Waarabu wana nguvu Iringa

Iringa na moshi nianavyo mi hiyo mikoa haina tofauti ya kimaendeleo,mhehe na mchaga ni makabila tofauti ambayo yana tamadun tofaut,mhehe ni shujaa ktk nchi hii ,piri suala la iringa kuwa na waarab na raia wengine ni la kawaida,sasa mtoa mada alitaka wahehe wawafukuze waarab na wagirik na waburushi?
Mtoa mada hakuta muwafukuze bali muache kunyenyekea hao waarabu.
Hivi kujinyonga ni ushujaa??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa hiyo mnatuambia watu wa moshi ni wajanja sana sio...hahahahahaha ama kweli mkiambiwa watu wa moshi ni wakabila na wadini msibisheee mnajisuta wenyewe wazee wa.....

wewe mtoa mada inaonesha ni mbaguzi wa Asili na utakapo baguliwa ww hua mkali sana kwani kuwafukuza wahuindi au Waharabu sio sifa wala jambo la kujivunia bali ni ujinga tu sindio ww ukilikua unawalaumu watu wa Tunduru kua hawapwndi wageni????sasa hapa mbona unaongea UTUMBO WA BATA ???OVYOOOOOOO
 
Kwanza siyo vizuri kutukana kabila ya mwenyeji wako. Inavyoelekea wewe ndiye unastahili hiyo sifa uliyowapa wahehe[mimi siyo mhehe]
historia ya wachaga ni tofauti sana na wahehe. wachaga waliwakumbatia sana wathungu wakati wahehe hawakutaka kutawaliwa na wageni kabisa.
Historia ya wahehe na waarabu ni ya karne nyingi sana na nasikia hata kuoana. na waarabu wengi iringa mbarali ndiyo kwao tena kwa karne pengine hata kabla ya baadhi ya makabila mengine kuhamia tz. na wahehe ni wastaarabu sana na wana very rich culture isipokuwa hawapendi dharau kabisa. wewe kama mgeni ishi hapo kama mgeni ukiendelea kuropoka hovyo shauri yako
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????

Ndugu yangu sina uhakika umetumia vigezo gani kuhitimisha hiyo research yako. Naomba utuombe radhi wahehe hasa katika hayo maneno yenye rangi nyekundu.
 
Punguza jazba kijana, usije ukaenda kujinyonga kisa hii mada.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Sawa kaka! Unaonekana umeanza kuelewa! Ila hatujinyongi siku hizi tunaoa dada zao tu wanaokuja vyuoni pale RUCO na Tumaini!
 
Hao kina FM Abri na AS Abri si ni waarabu?

Yani laiti ungejua kuwa hao waarabu hawatutishi maana tumeona nao sana kiasi wamekuwa ndugu! Sio kwenu mmejifanya kuwabagua wahindi mji umewadodea na mlima wenu hauwaletei manufaa kutwa kucha kuota ubaguzi, Nyerere aliwaona sana nyie na hiyo dhambi itawatafuna. Sana!
 
Ndugu yangu sina uhakika umetumia vigezo gani kuhitimisha hiyo research yako. Naomba utuombe radhi wahehe hasa katika hayo maneno yenye rangi nyekundu.

Amekuja kwa dharau ataondoka na chongo hawajui wanyalu wacha waseme 'swela' ndiyo aaona anavyourudi akiwa kichaa!
 
Mtoa mada hakuta muwafukuze bali muache kunyenyekea hao waarabu.
Hivi kujinyonga ni ushujaa??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

We unaonekana kuna kitu hutaki kukitaja wahehe walichokutenda! Sema tukusaidie maana unayoyaongea hayaendani na jina lako! Sis sio wajivuni kama baadhi ya makabila walivyo, tena mhehe ni mtu poa sana maana ni mkimya na mvumilivu ila ukimletea madharau kama unayoyaleta wa(akumaliza! The same applies to wamasai, nadhani hamjawaelewa au kwa sababu dada zao wamefanya kazi ya kuwalea mmekua mmewajaza mimba kwa kuwabaka, baba zenu waliwabaka hao mabinti na kuwafukuza, mkawalaza jikoni na kuwalisha ukoko wakati wamewapikia chakula kitamu! Leo mnawaletea dharau baada ya hayo yote! Siku zimebaki chache kama mtapata msichana wa kazi toka Iringa au Singida!
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????

Mwalimu Nyerere was so right alivyosema Tanzania ikitaka maendeleo isitawaliwe na Waachagga...

Wewe inakuuma nini kumuona Arab/Tanzanian living in Tanzania...wamekukosea nini??? Your hateing their success wakati both of you have the same 24hours! Mbona unawadharau wahehe??? Umewazidi nini???

Too bad watu wenye mentality kama yako wanaidhalilisha Tanzania.

Watu tunaishi kwa amani unaleta chuki na ukabila? Unakumbuka shuka asubui? We vp? Au umetumwa?
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????

Eti ana jiita topthinker kumbe kilaza! Hivi kua mtanzania kunamananisha nini? Au rangi nyeusi ndio utanzania? Navojua mimi mtanzania anaweza kua mtu wa asili yeyote ili mradi awe amefata kanuni na sheria! Au wewe una hakika gani wewe ni mtanzania wa ASILI? Je kwa sababu ni mweusi? Labda babu yako ni mrundi au mbenin! Acha dhabi ya ubaguzi we kijana. Kuna waarabu iringa toka enzi ya enzi kabla hata halijawa taifa ya tanzania. Na wahehe ni watu SAFI sana ndio maana wapo poa kabisa na wahindi na waarabu because at the end of the day wote ni WATANZANIA pamoja na wewe! (au wewe point yako ilikua mambo ya dini ukaamua uzuge na waarabu) #justthinking
 
Dar-es- salam nani walio asisi kama sio waarabu -wao ndio waliona potential ya Daresalam mpaka leo ndion mji mkuu wa kibiashara Tanzania

Waarabu si wageni Tanzania na hawana haja ya kuomba mtu ruhusa ya kuishi hapa. wao ni kama wabantu wote walihamia hapa miaka mingi iliopita , hata wabantu pia hapa sio asili yao bali walihamia hapa. Na hii ni kawaida ya katika nchi zote duniani watu huhama na kujijenga pale wanapo pata maisha bora.

Well said
 
Eti ana jiita topthinker kumbe kilaza! Hivi kua mtanzania kunamananisha nini? Au rangi nyeusi ndio utanzania? Navojua mimi mtanzania anaweza kua mtu wa asili yeyote ili mradi awe amefata kanuni na sheria! Au wewe una hakika gani wewe ni mtanzania wa ASILI? Je kwa sababu ni mweusi? Labda babu yako ni mrundi au mbenin! Acha dhabi ya ubaguzi we kijana. Kuna waarabu iringa toka enzi ya enzi kabla hata halijawa taifa ya tanzania. Na wahehe ni watu SAFI sana ndio maana wapo poa kabisa na wahindi na waarabu because at the end of the day wote ni WATANZANIA pamoja na wewe! (au wewe point yako ilikua mambo ya dini ukaamua uzuge na waarabu) #justthinking

Ngerebeee #ndiooo
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????

It wonders kama wewe ni TOPTHINKER unashangaaje kitu kama hicho! top thinker anafanya reasoning na ana uwezo wa kufanya speculation! ili kujua reality ya mambo. Nahisi sifa unayowapa watu wa Iringa kuwa ni Wajinga haiwahusu, bali inamhusu MTU mwengine!
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Mhehe amnyenyekee mwarabu?hujui kitu unasema,nenda tena ukafanye hiyo tafiti yako ndio urudi tena hapa!
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Ujinga wetu sisi wahehe ni nini mkuu?au kwa kusema hii gari ya mwarabu fulani?
Acha kututukana bana.Mbona sisi wenyewe tunaona poa tuu?
 
Dhahabu ya geita inachimbwa na nani? Mashamba makubwa ya kahawa na chai yanalimwa na nani? Ufugaji mkubwa na wakisasa unafanywa na nani? Kama ni matajiri wazawa unaowaita ndio wale wakina Alex Masawe? Kina Laswai? Na Felix Mrema? Babu Sambeki? Kama wote tungeamua kutafuta hela kwa njia mnazopitia nyie wenzetu sidhani kama tungekuwa na taifa lenye usalama. Unataka tutafute pesa kwa visu? Kama ni shule hata mkoa wa iringa ni wa pili kwa shule nyingi na wamesoma wengi sana, kama ni kukaa vitengo watu wametulia hawana madharau na ubaguzi na majigambo ya kipuuzi kwa kulewa bia kila saa, hata asubuhi unakaa bar! Kama ni kusaka hela wahehe wanazisaka kwa sana tu ndo maana idadi kubwa ya wanawake wa kichaga wanataka kuolewa na makabila mengine sababu yenu mnang'ang'ania kuwakimbia wake zenu mwaka mzima akae na baba mkwe, anakula mzigo unabaki kulea mimba ya babako kwa mkeo! Hapo nadhani ni utaratibu tu wa maisha kila mtu na style yake. Punguza majigambo na dharau kwa watanzania wenzio maana kila mkoa una historia yake na tamaduni zake. Mnakaa kuwasema wamakonde na watu wa lindi mnajua chanzo cha maisha yao kuwa vile? Na mbona wako poa tu na life yao? Na rais walitupatia? Mbona haufanyi tafakari ya kina?

mm ni mhehe ndo nimepata jibu kwann wale mabint wa kichaga wananipapatikia..!
 
"Hatukumpinga kaburu kutokana na rangi yake bali kutokana na sera ya kibaguzi dhidi ya watu weusi na kaburu katika nchi yetu ni wale wanaojiita wazawa hata kama ni weusi ni kaburu tu"Mwl J.K Nyerere
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom