sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,292
na kwa taarifa yake Iringa kuna matajiri wengi tena wahehe kabisa na wengineo ambao ni waswahili...wana utajiri wa kutosha kufanya lolote sema hawataki tu kujionyesha kwa kutembelea magari makali kama hawa waarabu wanavyopenda magari na la zaidi wanaheshimiana sana kati yao na hao waarabu wako....sijawahi kuona mwarabu eti anamnyanyasa mswahili hapa iringa tangu nimeanza kuijua iringa miaka mingi iliyopita na hata hayo matatizo madogo madogo yanayotokea (mfano mambo ya ardhi ambayo kila kona ya nchi yapo) huwa wenyewe ndo wanakuwa mstari wa mbele kuhakikisha suluhu inapatikana mapema bila kufikishana mbali na ndo maana Iringa haisikiki sana juu ya migogoro hii..
Mi siwasifii waarabu na wala sina uhusiano nao kwa vyovyote vile lakini kwa pale iringa unayoyasema si kweli!! wanajitahidi sana kuishi na watu wale jamaa..
Mi siwasifii waarabu na wala sina uhusiano nao kwa vyovyote vile lakini kwa pale iringa unayoyasema si kweli!! wanajitahidi sana kuishi na watu wale jamaa..