Wachina waja na maji haya, wanaliteka soko mdogo mdogo

Wachina waja na maji haya, wanaliteka soko mdogo mdogo

Wabongo wanaweka faida kubwa huku wakiwaachia mawinga waweke faida mara mbili; halafu wanasingizia wachina. Wachina wana elimu ya biashara.....hela ya winga mwenye duka ndiye analipa sio mteja
Siku wafanyabiashara wakitoka usingizini watajua kuwa, Mawinga ni tatizo kubwa kuliko Wachina
Kuhusu Predatory pricing, wala haiko applicable hapo.....kwa sababu wachina wanauza kwa profiti magin kubwa tu...
Ndo issue hapo.

Lakini naona predatory pricing ina apply, maana hata wauzaji wa jumla wanasema kwamba mchina anawaachia margin kubwa kuliko margin wanayotoa haya makampuni mengine ya wabongo
 
Ndo issue hapo.

Lakini naona predatory pricing ina apply, maana hata wauzaji wa jumla wanasema kwamba mchina anawaachia margin kubwa kuliko margin wanayotoa haya makampuni mengine ya wabongo
Sijui kama nimekuelewa vizuri japo kuna matatizo makubwa mawili kwa wafanya biashara wetu
1. kuna somo/topic kwenye marketing inatwa pricing ambapo pengine 90% ya wafanya biashara wetu hawajui... na ndio sababu kila kitu wanafikiria wachina wanapunguza bei. Bei sio peke yake inayo uza
2. Hesabu; kwa kuwa wanyabiashara walio wengi hawana msingi wa kutosha wa Hesabu na hawa ajiri mtu wa kuwasaidia; huishia kusema KODI ni kubwa sana na kuishia kuhonga hela nyingi kuliko zile alizotakiwa alipie kodi (Hesabu ni janga la TAIFA).
3. Mawinga wameharibu kabisa bei ya soko Kariakoo; Fikiria mfanya biashara anaweka faida laki mbili, Winga naye anaweka laki na zaidi (Jumla laki tatu); sasa fikiria mchina kaset profit margin kwenye laki na ishirini...
Si wakatai mawinga ILA walipwe na mfanya biashara; mfano kila bidhaa ya shs laki moja anayo uza mfanya biashara amlipe shs 5000,nk nk
 
Back
Top Bottom