Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,025
Mtoa mada hakuta muwafukuze bali muache kunyenyekea hao waarabu.Iringa na moshi nianavyo mi hiyo mikoa haina tofauti ya kimaendeleo,mhehe na mchaga ni makabila tofauti ambayo yana tamadun tofaut,mhehe ni shujaa ktk nchi hii ,piri suala la iringa kuwa na waarab na raia wengine ni la kawaida,sasa mtoa mada alitaka wahehe wawafukuze waarab na wagirik na waburushi?
Hivi kujinyonga ni ushujaa??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums