Wachaga ni Noma!

Wachaga ni Noma!

Moja ya kitu wanachopatia ni kukumbuka nyumbani na kutosahau elimu.
Kwahilo wanastahili pongezi.
Sasa tukiwakuta wachaga kadhaa kwenye uongozi taasisi fulani au vyama vya siasa fulani tusiwaite wakabila 'wa Kaskazini', bali tukubali kuwa waliwekeza vya kutosha kwenye kujielimisha wao na vizazi vyao, na wanastahili kukamata nyadhifa mbalimbali
 
Umefika nyumbani tu unakuta wadogo zako wote wana ma'usafiri halafu we ndo mkubwa unafikiri ntaacha kuparangana na mim nipate hata vitz? Karibu machame ndgu!
 
Ni kweli wengi wako vizuri kutafuta ila wengi wanaazima magari kwa kukodi ili waoshe jina huku kwao. Fedha yao nyinhi ya ushirikina sana. Mimi nimeishi huku mwaka wa tatu sasa. Kuna mengi ya wachaga hujayajua. Ni noma sana

Mkuu mi sio mchaga, ila kwa hili unatetereka. Wachaga wana kitu ambacho ni "unique" especially kuchangamkia fursa zinazokuja mbele yao!! Binafsi nipo Katavi mkoa mpya, ila speed ya hawa jamaa sio mchezo. Nilibahatika kwenda Kinshasa, nilikutana na wachaga wanamiliki daladala kule! Starehe kwake sio mpango wa maisha. Na kitu ambacho hukijui, wanajali kwao kuliko kabila lolote Tz!!
Amini usiamin, miji mingi imepwaya kutokana na hawa jamaa kwenda kwao kula xmas. Huu utamaduni ni mzuri mno, just imagine wanasaka noti mwaka mzima, na mwisho wa mwaka wanaenda kujumuika na kula na wale waliowaacha kule vijijini.
Kwa bahati mbaya, wengi wetu hatuelewi, tunadhani ndivyo sivyo! Big up wachaga, hata kama wapo nje ya nchi, watakuja mwisho wa mwaka, what a lovely culture!!!
 
miji mingi imepwaya
sahivi hata magari ya kwenda mbezi sipati tabu, mambo haya yamepungua

Futaaaaaaaaaaaaaa.jpg
 
Mtoa mada kama wanabisha we watupie mahengo tuu ya huko huko marangu afu waseme kama na hayo ni ya kukodi au ya kwao. Utakuta nyumba moja ya zamanii pemben yake kuna kitu kipyaa ujue mekuu kafanya yake hapo. Hongera sana kwa hiz pipo asee
 
mbona mheshimiwa raisi anapaendeleza kwao bwagamoyo kwahyo na wenyewe wakishika me sitaona ajabu wakiwapendelea wachaga wenzao, it's human nature

sasa kule watapendelea nini zaidi wakati kila kitu kipo?
home kwetu mzee aliweka umeme toka mwaka 1990 na ni kijijini mlimani kabisa.
na hamna nyumba ya udongo kijiji kizima!
 
Mkuu mi sio mchaga, ila kwa hili unatetereka. Wachaga wana kitu ambacho ni "unique" especially kuchangamkia fursa zinazokuja mbele yao!! Binafsi nipo Katavi mkoa mpya, ila speed ya hawa jamaa sio mchezo. Nilibahatika kwenda Kinshasa, nilikutana na wachaga wanamiliki daladala kule! Starehe kwake sio mpango wa maisha. Na kitu ambacho hukijui, wanajali kwao kuliko kabila lolote Tz!!
Amini usiamin, miji mingi imepwaya kutokana na hawa jamaa kwenda kwao kula xmas. Huu utamaduni ni mzuri mno, just imagine wanasaka noti mwaka mzima, na mwisho wa mwaka wanaenda kujumuika na kula na wale waliowaacha kule vijijini.
Kwa bahati mbaya, wengi wetu hatuelewi, tunadhani ndivyo sivyo! Big up wachaga, hata kama wapo nje ya nchi, watakuja mwisho wa mwaka, what a lovely culture!!!

aeka mbe,Ndumi nakuninge mbora!
ngashituka
 
Wakuu mimi si mchaga ila nimemsindikiza jana rafiki yangu huko kwao kilimanjaro.

Sasa nipo huku marangu, ilaa sasa hizi gari ninaziona huku ni balaa yan utafikiri nipo mjini dar es salaam kumbe ni kijijin marangu.

Range Rover Sports hizi za mwaka 2012 nimeshaziona kama nane hadi sa hivi, nimeona pia mikoko ya bmw x6 kwa wingi , yan kwa ufupi kuna gari za kufa mtuuuuuuu.

Big up sana wachaga mpo vizuri kwenye kutafuta dough.

Naomba Kuwasilisha

We umejifunza nini?
 
sasa kule watapendelea nini zaidi wakati kila kitu kipo?
home kwetu mzee aliweka umeme toka mwaka 1990 na ni kijijini mlimani kabisa.
na hamna nyumba ya udongo kijiji kizima!

1990 mlichelewa sana mkuu sisi tangu miaka ya 1980's
 
Wakuu mimi si mchaga ila nimemsindikiza jana rafiki yangu huko kwao kilimanjaro.

Sasa nipo huku marangu, ilaa sasa hizi gari ninaziona huku ni balaa yan utafikiri nipo mjini dar es salaam kumbe ni kijijin marangu.

Range Rover Sports hizi za mwaka 2012 nimeshaziona kama nane hadi sa hivi, nimeona pia mikoko ya bmw x6 kwa wingi , yan kwa ufupi kuna gari za kufa mtuuuuuuu.

Big up sana wachaga mpo vizuri kwenye kutafuta dough.

Naomba Kuwasilisha
Mpiga domo usijali nitakujiri uwe mpambe wangu...........manake unavyojuwa kufagilia!!!??? hiv wewe roho yako imesuuzika livyoona watu wanaedesha magari ya kifahari.....kwe umbulula
 
Tungekuwa na makabila 5 makubwa kama wachaga apa nchini basi tungekuwa mbali sana kwa maendeleo. Wachaga wana mwamko hali ya juu wa maendeleo. Watayatafuta kwa njia yoyote, hata ikilazimu kutembea kwa miguu toka Moshi hadi Mbeya! Big up chagas, your success is inspiration kwa wengine. Makabila ya Pwani na central: acheni wivu na kuwekeana kauzibe, fanyeni kazi!
 
Back
Top Bottom