AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
nimeshaishi iringa, na mzazi wangu mmoja ni wa iringa na mwingine wa kilimanjaro. pamoja na kwamba baba yangu ni mchaga mimi pia mchaga, ila mamangu ni mhehe na tumezaliwa na kukulia iringa na ndiko biashara za baba zipo hadi leo. ninachoweza kukuhakikishia ni kwamba, iringa haijatawaliwa na waarabu bali wakinga na wabena. kama kuna mtu anatoka iringa atanisapoti kwa hili. wahehe ni kweli hawajamiliki ule mji, ila wakinga na wabena ndio wafanyabiashara wakubwa kuliko hata waarabu na wahindi. hivyo research yako si ya kweli.Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
waarabu iringa mjini ni wachache na wanapatikana mjini tu. tofauti na mkoa kama wa kigoma na Tabora/nzega ambako waarabu ni wengi kiasi kwamba unawakuta hadi vijijini waarabu rundo wanaongea kinyamwezi na kisukuma. iringa ni wachache sana. vipi umekaa pale mjini kwa muda gani? na je, watu wote wa pale mjini ni wahehe? hata msigwa unafikiri ni mhehe?...msigwa ni mbena au mkinga kama sikosei pale wahehe ni wachache tu wengi wako pembeni mwa mji huko na kwasababu hawana business skills wengi hawaishi mjini. wale unaowaona mjini ni wafanyakazi wa serikali, wafanyabiashara wa kikinga na kibena, wanyakyusa wengi sana iringa, wawanji wengi sana na wachaga pia wapo wengi huwa tunafanya vikao vya kikabila kabisa kujuana tupo wengi na tukitokea pale utakuwa unatuita wahehe. usiwatukane mama zangu kiasi hicho aisee.