Wachagga na Serikali ya Magufuli

Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hahhahaa tuliza munkari mkuu....soma text vzr
Sina munkari mi nakupasha upashike.acheni tabia za ajabu yaliyotokea Rwanda Na Burundi yalianza hivi hivi na watu Kama nyie ndo mlisababisha.kwa taarifa yako mimi mzazi wangu mmoja WA huko huko uchagani ila ningekuwa Na upunguwani Kama wakwako ningekusapoti.
 
Duh! Karne ya 21 tunazungumza makabila?? Hatari sana hii. Zamu ya wasukuma, wahaya na wakurya. Over!!
 
Hahhahaa tuliza munkari mkuu....soma text vzr


NADHANI MFUMO WA ELIMU NDO UNATUGHARIMU HADI TUNAPATA MAWAZO KAMA HAYA YAKO.....NDALICHAKO ATATUSAIDIA

MWENZAKO NINA KAZI ZA KUFANYA NDIYO MAANA HUJI NIKUTA NASHEDEDEA UPUMBAVU WA KIKABILA HATA SIKU.
 
Lackadaisical words,
CCM haijawaumiza Wachagga tu,
Kila kabila lina malalamiko yake; so stop making your problems special than others.

WEWE HUNA AKILI
Ha ha ha ujue bado masaa machache sana tuingie 2016, nakutakia kila Kheri mkuu,
 
Wewe ni mkabila,
Adui wa Utanzania,
Hutakiwi kuchekewa,
Inabidi uende ukaishi na wanyama porini.
Inabidi uogopwe kama UKOMA
ussukuma utemi ndionkampeni za ccm diamond na Zitto Ccm itakufa kaskazini. Hata zikitumika nguvu majimbo ya huko sahauni kwa mtindo huuu.Katalunya juuuuuuuuuuu
 
Sina munkari mi nakupasha upashike.acheni tabia za ajabu yaliyotokea Rwanda Na Burundi yalianza hivi hivi na watu Kama nyie ndo mlisababisha.kwa taarifa yako mimi mzazi wangu mmoja WA huko huko uchagani ila ningekuwa Na upunguwani Kama wakwako ningekusapoti.

Hahaha maandishi yako huwezi yatenga na munkari
 
Tusiume maneno NYINYI NI MAJIZI, WABINAFSI NA WAKABILA SANA. Awamu hii mtaisoma tu.
Kuna mtu alishaandika humu,namnukuu-Enzi za ukoloni kuna makabila ambayo kazi zao ilikuwa shamba boy na upishi:Mwisho wa kunukuu.
 
Mbona huwasemei wamasai, Kosa limefanywa na chama chenu! Kwa msimamo wenu Mchagga yeyote au mmasai aliyesimama kupingana na mgombea wa Chadema ktk maeneo yenu mlimpiga chini. ulitaraji Magufuli apate mawaziri toka wapi?
 
Nyerere alipambana na hili kabila akashindwa, mwinyi, mkapa na kikwete nao hivyohivyo wakashindwaa, naona magufuli nae anajitahidi.

Hato weza kwani ni kabila kubwa ambalo asilimia 60 ya watu wake ni wasomi na wanapendana, ni wamojaa
 
Mkuu uzuri wachagga ni wapambanaji...hawategemei maendeleo sababu ya kuwa na waziri au naibu...hapa suala zima ni dhana ya uwakilishi. Kama kuna anayedhani maendeleo ni sababu ya kuwa na waziri au naibu this time mshangao utakuwa mkubwa zaidi
kwa hiyo uwaziri ni cheo cha uwakilishi ? si mna akina sillelii, michael, mbowe , kom
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom