar yake imezama kwenye tope uko nje ya mji, kuchimba kuitoa imemshinda, sisi tumechimba imeshindikana, tukaivuta bado utelezi ni mwingi na Hii Gari Ni nyepesi na ndo inazidi kuzama. Kwaiyo tumeiacha kule kule kesho italetwa gari kubwa ndo iivute itoke.

Basi wife akanipa pole, na wale jamaa wakanywa maji na kuaga na kuondoka zao. Akanambia maji ya kuoga tayar Nikaenda kuoga na kurudi Nikala chakula kidg ili niende kulala.

Ile nakula, uku nawaza sana khs yule mwanamke kule Hali nlomwacha nayo. Nikajishika mifukoni nikagundua nna pesa. Wazo likanijia kua kumbe nmeondoka hata Ela ya nauli, supu asbh Wala ya sabuni sijamuachia nilivoondoka pale. Na Hali ile ya pombe alizokunywa vile. Uyu asbh hali yake itakua ya hovyo Sana kukishakucha. Basi nikaamua hapa naondoka Tena kurudi kule nikamuachie posho yake.

Niamrud chumban Nikamuaga wife kua kushakucha tayar saa 11 na nusu hii, na uchovu nlonao Naweza jikuta naamka saa 6 mchana. Na gar nmeiacha barabarani katkati imeblock njia ya watu. Watanisumbua. Ni Bora nikaitoe mda huu Kisha nirudi nipumzike kabisa. Akasema sawa.

Basi nikaondoka kuelekea kule, nkafika saa 12 na robo hivi. Kufika nkakuta mwanamke keshaamka tayar Yuko nje anazunguka huku na kule maeneo Yale tulokua tunanywea usiku wake.
Nkauliza shida nn, akasema anatafta ufunguo wake wa chumba, kwenye pochi yake hauoni anahs kaudondosha hapo.

Nkamwambia hapana wakati unatoka hapo kwenye meza kwenda kutembea tembea nakumbuka ufunguo na Simu uliviweka kwny mkoba wako nakuona. Apa labda utafte Njia ya kwenda chumbani na ulikotembea tembea MDA ule. Basi akakubali tukaanza Kumtafuta kwa Pamoja.

Sasa kwasababu ufunguo wenyewe ulkua mmoja tu na pale Kuna nyasi nyasi nikamwambia hapa Ni ngumu Sana kuupata, Kama chumbani hamna itabidi TU ukangoe kitasa ufunge kipya. Akasema POA Ila changamoto Ela. Nikamwambia haina shida ntakupa Ila ngoja tukakague na chumbani.

Kweli tumerud chumban ufunguo umetafutwa kila Kona hauonekani, ikabidi tuhairishe zoezi. Nikamwambia hapa tutachoshana Sana ufunguo hamna huu.

Basi ikabidi nimwambie Mimi naondoka, akasema yeye bado yupo yupo mpk saa 2 hivi.nikasema haina shida.Kwaiyo nikamwachia posho yake Pamoja na elfu 20 ya kitasa, nikamuaga akashukuru na kwenye saa 1 kasoro nikaondoka pale kuelekea home.

Katikati ya Safar taa ya mafuta ikawaka, Dah! nikagundua kumbe tenki tupu, haya yaliyomo yananifikisha home, Ila Sasa Ntashindwa kurudi KAZIni mchana.

Ikabd kuangalia mfukoni balance. Dah! Kumbe nmebakiwa na 20 Kavu tu. Nikalazimika kupitia sheli kuiwekea yote mafuta.

Nafika home saa 2 kasoro, napishana na vijana wangu ndo nao wanaenda dukani. Nkamwaambie nyie tangulieni mimi ntakuja baadae.

Nmefika nkamkuta wife keshaamka anafanya usafi wa hapa na pale. Basi nkaanza kumpigisha stori za uongo na kweli khs jinsi nilivokwama na kupata ugumu kulitoa Gari pale. Nilivoisuuza tope Lile maan ilikua haitamaniki. Nae akawa ananionya kua Safar za nje ya mji niwe natoka mapema Sana nisije kosa msaada maana wale jamaa zangu wachaga wasitokea ningepata shida Sana usiku ule na kule Ni mgeni. Tukataniana pale. Akanambia ninywe Chai. Nikasema hapana ngoja nilale kwanza.

Basi nikalala mpk saa 7 mchana siku hiyo iyo ya jumanne nilivoamshwa kua chakula Cha mchana tayar.

NB: Uyo dada mtu ile zawadi yake ya khanga pea Moja yenye neno zuri Sana "Palikojaa pendo la dhati Shetani hana nafasi" nilikuja kumpelekea saa 1 usiku wa siku iyo ya jumanne tarehe 15.

Mwenye kisa kingine Cha yaliyojiri kwenye valentine yake naye atiririke tafadhali.....

ASANTENI
 
Mlikumbuka kuwamezesha p2?
Nashkuru Mungu Mimi Ni master wa kumwaga nje

Afu hiki kitoto hatujapima bado, Kwaiyo nakila kwa condom.

Nikipata wasaa NATAKA nikakipime ili nijilie kwa Raha, sema tatzo hivi karibun Niko tight Sana kwaiyo tunakutana kwa manati Sana
 
Nashkuru Mungu Mimi Ni master wa kumwaga nje

Afu hiki kitoto hatujapima bado, Kwaiyo nakila kwa condom.

Nikipata wasaa NATAKA nikakipime ili nijilie kwa Raha, sema tatzo hivi karibun Niko tight Sana kwaiyo tunakutana kwa manati Sana
Ndom au unamwaga nje? Hueleweki
We shauri yako utamaliza mbegu za mtama hizo. Tangu la 5 hadi leo...
Salute
 
Ndom au unamwaga nje? Hueleweki
We shauri yako utamaliza mbegu za mtama hizo. Tangu la 5 hadi leo...
Salute
Nikiwa na yule wa siku zote huwa namwaga nje maana hatutumii condom.

Uyu Dogo natumia ndom maana hatujapima bado
 
Atakuwa anaundugu na karani wa jaji kesi ya mbowe na wenzake, maana Kibatala anauliza maswali siku tatu,
Ila Wee Jamaa umenichekesha Sana aisee
IMG_20220203_171100.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom