Waarabu wana nguvu Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waarabu wana nguvu Iringa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Mar 21, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

  Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wenyeji walivyotawala kwenye biashara kubwa,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe namna hiyo kiasi hiki????
   
 2. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Mambo ya wahehe waachie wahehe, we fanya yaliyokupeleka then rudi kwenu moshi kaendelee kufukuza wahindi. Dhambi ya ubaguzi inawatafuna nanyi mtabaguliwa hakika nawaambia.
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  ni kweli iringa kuna kaushamba cha kuabudu waarabu na katabia ka kushangaa.
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu lakini mmezidi bana,haowaarabu ni wageni tu hapo iringa komaeni na mji wenu bana
   
 5. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Be twivagaya sida!
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,948
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Pale mjini Iringa kuna vibarakashia vingi na ndio vinaendeleza umwinyi wa kuabudu waarabu,ni kama vile Wamanyema pale Tabora na Kigoma
   
 7. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Mji mbona uko poa tu au we unapaonaje? Matajiri ni kweli wapo waarabu ila sina uhakika unaposema wao ndio wameshika uchumi although wanachangia kwa kiasi kikubwa ila miradi yao inatoka nje ya mji kama Asas Dairy, Dabaga fruits, na wengineo.

  Sijajua unataka wawafukuze vipi wakati kuna matajiri wamekimbia biashara zao wamebadilisha na wapo dar, mfano S.T. Abri marehemu alikuja dar na biashara kabadili anafanya real estate, iringa kinatuangusha kilimo ila mbona hujasema mbao biashara ya matajiri wahehe? Mbona hujaona chai? Tena ya muhehe kiwanda?

  Na vingine vingi sana, unahitaji kuelewa kuwepo kwa waarabu wachache hao kina Huwel tena hata uarabuni wengi hawana ndugu huyu unaemtaja mama ni mswahili, waarabu wenzie wakamtenga ndo tumfukuze aende wapi? Just be reasonable! Biashara hata wakazi wenyewe wamezihamishia dar, njo kkoo uliza, nadhani ni vizuri ufanane na hiyo ID yako!
   
 8. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kweli tembea uyaone.Sasa umewasaidia kuwaelewesha au umewaacha hivyo hivyo.Kama umewaacha hivyo hivyo na wewe utakuwa hujasaidia jamii
   
 9. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Hao wamanyema ni tabia zao na unaowataja hao wenye vikofia wengi wana asili ya umanyema kama kina abbas kandoro mamake ni mmanyema i guess hao wapo wengi pale miyomboni, kitanzini na maeneo ya mshindo na stendi.

  Na hao ndio wanaowatetemekea hao waarabu uchwara. Nadhani hujajua asili ya muhehe ikoje, sio rahisi kumtetemekea mtu, endelea kuangalia mji utajua ukoje ila usiende pale RUCO au TUMAINI UNIVERSITY utamaliza vi-allowance mkuu, we nenda kapige mdudu kwa mama Siovelwa au nenda Miami utapata mbuzi, supu, kila kitu! Na kambwa kidogo!
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0  ningekuwa mnyalukolo ningedai apology .samahani yangu
  ehh et wenyeji wajinga?
  kigezo gan umetumia kugeneralize watu wa iringa wajinga?
  umejiuliza kwa nini watu wanawanyenyekea waarabu?ni watu gan ao?elimu zao?wanajishughulisha nanini?
  wap hakuna wajinga?dar?moshi?
  mkoa upi una werevu,wajanja.hakuan wajinga?

  statement yako si ya kiungwana mjombaa na kwa mbali u smell uselfish.ubishoo.dharau na mbaya zaidi unachukulia mambo kijuu juu


  hauna tofaut na yule mtu anayekutana na mtoto ombaomba afu anaanza kumtukan mtoto weeee mjinga sana....kwanini auend shule..kwa nini unalala majalalani?kwa nini umevaa nguo chafu?kwa nini aujala mchana.....MTU MWENYE AKILI NA HEKIMA NADHAN ATAANGALIA YALIYOPELEKEA mtotoUYO KUWA IVYO ALIVYO NA SIYO KUMUHUKUMU ....et wewe mtotokesho nikukute umekula na umenda shule na nguo safi.....  thk hard broo

  sor 4any kwazo bt nt intended.
  pc:violin:
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ivi viongozi na wanasiasa ndo diameter ya kujua km wanakotoka watu wao ni vilaza au vipanga?
  ukizingatia mfumo huu wa upatikanaji wa viongozi tz?
  ahh m tayad typng bt najiskia :thinking:
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  kumbe sasa nimeanza kujua tatizo,ina maana matajiri wahehe wanaukimbia mji wao??Mkuu inawezekana hao waarabu hawatoi nafasi kwa wahehe kunyanyuka?kuna kitu kimejificha ambacho tunaitaji ufafanuzi,biashara ni ngumu sana inaonekana
   
 13. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Sijui nikuambiaje! Una akili sana! Good thinking.
   
 14. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  u must be a top thinker from the bottom
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Tulikwenda bar moja pale mjini kama unakwenda mkwawa uni,tulijaribu kuongea na majamaa pale inaonekana kuna kitu wanajivunia,jamaa mmoja alisema waarabu ni ndugu zao wa karibu eti hata mkuu wa nchi ameoa mmoja wao,sasa hapo unataka nini tena
   
 16. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Kila mtu anatafuta best opportunity ya biashara, sijasema wanakimbia mji ila namaanisha wamesambaa sehemu nyingine kama mbeya, tunduma, dar nk. Nadhani sio kwasababu wewe ni mchaga basi utafanya biashara moshi. Suala la viongozi ndio wanaotakiwa kwani hawana upendeleo wa kipu.uzi, angalia kama ni mikoa mingine ingekuwaje. Pia mkoa ulivyokaa imekuwa tabu kuendelea kwani mji upo upande wa juu hata hivyo maendeleo yameanza kurudi kwa kasi sana. Hakuna anaekimbia ila wanatafuta green pastures, Tanzania ni yetu wote na wahehe hawana ubaguzi wa kabila kama nyie wenzetu, so unakaribishwa kama unataka kuinvest.
   
 17. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hiyo ya mji kukaa juu sijaridhika,kwani wenyeji wanashindwa kujenga mji wa kisasa pale chini inakopita barabara kuu??ni watu wangapi wanapita pale wanashindwa kupumzika na hakuna mahali pa kupumzika???kwa mtazamo wangu waarabu ni wafuga majini na ndio wanasababisha mji uendelee kuwa maskini,angalia mbeya jinsi inavyokuwa kwa kasi ya ajabu,,kuna kitu bana!!!
   
 18. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  ndo maana hata mbunge wao ni mkinga, hawa jamaa walikuwa wanawadharau wakinga miaka ya nyuma lakini siku hizi wamegeuka ndo walinzi wa maduka ya wakinga. Wanajiita TULIVAGAYASIDA maana yake hawana shida.
   
 19. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Top thinker anaeamini kwenye kufuga majini na kuwa kufuga majini kunasababisha mji kuwa maskini!

  Kweli penye wajinga werevu hujitenga!
   
 20. Gulaya

  Gulaya JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 660
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Great thinker..
   
Loading...