Omba msamaha,kwa kutukosea adabu,itabidi wale wachaga wote waliohamia Iringa nao tuwafukuze,isitoshe na wewe unamatatizo mbona wapo matajiri wa kila aina pale hata hapo mjini,sio waarabu tu uliowaona,fanya utafiti kote ujue nani ni tajiri katika sekta ipi,huyo uliyemtaja nafikiri ni usafirishaji,wenyeji wengi wamewekeza katika kilimo na wanafanya vizuri sana,kuna jamaa anashamba linaitwa MAWAMBALA huyu ni mweusi shughuli iliyopo pale ni balaa,na wengine pia wapo kwenye sekta ya chai na wapo wachaga ni balaa kwa kilimo na ufugaji.
Kila sehemu ya Tanzania ina utamaduni,mila na destuli zake wahehe hawakuwa na destuli kama za wachaga kuwafukuza watanzania wenzao, wao waliwakaribisha na kushirikiana nao,ila uongozi uko chini yao,usitegemee wewe ukawe mbunge pale Iringa mjini au Iringa vijijini haikubaliki hata kidogo,Mkwawa aliwaambia nchi ya uhehe itatawaliwa na Muhehe.