Waarabu wana nguvu Iringa

Waarabu wana nguvu Iringa

mkuu lakini mmezidi bana,haowaarabu ni wageni tu hapo iringa komaeni na mji wenu bana
Cha kushangaza hao hao wahehe wanawazarau sana Wakinga, kiasi cha kwamba hata kuolewa nao ili kuwaga mwiko. I do not understand it. Wa kinga nao ndio wenye maduka na biashara kubwa Iringa ila ndio waliokuwa wanadharaulika na wahehe. It is complicated to understand the logic behind this bias towards Kinga people.
 
Mambo ya wahehe waachie wahehe, we fanya yaliyokupeleka then rudi kwenu moshi kaendelee kufukuza wahindi. Dhambi ya ubaguzi inawatafuna nanyi mtabaguliwa hakika nawaambia.

Huyo jamaa alikuwa Na muono mmoja wa Waarabu.Iringa inaongoza kuwa Na WAZUNGU wengi sana.Wenye mashamba makubwa.Hoteli kwenye kando ya mito Na bila kusahau taasisi nyingi za DINI za hao waDhungu.
Matatizo sio Waarabu Ni Uislamu najua nitawakwaza wengi Lakini ukweli lazima Usemwe.
 
Nime
Kama ulirudia tu mjini hujaona maajab ya Iringa. Nenda Pawaga, kila mpapai unaoota popote ni mali ya mwarabu mmoja hapo anaitwa Nkungugu.
Uote popote, hakuna mtu anathubutu kula hilo papai, atalichuma, atalipeleka dukani kwa Nkungugu na hapewi hata mia. Sana sana anaona fahari kumletea Nkungugu papai lake. Halafu baadaye ataenda hapo hapo kulinunua yeye mwenyewe aende kula. Mbegu zikimea, ni mpapai wa Nkungugu. Nilichokaaaa.
Unamwajiri kibarua shambani kwako, Magugu yaliyopo ni mchicha, anaungoa, anauweka kando atauleta kwako, na ati utamlipa nao siku na mahindi/unga kidogo anaridhika kabisaaaaa na kesho asubuhi anakuja kuendelea na kazi ya kupalizi.
Wanyalukolo mpooooo?
Nimekumezea tu, ila umwafu sana! ! Nyokoveeeeeeeee!
 
Ulienda wapi we mwenyewe umeenda kunywa maeneo ya chini ulitegemea nini. Kila mkoa kuna uswazi na high-class yake. Ndio maana ulikutana na hao watu wanaofanana na upeo wako mfupi ukaubeba hivyohivyo. Jaribu kutafta high-class wakutembeze ukienda tena.
Tulikwenda bar moja pale mjini kama unakwenda mkwawa uni,tulijaribu kuongea na majamaa pale inaonekana kuna kitu wanajivunia,jamaa mmoja alisema waarabu ni ndugu zao wa karibu eti hata mkuu wa nchi ameoa mmoja wao,sasa hapo unataka nini tena
 
Ukiona mkoa wowote mwarabu au mhindi ana nguvu mkoa huo ujue ni mkoa masikini sana.Tabora,shinyanga,singida,dodoma,morogoro...Lakini mikoa kama Arusha,muhindi au mwarabu hahemi!
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe namna hiyo kiasi hiki????


Hiyo Iringa cha mtoto, we nenda Kigoma/ujiji walivyo washamba na waarab. Yaani hata mwarab koko kule Mungu, akijamba tu, watu wote wanakimbia kwenda kumletea maji ajichambe.
 
Ukiona mkoa wowote mwarabu au mhindi ana nguvu mkoa huo ujue ni mkoa masikini sana.Tabora,shinyanga,singida,dodoma,morogoro...Lakini mikoa kama Arusha,muhindi au mwarabu hahemi!

Hiyo mikoa ulio itaja ni matajiri ya zaidi ya Arusha.Kawaida watu walio kuwa navyo hawatambi kama wasio kuwa navyo.
Hapo Arusha Matajiri wengi sio wazao kama unavyo jidai.Matajiri wengi ni wakuja.Toka mikoani.Wanunuzi wengi wa Madini ni hao Waarabu Na WaHindi.mashamba mengi makubwa ni ya Wazungu.Makampuni mengi ya utalii ni ya Wahindi.Hao wachache wanao Tamba Na VX sio wazao.
Sasa hadithi zako za vijiweni ziache huko vijiwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom