Waarabu wana nguvu Iringa

Waarabu wana nguvu Iringa

Ni kama watu wa iringa wanaweza zaidi biashara za hotel??vipi ukiangalia kwa undani hizo biashara wanazomiliki ni za long term au hazina future'kuna hoteli tuliona kitonga sijui kama ipo ila tukipita pale tunaona panasuasua'tutajie wafanya biashara ambao wana future nzuri'mbona hujataja majembe??

nimewataja wenye hotels coz hzo ni biashara kubwa na sio zakuonekana kwa watu kuwa unabiashara flani.. I mean co kama magari, mana waweza kuwa na gari za usafirishaj 4 tu ila ukaitwa tajiri bila kujua gharama ya hzo gari zako nne hazijengi hotel hata moja ikaisha. Kuhusu kitongo mkubwa pale mwenyewe alifarik na ndio maana unaona panasua na pia ndugu waliopo wamebinafsisha kwa mtu.
 
ndo maana hata mbunge wao ni mkinga, hawa jamaa walikuwa wanawadharau wakinga miaka ya nyuma lakini siku hizi wamegeuka ndo walinzi wa maduka ya wakinga. Wanajiita TULIVAGAYASIDA maana yake hawana shida.

uwe na uhakika na unachokiandika nani aliekwambia msigwa ni mkinga? Au unadhan kila msigwa ni mkinga? Kuna cku mkeo atatoka na surual utahc ni mwanaume eti kisa kavaa surual. Msigwa nimuwanji
 
[/COLOR][/SIZE]

ningekuwa mnyalukolo ningedai apology .samahani yangu
ehh et wenyeji wajinga?
kigezo gan umetumia kugeneralize watu wa iringa wajinga?
umejiuliza kwa nini watu wanawanyenyekea waarabu?ni watu gan ao?elimu zao?wanajishughulisha nanini?
wap hakuna wajinga?dar?moshi?
mkoa upi una werevu,wajanja.hakuan wajinga?

statement yako si ya kiungwana mjombaa na kwa mbali u smell uselfish.ubishoo.dharau na mbaya zaidi unachukulia mambo kijuu juu

hauna tofaut na yule mtu anayekutana na mtoto ombaomba afu anaanza kumtukan mtoto weeee mjinga sana....kwanini auend shule..kwa nini unalala majalalani?kwa nini umevaa nguo chafu?kwa nini aujala mchana.....MTU MWENYE AKILI NA HEKIMA NADHAN ATAANGALIA YALIYOPELEKEA mtotoUYO KUWA IVYO ALIVYO NA SIYO KUMUHUKUMU ....et wewe mtotokesho nikukute umekula na umenda shule na nguo safi.....

thk hard broo

sor 4any kwazo bt nt intended.
pc:violin:

Well said sina cha kuongeza Rose, huyu jamaa anaonekana ni mshamba tu. Na si ajabu ni mara yake ya kwanza kutoka nje ya mkoa wake. Kama ulivyosema, anaonekana ni bishoo fulani mwenye dharau sana kwa watu wenye hali duni, lakini kwa bahati mbaya hana uwezo mkubwa wa kuchambua mambo. Hakuna mkoa nilioenda nisione au nisisikie habari za watu maarufu ambao wakipita mahali wanaibua mjadala. Sasa yeye anachoshangaa hili kutokea Iringa ni nini? Ametukosea adabu kabisa wanaIringa huyu bwana mdogo.
 
Matajiri wote wa kihehe kama Chalamila,Masasi,Ngole na nk.
Hawapo tena wakinga,wahindi wakiongozwa na waarabu wamechukua mji.
Ccm iringa inaongozwa na asas Abri.Watoto wake wananyathifa kubwa Ccm hapo Iringa.
Kuna fununu kwamba jamaa kao kwa Abri.

mkubwa acha kuwa na upeo finyu kila mkoa au mji unamatajir wa zamani hakuna mkoa au mji uliokosa matajir wakizamani mkubwa na ndio mana ht kariakoo kuna maghorofa yakizaman na yanapotea kila cku ukiulza wamiliki wako wapi utajibiwa walifarik na familia zao zilfilicka. Utajir ni km uhai unazali, unakua, unadevelop then unakuja kupotea hata km ni kwakizaz cha 50 kwenda mbele.. Ila kila chenye startn point bas ujue kinakua na sehem kuu 3. Startn point, middle point na end point.
 
.....we nenda kapige mdudu kwa mama Siovelwa au nenda Miami utapata mbuzi, supu, kila kitu! Na kambwa kidogo!

Bila kusahau Mateka Bar opposite na Ukumbi wa Halmashauri ''siasa ni kilimo''
 
kwanza ndugu mtoa mada hujaenda ndani katika masuala ya watu wa iringa.waarabu wa kwanza iringa ni wazee wa asas na fm abri.wote hawa kabila moja na ndugu wa karibu sana.nilisoma na mtoto wa asas na fm o level.waliniambia wazeze wao walikuja toka uarabuni maskini saana.wakaanza maisha isimani na sahv ni moja wa matajiri iringa na southern tanzania.wahehe si watu wabiashara saana lkn huvutwa nyuma na ulanzi na ulevi mwingine.mfano mi nipo hapa gangilonga kuna baa 13 kubwa,na wakazi wa hapo gangilonga hawazidi 6000
 
Kila mtu anatafuta best opportunity ya biashara, sijasema wanakimbia mji ila namaanisha wamesambaa sehemu nyingine kama mbeya, tunduma, dar nk. Nadhani sio kwasababu wewe ni mchaga basi utafanya biashara moshi. Suala la viongozi ndio wanaotakiwa kwani hawana upendeleo wa kipu.uzi, angalia kama ni mikoa mingine ingekuwaje. Pia mkoa ulivyokaa imekuwa tabu kuendelea kwani mji upo upande wa juu hata hivyo maendeleo yameanza kurudi kwa kasi sana. Hakuna anaekimbia ila wanatafuta green pastures, Tanzania ni yetu wote na wahehe hawana ubaguzi wa kabila kama nyie wenzetu, so unakaribishwa kama unataka kuinvest.

Tupo pamoja mhehe mwenzangu
 
nimewataja wenye hotels coz hzo ni biashara kubwa na sio zakuonekana kwa watu kuwa unabiashara flani.. I mean co kama magari, mana waweza kuwa na gari za usafirishaj 4 tu ila ukaitwa tajiri bila kujua gharama ya hzo gari zako nne hazijengi hotel hata moja ikaisha. Kuhusu kitongo mkubwa pale mwenyewe alifarik na ndio maana unaona panasua na pia ndugu waliopo wamebinafsisha kwa mtu.

baada ya kufariki hakuna ndugu aliyeandaliwa kuendeleza biashara??hilo ndio tatizo kubwa linalotukabili
 
Naipenda iringa nimekaa hapo wilolesi ila kweli nimewaona wengi wenye uchumi mkubwa ni waasia.
 
kwanza ndugu mtoa mada hujaenda ndani katika masuala ya watu wa iringa.waarabu wa kwanza iringa ni wazee wa asas na fm abri.wote hawa kabila moja na ndugu wa karibu sana.nilisoma na mtoto wa asas na fm o level.waliniambia wazeze wao walikuja toka uarabuni maskini saana.wakaanza maisha isimani na sahv ni moja wa matajiri iringa na southern tanzania.wahehe si watu wabiashara saana lkn huvutwa nyuma na ulanzi na ulevi mwingine.mfano mi nipo hapa gangilonga kuna baa 13 kubwa,na wakazi wa hapo gangilonga hawazidi 6000

mbona hukuwauliza walivyotajirika??hawa wameua sana tembo zetu na walitajirishwa na meno ya tembo wakati wahehe wamelala usingizi wa pono
 
Wote mnaotokwa na povu punguzeni hasira,hiyo ndiyo hali halisi ya iringa,wahehe wana hasira sana lakini ina faida kwenu??
 
mbona hukuwauliza walivyotajirika??hawa wameua sana tembo zetu na walitajirishwa na meno ya tembo wakati wahehe wamelala usingizi wa pono
Niliwauliza walitajirika vp,sababu niliyo iona ni kuwa ni wana biashara wazuri wanao panga mipango ya mbele future .simkumbuki majina yote ya yule dogo,alikuwa anaitwa fahd lakn nakumbuka aliniambia kuwa walianza biashara ya usafirishaji mwaka 1940 na gari moja ambalo lilikuwa linaendeshwa na babu yake.na baada ya muda wakaacha duka isimani na kuunza kununua gari zingine.niliwahi kumuuliza idadi akaniambia zina range kwenye 300.sasa kwa muonekano waharaka hawa watu walikuwa wachapakazi.yaani hawakuibuka matajiri tu.bali ndani ya 1940-2004 wamefanikiwa saana.sijuwi sahv wanayo mangap na biashara zingine gani.
 
mkuu hembu tuachie mji wetu, wahehe tupo kimya tu, fanya kilicho kupeleka,moshi kule dada zenu wa kichaga buleee kabisa hawajui kitu,,,,usituletee uchaga kwenye mji wetu
 
mkuu hembu tuachie mji wetu, wahehe tupo kimya tu, fanya kilicho kupeleka,moshi kule dada zenu wa kichaga buleee kabisa hawajui kitu,,,,usituletee uchaga kwenye mji wetu

Hahaha safi saana.kule buleeee
 
lazima wewe ni mmoja wa ile safari ya watu wa bia za serengeti mambo ya maji yaliyowapeleka huko.....

sbl%2Bleo1.jpg

Jamaa atakuwa ni miongoni mwa watu hawa wanafungua miradi ya maji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom