Wachaga ni Noma!

Wachaga ni Noma!

Tungekuwa na makabila 5 makubwa kama wachaga apa nchini basi tungekuwa mbali sana kwa maendeleo. Wachaga wana mwamko hali ya juu wa maendeleo. Watayatafuta kwa njia yoyote, hata ikilazimu kutembea kwa miguu toka Moshi hadi Mbeya! Big up chagas, your success is inspiration kwa wengine. Makabila ya Pwani na central: acheni wivu na kuwekeana kauzibe, fanyeni kazi!

Mkuu yapo

i. Wachagga
ii. Wahaya
iii. Wanyakyusa
iv.
v.

Malizieni hayo mawili
 
Mpiga domo usijali nitakujiri uwe mpambe wangu...........manake unavyojuwa kufagilia!!!??? hiv wewe roho yako imesuuzika livyoona watu wanaedesha magari ya kifahari.....kwe umbulula

wacha wivu wa kijinga,.
 
Mpiga domo usijali nitakujiri uwe mpambe wangu...........manake unavyojuwa kufagilia!!!??? hiv wewe roho yako imesuuzika livyoona watu wanaedesha magari ya kifahari.....kwe umbulula

sio magari tu ya kifahari sikutaka tu kuwachoma mioyo yenu ma'haters kwa kutaja maghorofa na barabara nzuri nilizizoziona kijijini marangu
 
Du!hebu niunganishie kwa Manka au Haika anipe raha.

kumpata manka au haika inabidi kujipangaaaaaa, ohoooooo

inabidi uwe una ramani za maisha zinazoeleweka tena si mchezoo
 
Wakuu mimi si mchaga ila nimemsindikiza jana rafiki yangu huko kwao kilimanjaro.

Sasa nipo huku marangu, ilaa sasa hizi gari ninaziona huku ni balaa yan utafikiri nipo mjini dar es salaam kumbe ni kijijin marangu.

Range Rover Sports hizi za mwaka 2012 nimeshaziona kama nane hadi sa hivi, nimeona pia mikoko ya bmw x6 kwa wingi , yan kwa ufupi kuna gari za kufa mtuuuuuuu.

Big up sana wachaga mpo vizuri kwenye kutafuta dough.

Naomba Kuwasilisha

nafikiri maeneo ya kimara yatakuwa kimya kidogo....
 
Ngoja nipande na Pipe yangu ya 2013 kama hawataficha zao mgigombani au kutimkia walikotoka.
 
Wakuu mimi si mchaga ila nimemsindikiza jana rafiki yangu huko kwao kilimanjaro.

Sasa nipo huku marangu, ilaa sasa hizi gari ninaziona huku ni balaa yan utafikiri nipo mjini dar es salaam kumbe ni kijijin marangu.

Range Rover Sports hizi za mwaka 2012 nimeshaziona kama nane hadi sa hivi, nimeona pia mikoko ya bmw x6 kwa wingi , yan kwa ufupi kuna gari za kufa mtuuuuuuu.

Big up sana wachaga mpo vizuri kwenye kutafuta dough.

Naomba Kuwasilisha

Sasa we kama ulikuwa huwajui wale wanaoiba huku mjini wakapeleka vijijini!
Sasa umeshawajua!
 
Usicheke. Mi mwenyewe mtu wa maslahi.
Nakuja huko kuchukua Familia yangu, kama bado uko huko kesho natua, ntakuwa weruweru lodge.

mkuu karibu sana na hongera kwa kuoa mchaga mimi nimefikia marangu mtoni na nitakuwepo hadi jumapili.

weruweru lodge ipo maili sita nyuma kidogo ya moshi mjini ukitokea barabara ya moshi-arusha karibia na njia panda ya kwenda machame
 
ungekuja usukumani ungezimia magari ni lundo,hata ndege zinakera kwa kujazana angani!
 
sifia mchaga uone comment za kijinga, kwani makabila mengine hakuna magari acheni, umetokea mkoa gani hadi unashangaaaaaaaaaaa magari nyambafu

Kaka punguza hasira, ha ha ha,umeviiimba!!
 
Back
Top Bottom